Kuna eneo, linafaa kwa ujenzi wa shule
Kigamboni, Chekeni Mwasonga, Linauzwa
Umbali =29km tokea ferry
Ukubwa = Takriban eka 10
Umeme = Nguzo 6 unafikia
Maendelezo= Kuna banda la vyumba 2 na frem...
Kwa wale watumiaji na wauzaji wa bidhaa za aborder hasa TV, mtakuwa mashaidi hasa kwenye ubovu wa TV za aborder. Yaani mpaka sasa nina Tv mbili mbovu za hii kampuni, hata mwaka haujaisha zimekuwa...
Make: Toyota
Model: Carina
Colour: Red
Engine: 7AFE
Engine capacity: 1800
Fuel used: Petrol
Body type: Saloon
Year: 1996
Manual
Bei 6.5 ml mawasiliano 0787360301.
Gari ni Mpya, full documents
Naomba mwenye mgahawa wa nje siyo fremu aliojenga kwa kuweka hema juu mzuri anitumie picha tafadhali.
Nimepata eneo la wazi nataka nijenge.
Sasa natafuta kitu kizuri nimshirikishe fundi wangu...
Fremu yenye vifaa umeme inauzwa, imelipiwa kodi ya miez6 na itaisha Mwez November. Vifaa vyote vinauzwa kwa bei ya jumla pamoja na discount kubwa. Au unaweza chukua tuu vifaa vyote ukahamisha sii...
Za asubuhi wakuu, Kama Mada isemavyo, nauza ASALI mbichi ambayo haijachakachuliwa hata kidogo, baada ya kurudi kutoka kwa madiba aka bondeni wakuu Nilikuwa Sina Dili hapa mjini, baada ya kuwaza na...
NYUMBA inapatikana KITUNDA, Kivule
Km 8 kutoka nyerere road (old pugu road)
Nyumba Ina vyumba viwili (all are self-contained)
Aluminium windows, full gypsums & tiles
Perving blocks
air-condition...
habari waheshimiwa
nauza vifaa ivi, presure machine pamoja na tank na vifaa vingine vidogo vidogo pia vipo katika car wash ambapo bado inaendelea kufanya kaz na kuingiza hela tatzo na shida na pei...
Nauza sofa set used za kisasa na ziko kwny hali nzuri, kochi 2 za kukaa watu wawili na moja ya mtu mmoja. Bei 350k maongezi yapo pia. Napatikana dar es salaam kijitonyama ukizipenda piga/text...
Habarini wandugu!
Nina uwezo wa kusupply mbao aina ya mninga (East African padauk), mkongo (Pod mahogany), mtondoro, mkurunge
Natafuta wanunuzi wa jumla kwa hapa Tanzania kuanzia cubic metre 20...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.