Nianze kwa kutoa pongezi na shukrani za dhati kwa serikali ya awamu ya sita (6) ikiongozwa na Mh.Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kupambana na hali ya uchumi wa nchi yetu kila siku...
Taaluma yoyote uliyonayo ina heshima yake ndio maana imekugharimu muda na mali mpaka kuipata taaluma hiyo. Bila kujali una ngazi gani katika taaluma hiyo lakini tambua ya kwamba ina heshima yake...
Kilimo ni uti wa mgongo wa taifa letu na huchangia 80% ya pato la taifa kuliko sekta nyingine ya uchumi.
Kwa sababu hiyo sekta hizi zinatakiwa ziwekewe uwekezaji mkubwa zaidi.
Wasomi wanaohitimu...
Ndugu zangu,
Kuna taasisi na mataifa mengi ya nje ya nchi ambayo hutoa udhamini wa masomo ya juu katika kada mbalimbali ambazo nyingi hupatikana huko njee. Na kwakua udhamini huu wakat mwingine...
Habari,
Kwa majina naitwa (Geniva Joseph) sio majina halisi, ila nipo hapa kuwasilisha historia fupi ya maisha yangu yangu na jinsi gani uwajibikaji ni muhimu sana katika jamii yetu
Nilizaliwa...
Nilimkuta amejikunyata ndani ya blanketi lake lililokuwa na rangi ya udhurungi, macho yake hafifu yalikua yakilitazama jua, ambalo lilikuwa likitoka huko mafichoni lilikokuwa ili kuja kuungaza...
Hello wadau wa JF,
Nimekuja kuwashirikisha wazo ambalo likifanyiwa kazi linaweza likaleta mabadiliko makubwa kwa watanzania. Andiko langu limelenga katika sekta ya elimu kwa sababu ya imani yangu...
UTANGULIZI
Idadi ya wahitimu wa vyuo katika ngazi mbalimbali hapa nchini ni kubwa sana ikilinganishwa na idadi ya nafasi za ajira na serikali zinatangazwa katika mwaka husika,sambamba na hilo...
Wakati naishi Arusha, kuna kipindi nikawa nimesimamishwa kazi gHafla na sikuwa nimejipanga vizuri, kwa hiyo muda mwingi nilikuwa nafanya kazi ya kutafUta kazi nyingine wakati mwingine nakaa tu...
Mbinu bora za kuzuia unyanyasaji.
ADAM SAMY| 29.07.2022
Uonevu ni aina iliyoenea ya unyanyasaji wa vijana, haswa katika mazingira ya shule. Inafafanuliwa kama tabia ya uchokozi ambayo hutokea...
Picha. Chanzo: Mwananchi (12/08/2022)
UTANGULIZI
Nchi masikini na zinazoendelea zina changamoto nyingi kama vile; changamoto za umasikini, utandawazi, na kielimu. Changamoto za upatikanaji wa...
Tanzania ni Moja Kati ya nchi zenye taasisi ndogo ndogo za mikopo ya fedha nyingi zinazokadiriwa kufika zaidi ya makampuni 500. Malengo makubwa ya kampuni hizi za mikopo ni kuisaidia jamii (...
Kwa muda mrefu sana nchi yetu imekuwa ikipambana kwa kila hali ili kuhakikisha inajiweka kwenye nafasi nzuri katika sekta ya michezo hususani kwenye mashindano ya kikanda, bara na yale ya...
Uwajibikaji wa viongozi ngazi ya kata ni suala ya kuzingatiwa hasa kwa watu waliopewa mamlaka ya kuongoza bila kubagua dini au itikadi ya vyama.Viongozi kutokuwajibika katika utozaji wa tozo...
Utangulizi.
Huduna ni shughuli ambayo hufanywa kwa manufaa ya wengine, inaweza tolewa na mtu au taasisi. Huduma bora ni shughuli itolewayo ili kukidhi mahitaji ya muhitaji, na muhitaji hurudhika...
Nilipohitimu shahada yangu ya kwanza ya elimu mwezi wa saba mwaka 2014 kule Mtwara kwenye chuo cha STAMUCO nikaamua kurejea nyumbani Dar-es-Salaam, nikaona nisibweteke na kungojea ajira za...
UALIMU SI WITO, NI TAALUMA YENYE SIFA NA TIJA KWA TAIFA LA TANZANIA, TUKIWATHAMINI WAALIMU TUMEITHAMINISHA TANZANIA.
HALI YA WALIMU HIVI SASA? NI FUMBO LISILO NA MAJIBU
Kama Taifa tulipofikia...
Uchumi:Serikali iangalie swala La maeneo yaliyo wazi mjini haswa Dar es salaam wamilikishwe watu binafsi kwa mkataba ambao utakua wa kudumu ambapo atakayemilikishwa atapaswa kuanzisha mradi mfano...
Namshukuru Mungu kwa kuzaliwa Tanzania pia kwa kunipa nafasi ya leo kusema na Watanzania, viongozi wa Umma na Jamii kwa ujumla, Makala hii itahusisha mada kuu Tatu zenye Tija ya Elimu, mada zote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.