NAOGOPA
Kijana Elli akiamshwa na king’ora cha simu alichotega kabla ya kujilaza kitandani kwake huko Kimara Dar es Salaam, anakoishi kwa wazazi wake. Ni kijana mwenye umri wa miaka 25. Anaamka na...
Wanafunzi wakijifunza lugha ya kigeni | picha na mtandao
UTANGULIZI
Lugha ya kigeni niile lugha ambayo haipatikani katika jamii ya mjifunzaji na kuwa hawezi kujifunza lugha hiyo bila kufundisha...
MAANA YA MBWA KIBIBLIA.
Katika maandiko matakatifu neno Mbwa limetumika likiwa na maana mbalimbali, kama Mbwa mmnyama(marko 7;28) na Mbwa binadamu (ufunuo 22:15) na kadhalika. Neno la...
Elimu ya Tanzania kwa miongo mingi imekuwa ikizalisha wahitimu maelfu kwa maelfu na kufanya Taifa lenye wahitimu katika ngazi mbalimbali wasiojua kesho yao kama vile astashahada,stashahada,na...
Ninaandika makala hii kwa uchungu mkubwa, na kwa maumivu makubwa ambayo yamenitokea baada ya kukatiza katika mitandao ya kijamii na kusikiliza vyombo vya habari. Mara nyingi nimeona hivi vyombo...
Suala la ulinzi binafsi ni jambo muhimu sana linalopaswa kupewa kipaumbele cha juu kwenye mtiririko wa Mahitaji ya binadamu katika kipindi hiki ili kujilinda na/au kuepukana na vitendo mbalimbali...
MALEZI BORA SULUHISHO LA YOTE.
Ni wazi kwamba sisi sote tumekuwa wa kwanza na wapenzi wa misemo ya kiswahili hususani "Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo", " samaki mkunje angali mbichi", "...
Ilikuwa asubuhi na mapema baada ya hali yake kubadilika, alisikika akitoa kauli za matusi na vitisho vya kutaka kuua ndugu zake, ilikua ni takribani wiki mbilitu baada ya kufeli jaribio la kujiua...
ELIMU YA KUJITAMBUA KWA BINTI WA KITANZANIA.
Pamoja na juhudi za serikali kuwekeza zaidi katika kumpatia mtoto wa kike elimu ya darasani (shuleni ) lakini bado tunaona kuwa namba ya mabinti...
TUWEKEZE ZAIDI KWA WATOTO NA VIJANA KWA MAENDELEO YA TANZANIA YA BAADAE
Nianze na methali maarufu ya samaki mkunje angali mbichi,hivyo ndivyo tunavyotakiwa tufanye nchini kwa kutumia rasilimali...
Utangulizi
Kwa muda mrefu nimekuwa nikiwaza tunawezaje kukusanya kodi bila ya kutumia gharama kubwa ama bila ya mlipa kodi kulalamika ama bila ya kukwepa kulipa kodi.
Baadaye nikaona njia nyepesi...
UTANGULIZI
Tangu enzi za ukoloni Hadi baada ya nchi yetu kupata Uhuru kumekua na tatizo la nchi kushindwa kujitosheleza katika bidhaa muhimu ya sukari.
Sukari ni miongoni mwa bidhaa muhimu kwa...
Familia ni muunganiko wa baba mama na watoto lakini inaweza kuwa familia ya mzazi mmoja au ya namna nyingine, familia nyingi za kitanzania huhusisha ndugu mchanganyiko kutokana na sababu...
Elimu huchochea maendeleo makubwa mno katika jamii lakini elimu bila pesa kizazi cha sasa ni sawa na kofia ya chuma inayopata moto nyakati za jua la utosi, Enyi kizazi cha sasa tubadilike...
Katika siku za hivi karibuni baada ya ongezeko kubwa la uhitaji wa zao la parachichi ndani na nje ya nchi ya Tanzania kutokana na ongezeko la matumizi ya bidhaa mbalimbali zitokanazo na zao la...
Katika jamii yeyote ili watu waweze kuwa na uhakika wa kuishi na kufanya shughuli zao za kila siku basi lazima kuwepo na uhakika wa usalama wa chakula,kwani chakula ni hitaji la lazima katika...
Sikuwahi kufikiria nitawahi kupata upenyo wa kuongea yaliyositirika kwa muda sana ila hatimae nimefikiwa. Nakumbuka mama aliwahi kuniambia "Mwanangu, siku zote tembea duniani ukivaa viatu vya...
Tangu kuanza kwa Karne ya 21, imekuwepo changamoto ya ajira kwa vijana wengi wenye taaluma (Wasomi) katika mataifa mengi duniani ikiwemo Tanzania. Changamoto hii imekuwa kikwazo kwa vijana wengi...
Moja ya kilio kikubwa mashambani ni mavuno, pamoja na nguvu nyingi zilizowekezwa na watanzania wengi lakini mavuno yameendelea kuwa hafifu ama kukosekana kabisa.
Yote hii inasababishwa na...
Umuhimu wa kuripoti madhara yanayohusishwa kusababishwa na matumizi ya dawa
Binadamu ni kiumbe anayehitaji afya njema ambayo inajumuisha utimamu wa mwili na akili ili aweze kutimiza majukumu yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.