Fursa maana yake ulione tatizo na utafute njia za kulitatua huku ukitengeneza pesa.
Ndio maana watu wengi ushindwa kuziona fursa maana hawapendi kutatua matatizo.
Daktari anatibu mgonjwa na...
Kuna kila sababu ya kupitiwa upya kwa mfumo wa elimu unaowandaa wahitimu kuingia kazini ili kuepuka makosa yanayojitokeza wakati wa maombi ya kazi na kuwaandaa kisaikolojia kujiajiri wenyewe.
Pia...
Miundombinu ya usafiri na usafirishaji inajumuisha njia zote za usafiri na usafirishaji kama vile barabara, reli, anga na usafiri wa njia ya maji(bahari, maziwa na mito na mabwawa).
Miundombinu...
Pamoja na kuongezeka kukubwa kwa wanafunzi wanaojiunga na elimu
ya juu, vyuo vyingi vikuu vya Kiafrika havitoi wahitimu wengi, na wengi
wao hawana stadi zinazohitajiwa kuinua maendeleo ya kiuchumi...
Kwanza Mimi niseme Mimi sio mwizi wala sifanyi biashara haramu ya aina yeyote nitakayoyaandika hapa ni yale nimekutana nayo kwa kuona kwa macho au kwa kutumia mashahidi.
Niende moja kwa moja...
NGUVU YA BAADHI YA MAMBO KATIKA SHUGHULI ZA KIUCHUMI
Nitaeleza ni nguvu gani iliyo ndani Ya baadhi ya mambo kwa wewe unaesoma nakala hii ambayo unaweza kuitumia katika Nyanja ya uchumi na...
Katika Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa Fedha 2021/22 Serikali imedhamiria kukusanya mapato kutoka kwenye tozo za miamala ya simu, Tozo hizi ambazo katika macho ya watanzania wengi zinaonekana...
Wapendwa salam, amani iwe kwenu.
Mwaka 2007 nilitamani sana kuwa kiongozi mahali fulani.Nikiri kuwa ndani ya nafsi yangu kwa dhati nilidhamiria kuitenda kazi ile kwa bidii,uaminifu na moyo wa...
UTANGULIZI.
Mazingira ni nyenzo muhimu sana katika Maisha ya Mwanadam hasa ikichukuliwa kwamba kila kiumbe chenye uhai hutegemea Mazingira (asili) ikiwemo udongo, maji na hewa. Hii yote...
MHIMILI MMOJA KATI YA MITATU UKIWA DHAIFU MZIGO NI KWA WANYONGE.
Na Nkurumah wa Karne ya 21.
Mkichagua hovyo hovyo mtapata viongozi wa hovyo hovyo, watawaongoza hovyo hovyo, mtaishi hovyo hovyo...
Pause: "Neighbour, the times they are a-changin'..."
__We need a revolution in numeracy, now!
If there are no qualified Maths teachers at your childrens' school, don’t complain... Get together...
UTANGULIZI
Nina bahati ya kuandika Maneno haya, Maneno haya nitahadhali ya yajayo kama hatutoyaishi, Ninawaandikia vijana wote wa Tanzania Na Afrika kwa Ujumla Maneno haya yakawe Mwito wa Asubuhi...
Duniani ni sehemu mzuri sana kuishi kama sisi wenyewe tutaifanya dunia kuwa salama kwa ajili ya maisha yetu wenyewe. Hata hivyo hatuwezi kuishi kiholela, isipokuwa inatulazimu wawepo baadhi yetu...
Suluhisho la kudumu kuhusu changamoto nyingi zinazotukumba hapa nchini zinaweza kupunguzwa kwa kiasi kikubwa kwa kuwekeza kwenye teknolojia.
Leo nitazungumzia teknolojia kwenye nyanja tofauti...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, lakini siwafichi kazi ya kulijenga taifa hili itaendelea kuwa ngumu, ngumu haswa kama viongozi hamtaacha ubinafsi. Nasisitiza tena, taifa...
MALENGO YA ANDIKO-KITENDAWILI CHA KATIBA YA WANANCHI
Andiko hili la kitafiti na linganishi kwa nchi ya Afrika Kusini limelenga kutoa uelewa mpana juu ya Safari ya Mchakato wa Upatiakanaji wa...
Kwenye dunia ambayo demokrasia imeshuka sana katika asilimia 70 ya nchi 167 zilizofanyiwa utafiti duniani, kwa mujibu wa The Economist Intelligence’s Unit Democracy Index 2020 tangu kushuka huko...
Mifano ya sera na sheria za tanzania zinavyowanyima vijana wengi michongo.
# Mashariti ya kumiliki na kusajili maudhui ya mtandaoni( Youtube channels, Blog, website, etc)
Chanzo...
Karibu ndugu msomaji wa nakara yetu hii fupi, ninayo kuletea kwako wewe pamoja na jamii yote kiujumla hasa vijana ambao wanadhani kitokana na hatua hii ya serikali yetu wanaona kama ni kikwazo cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.