SoC02 Threads

  • Suggestion Suggestion
UJASIRIAMALI WA KIDIGITALI Watu wengi wamekuwa wakielewa Ujasiriamali kwa maana isiyo pana. Wapo wanaodhani Ujasiriamali ni kufanya biashara ndogondogo kama kuuza karanga, mikoba, vyakula, viatu...
2 Reactions
0 Replies
607 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
"Subiri nimalize shule" imeongeza idadi kubwa ya wasomi ambao wameshindwa kutimiza malengo yao. Wengi hudhani ya kwamba, kuhitimu masomo ndiyo mwanzo wa kuanzisha familia. Wakike kwa waume...
1 Reactions
4 Replies
623 Views
Upvote 4
  • Suggestion Suggestion
ELIMU NA MAZINGIRA YETU. Habari hii itajikita katika Elimu tunayowapatia vijana wetu na namna isivyoakisi kwa asilimia miamoja mazingira yetu. Elimu, ni maarifa yatolewayo darasani au nje ya...
1 Reactions
1 Replies
607 Views
Upvote 4
  • Suggestion Suggestion
Tanzania ni moja kati ya nchi ambazo mpaka sasa elimu yake kwa kiasi kikubwa ni ya kinadharia. Tangu shule ya awali na ya msingi, mwanafunzi hupimwa zaidi uwezo wake wa kuelewa masomo husika kwa...
20 Reactions
56 Replies
3K Views
Upvote 33
  • Suggestion Suggestion
Siyo ule wimbo tunaoimba huku tumesimama wima mithili ya askari anayelinda benki ya CRDB. Siyo ule wimbo ulioimbwa kabla ya Timu ya Taifa kupigwa risasi moja ya kichwa na Timu ya Taifa ya Uganda...
1 Reactions
1 Replies
646 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Mwishoni mwa mwezi uliopita nilikuwa natoka maeneo ya Manzese (kufuatilia jambo) kuelekea Makumbusho. Eneo nililokuwapo lina Kituo cha Daladala kiitwacho Big Brother na ndipo nilipopandia gari...
2 Reactions
2 Replies
912 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Taifa na wananchi kwa ujumla tunatakiwa kujua na kuelewa umuhimu wa afya ya akili kwa kila mmoja wetu ....hii itasaidia kupunguza mangonjwa mengi yasioambukizwa na kupunguza idadi ya vifo...
1 Reactions
1 Replies
657 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Mwaka 2019 ulionesha ya kwamba asilimia 13.6 ya pato la Tanzania (Kitomari, 2019) lilitokana na sekta ya sanaa na burudani. Hii ni kujumulisha sanaa ya kuigiza, muziki, uchoraji na michezo. Katika...
0 Reactions
0 Replies
908 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
[Source: unsplash.com] Nikiwa katikati ya likizo ya chuo mwezi wa nane nilienda kwa rafiki yangu aitwaye Hafidhi huko Kigamboni.Nia na dhumuni nikucheza tu magemu na kupiga story. Mida ya saa...
0 Reactions
0 Replies
489 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Uchumi ni nini? kumekuwa na maana nyingi kuhusiana na dhana nzima ya uchumi. Kamusi ya uchumi inafafanua uchumi kama "utafiti wa uzalishaji, usambazaji, na matumizi ya utajiri katika jamii ya...
1 Reactions
1 Replies
806 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Andiko langu linahusu madhara ya matumizi ya dawa za kulevya na matibabu yake jinsi gani mtumiaji au muathilika wa dawa za kulevya anaweza kupata matibabu na akaludi katika hali ya usawa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Upvote 12
  • Suggestion Suggestion
UTAWALA BORA huusisha ushirikishwaji wa wananchi wote walioko ndani ya jamii au nchi kiujumla juu ya utekelezaji wa maamuzi pendekezwa na viongozi Kwa ajili ya maendeleo ya wananchi ndani ya jamii...
2 Reactions
2 Replies
466 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
AFRIKA USISAFIRI, TANZANIA USIHAME Kwanza nilishtuka kwa mshangao wa bashasha baada ya kuona maneno ya Kiswahili katika ardhi ya Korea, “Afrika Safari” ndivyo yalivyosomeka huku yakipambwa na...
1 Reactions
0 Replies
301 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
MCHANGO WA UTALII KATIKA MAENDLEO YA TAIFA LETU. "TUUTHAMINI BASI" Utalii una mchango mkubwa katika maendeleo ya taifa letu la TANZANIA, hivyo basi ni jukumu letu sote kuuthamini utalii huu ili...
0 Reactions
0 Replies
354 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
FUURSA ZA AJIRA MTANDAONI NA CHANGMOTO ZAKE. “CHANGAMKIA FURSA KIJANA” Uhaba wa ajira katika taifa letu la Tanzania limekua ni janga la taifa ukiangalia vijana wengi wanahitimu masomo yao kila...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Kwa mujibu wa taarifa ya Shirika la Mazingira Duniani [“UN Environment Progromme –UNEP”] (Juni, 2022), athari za ongezeko la nyuzijoto 1.1 ziko hapa leo na zinaongezeka kwa kasi, hivyo kusababisha...
7 Reactions
19 Replies
937 Views
Upvote 9
  • Suggestion Suggestion
Makusanyo haya hayataathiri mwanachi bali ni kumnufaisha kwa kuchagua njia anayotaka kutumia na kuongeza kasi kwenye miradi ya maendeleo. Sehemu ambazo barabara ya mwendo kasi inapatikana...
0 Reactions
0 Replies
478 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
HATIMA YA UCHUMI NCHINI TANZANI andiko hili lina sehemu tatu, sehemu ya kwanza inaelezea maana ya uchumi sehemu ya pili, inaelezea mifano ya baadhi ya taasisi mamlaka zinazofanya vizuri kwenye...
1 Reactions
1 Replies
572 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Huduma ya kwanza ni huduma au msaada Unaotolewa kwa mtu anayekabiliwa na ugonjwa au madhara ya ghafla wakati daktari anapokua hayupo karibu na kabla hajapelekwa hospitalini au kituo chochote cha...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Kulikuwa na kijiji kimoja kilichojulikana kama same. Na ndani ya hicho kijiji kulikuwa na Mzee mmoja aliyejulikana kwa jina lake MzeeOtonglo. Kabla Mzee huyu alikuwa akiishi katika kijiji cha...
0 Reactions
0 Replies
626 Views
Upvote 0
Back
Top Bottom