Wakuu hii ni kweli kuwa Mahinyila amesema vijana wa CHADEMA wanafanya mambo ya kihalifu, wakikamatwa wanataka chama kiseme wametekwa na watu wasiojulikana?
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
“Eat whatever you want during Holy Week, the sacrifice is not in the stomach but in the heart.
People abstain from eating meat...
Wapo vijana wanaopita mitaani wanaodai wametumwa na serikali za mitaa, kwa lengo kuchukuwa namba za luku za kila mita na majina ya wamiliki, wakidai mapato hayo yanataka kuondolewa na kurudishwa...
Kumekuwepo na madai yanayosambaa mtandaoni kuwa makasha ya dawa za meno huwa na rangi (code) za aina mbalimbali zinazofafanua aina ya kemikali zilizotumika kutengenezea dawa hiyo.
Aidha, madai...
Serikali ya Marekani na DRC wamekubaliana kwamba marekani itaruhusiwa kuchimba madini adimu maeneo ya mashariki ya DRC wakati huo Marekani itatoa vifaa vya ulinzi, tekinolojia ya kijeshi kwa...
Wakuu hii imekaaje kuwa Mahinyila amesema No reform no election ni mpango wa Lema na Lissu kuchota hela Diaspora na Bavicha watashiriki uchaguzi 2025. Je, ni kweli?
Wakuuw
Wakuu huko mjini Facebook nimekutana na hii taarifa ya MillardAyo na Wasafi kuwa Sugu ametangaza rasmi kugombea ubunge Mbeya mjini na anaonekana Sugu mwenyewe amepost huko X, Je, ni kweli...
Kwanza Kabisa nawatakieni ninyi nyote Sabato yenye Baraka.
Nimesoma mahali kwamba Mtabiri wa taifa enzi za Nyerere Shehe Yahya Hussein alitabiri Uongozi ujao kuanzia awamu ya 4 hadi ya 6...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.