Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Hii ni kampuni mpya kabsa hapa yambayo inajiusisha na uuzaji wa tiles amabazo hazitumii cement zinashikana zenyewe tuu zinakaa popote pale bei ni nafuu mno kulinganisha na tiles za kawaida kwa...
5 Reactions
68 Replies
14K Views
Hii ni kozi ya afya ambayo inatolewa na chuo cha muhimbili kwa hapa Tanzania, ni kozi ya muda wa miaka mitano (first degree), inayotoa wataalamu katika afya ya meno na kinywa yaani madaktari wa...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Wanabodi, Ninauza basi langu la Eicher lenye namba CVZ. Kwa sababu ya majukumu mengine ninakosa muda wa kusimamia hivyo sipati mapato ninayokusudia. Lipo kwenye hali nzuri na bei ni maelewano...
1 Reactions
52 Replies
12K Views
The Computer Skills ( COmSkills) ni kampuni inayobobea na utoaji mafunzo na ushauri kwenye nyanja za IT & Financial System/Software. Tumetoa ofa ya kozi zifuatazo. 1.DATA MANAGEMENT AND...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu jamani,napenda kuuliza kwa wajuzi eti kiwanja chenye upana wa mita 11 na urefu mita 15 je mtu unaweza ukajenga nyumba ya kuishi kwa vipimo ivyo
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wadau, habari zenu? Mimi ni mjasiriamali chipukizi; mwenye malengo ya kuwekeza katika miradi ya Agribusiness (dairy & poultry projects - kwa uchache). NAOMBA MSAADA WENU (HAJA YANGU ITATATULIWA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau naombeni msaada wenu anayeijua campuni ya usafirishaji au anayeweza kunipa msaada wowote kuweza kupata usafiri nataka kuleta mzigo toka njombe kuja dar kwan langu limekwamba linaitaji...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Model 15-ac183nia Core i7 Dedicated graphics card (Amd) Ram 8Gb Hdd 500 GB Charge 5+ hrs New condition Laptop &Adopter Price 650,000. Call/Whatsap/ text 0782 049 547 Dsm
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu, Tunatotoresha vifaranga bora kabisa aina ya Sasso, tunatafuta masoko nje na ndani ya Dsm, kwa wiki vinapatikana zaidi ya vifaranga 1000 kwa bei ya Tshs 1,800 tu. Sifa za kuku Sasso: -...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Kroiler ni aina ya Kuku chotara alie tokea India ambae ni mchanganyiko Wa Kuku aina ya Sasso(jogoo) mwenye sifa yakuwa na umbo kubwa na mwenye uzito sana,alie pandishwa kwa Kuku aina ya Rhode...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
NAUZA ADSENSE NON-HOSTED MPYA KABISAAA, BEI NI KILO MOJA (100,000/=), NICHEKI KWA NAMBA ZANGU 0756888069 AU 0718268014 Na site yake pia ipo. Icheki BONYEZA HAPA KUONA SITE
0 Reactions
1 Replies
927 Views
Tunapatikana kimara mwisho dar, call/WhatsApp 0769635970 bei 15000 rejareja jumla 13000 kuanzia pair tano, naombeni support yenu mhimu Sana,
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Shamba la heka 2 linauzwa.Lipo maeneo ya chalinze kwa mwarabu,km 2 kutoka morogoro road 0769512418
0 Reactions
3 Replies
896 Views
wakuu kama nilivyojiekeza hapo juu nauza samaki kutoka mwanza popote ulipo nakutumia Tanzania na nje ya Tanzania, bei maelewano nicheck kwa namba 0744420666 voda,0653842347 tigo,0625937918 halotel.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Processor Intel(R) Core i5-6200U @ 2.30Ghz 2.30Ghz RAM 8GB system type 64 bit Operating system Hard disk 1TB Battery 8hrs up to 10 hrs Price 450,000 fixed call 0658705609.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu anahitajika dereva,apewe gari IST kwa ajili ya Uber. Vigezo:- 1.Awe na uzoefu wa udereva hasa wa taxi au Uber 2. Awe na Leseni ya udereva daraja C. 3. Kitambulisho cha taifa.a 4. Asiwe...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Habari wadau, nauza Iphone x 256Gb Imetumika kama miezi mitano naiuza baada ya kununua x max, sio mbovu haina creck wala haijachunika. Bei Tsh 1.400,000 Mawasiliano +255659778873 Whatsapp...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
NAUZA MASHINE YA KURANDA YA UMEME INA LANDA INA TOBOA INA CHANA MBAO NA INAFANYA SOFT KWA WAKATI MMOJA MADE IN FINLAND IMETUMIKA MWAKA MMOJA NA KUNA MASHINE ZA KUREREZA MBAO na kutoboa mbao kwa...
0 Reactions
7 Replies
20K Views
Habari wakuu. Nauza tecno yangu ambayo ni camon cx. ina mwaka. ina crack kidogo kwenye screen upande wa kulia na kushoto. bado inadai. Bai ni TZS 250,000/- Ukifika bei njoo inbox
0 Reactions
0 Replies
454 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…