OFFER! OFFER! OFFER!
Jipatie Tv inch 43 aina ya General Max kwa shillingi 590,000tsh pekee
Tv ni imara na zina warranty ya miaka miwili
Tupigie au whatsapp 0765586050
Zingine:
GM inch 32 380,000...
Jamani hii SALON ina vitu vifuatavyo ndani ambavyo vinauzwa pamoja na kufanya bei ianzie Mil.6.
1. Ina Viti 2 (vya kunyolea).
2. Ina Machine 2 ( za kimarekani) za kunyolea.
3. Ina sofa mbili za...
Salaam wakuu.
Kuna shughuli imepatikana kufanyikia Dar Es Salaam. Inahitajika nyumba nzima yenye vyumba 3 vya kulala sebure, jiko na iwe na uzio. Iwe rahisi kufikika na usafiri wowote isiwe ndani...
Habari wadau, nipo hapa kuomba ushauri wenu, nakutana na wafanyabiashara wengi wanaofanya biashara zao kwenye mtandao wa Instagram. Katika hawa Wafanyabiashara naona wengi wanapata mafanikio...
Tunauza mayai ya kisasa kwa bei poa kabisa,
Mayai yanapatikana kwa shilingi 6800 trey moj
Endapo ukichukua zaidi ya trey 10 bei inapungua kidogo.
Njoo PM uweke order tukulete mzigo mkapa...
MKOPO! PATA MKOPO KUANZIA 1M MPAKA 2M
NDANI YA DK. 30 KWA DHAMANA YA GARI TU!
HABARI WAPENDWA, NATOA MIKOPO YA PESA KUANZIA
1,000,000/= HADI 2,000,000/= NDANI YA DK. 30
KWA DHAMANA YA GARI TU...
Wadau ninamzigo wangu wa desktop, photocopy machine, printer vyote vipya na pia vyombo used kama vile flampeni, masufuria, juicer, pasi za umeme na masiki ya toilet na vingine vingi nataka kutoa...
IMESHAUZWA
AHSANTENI KWA USHIRIKIANO WENU
SIFA ZA COMPUTER INAYOUZWA
RAM: 4GB
HDD: 232GB
Processor: Duo core 2.67Ghz
Monitor: 19 inch wide
Windows 10 pro
Ipo Complete,
Bei ni Tsh 260,000/=...
Kiwanja chenye eneo la sqm 960 kipo Kinyerezi mtaa uitwao galilaya. Bei maelewano lakini ni takriban Sh 90,000/= kwa sqm moja. Kipo karibu na station ya Songas, na kimepimwa. Mawasiliano...
Kiwanja Kinauzwa kipo karibu na kanisa la KKKT Kibaga, Kinyerezi
Kina ukubwa wa SqM 2921
Kiwanja Kimepimwa kwa matumizi yote Commercial na residential na kina Documents zote.
Bei ni 105,000,000...
mteja wetu karibu ujipatie MEGAPHONE/SPIKA YA MATANGAZO inatumia better 4 KUBWA pia ina MIC YAKE. inafaa kwa kutangazia matangazo ya biashara, mikutano midogo nk BEI ELFU 70,000 NJOO UJIPATIE YAKO...
Nina s8 smamsung. Nimepata nayo ajali hii mara ya 3. Inapasuka kioo cha mbele na nyuma.
Nahitaji fundi anayeweza kureplace kioo tu na sio display yote. Budget yangu haizidi laki 3.
Sent using...
Habari wakuu
Shamba linauzwa ni robo Tatu ya heka lipo tukuyu mjini MbeyA
Shamba Lina Miche ya maparachichi ya kisasa ipatayo 70 ni kipo sehemu nzuri na limetunzwa ipasavyo
Miche ina mwaka...
Habari. Mpaka tarehe ya leo ninayofanya hii update ktk stock kuna mashine ya umeme yenye uwezo wa Ku produce gunia 8 kwa siku zile kubwa kabisa. Kwa chini kuna picha. Inatumia umeme single phase...
Hlw jf members nmewaletea vikoti (blazer) za kike kwa Bei nafuu kabisa ya shiling elf 10 kwa reja reja elf 8 kwa Bei ya jumla kwanzia pc 5 mifano ndo Kama hvyo kweny picha mzigo upo wa kutosha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.