Kama mtu anavyofikiri, ndivyo mtu anakuwa, ni methali ulimwenguni na ni halisi kabisa
Wakati fulani hivi umeme ukikatika jijini kwetu , kwa hiyo kama kawaida jambo la kwanza lilikuwa kutafuta...
Vijana wetu siku hizi wametekwa nyara na tamaduni za kila upande wa dunia na kuiga kila kinachotokea huko kwingine kuanzia mavazi ,matendo mpaka fikra na mwelekeo wa kimaisha kiasi kwamba hakuna...
mwaka 1992, benki ya dunia ilifafanua utawala bora katika ripoti yake "Utawala na maendeleo" kama - ''Namna ambayo mamlaka yanatumika katika usimamizi wa rasilimali za kiuchumi na kijamii za nchi...
Nchini Tanzania kama ilivyo sehemu nyingi duniani mitandao ni kitu kilichoshika kasi,na maisha yetu kwa sasa yametawaliwa na mitandao,kabla yakuona soko mtandao tujifunze kidogo kuhusu DIGITALI...
Ni wazi kuwa katiba ya sasa imepitwa na wakati kwa sababu kuu mbili. Kwanza, katiba ya sasa ina chembechembe za ukoloni. Na kama tujuavyo ukoloni ulijaa ukandamizaji, unyimaji wa haki na utawala...
SHERIA YA ULINZI WA DATA NA ATHARI ZAKE KWA WAFANYABIASHARA NCHINI TANZANIA.
Sheria ya Ulinzi wa Taarifa binafsi ,sheria namba 11 ya mwaka 2022 ilipitishwa tarehe 1 Novemba 2022 kama utambuzi wa...
Taswira ya biashara mtandaoni ni muhimu sana kuhakikisha mfanyabiashara anajenga mtazamo chanya kwa wateja na kuendelea kunufaika na soko la mtandao.Biashara inaweza kupata misukosuko kutokana na...
Uwezo wa serikali wa kulinda haki-za-binadamu ipasavyo unategemea kutegemeana kwa nguvu na taasisi za kidemokrasia zinazowajibika, mifumo jumuishi na ya uwazi ya kufanya maamuzi, na mahakama huru...
Habari!
Kuna vitu lazima kupitisha msumeno katikati , maumivu yatokee ndipo yaje matokeo change.
Ili kuondoa tatizo la watoto wanaokosa malezi ya wazazi wetu ni wakati sasa kuweka msumari...
MAADILI YA UONGOZI: HADITHI YA SIMBA MFALME NA NYANI MJANJA
Imeandikwa na: Mwl.RCT
Katika hadithi hii, nataka kufikisha ujumbe kuhusu maadili ya uongozi na jinsi yanavyoathiri jamii. Hadithi...
UTENDAJI KAZI WA VIONGOZI SERIKALINI: JE, WANAFUATA MAFUNDISHO YA MZEE MANDELA
Imeandikwa na: Mwl.RCT
UTANGULIZI
Utendaji kazi wa viongozi serikalini ni muhimu katika maendeleo ya nchi. Viongozi...
Katika azma ya kushikilia kanuni za kidemokrasia, kulinda haki za kimsingi, na kukuza mfumo wa kisheria, tunangazia mabadiliko, kikatiba. Katiba ya Tanzania, iliyopitishwa Aprili 12, 1977...
MAISHA NI SAFARI YA KUJITAFUTIA MAFANIKIO: NJIA ZA KUJIIMARISHA NA KUFANIKIWA
Imeandikwa na: Mwl.RCT
Utangulizi:
Karibu katika Makala hii, ambayo itajadili kwa kina ujumbe wa "Maisha ni Safari...
UTAWALA BORA NI HAKI KWA NCHI HURU
Utawala Bora ni mchakato wa kupima ni kwa jinsi gani taasisi za umma, zimeshughulika na Mambo ya umma kwa ufanisi na kutambua haki za binadamu na maadili...
Juni 2020 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilipitisha mabadiliko ya sheria mbalimbali ikiwemo muswada wa sheria ya kuwapa kinga viongozi wakuu wa nchi akiwemo Rais na makamu wake,Jaji...
( MDUDU WA AJABU ANAETESA ULIMWENGU SASA KAINGIA MASHULENI NA VYUONI )
Mwanafunzi mmoja wa kidato cha sita anaejulikana kama Nathan, tulikutana mwezi uliopita wakati tumekutana mazungumzo yetu...
Changamoto za Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari
Tanzania imejitolea kuheshimu viwango vya kimataifa, kikanda, na kikatiba vya uhuru wa vyombo vya habari na uhuru wa kujieleza. Lakini...
Kupambana na umaskini ni changamoto kubwa inayokabili jamii ya Tanzania. Ili kufanikiwa katika juhudi za kupunguza umaskini na kukuza maendeleo, ni muhimu kutumia mbinu mbalimbali zilizosimama...
Historia ya elimu ya Tanzania imejaa mabadiliko na maendeleo kadhaa tangu nchi ilipopata uhuru wake mnamo mwaka 1961. Hapa chini ni muhtasari wa historia ya elimu ya Tanzania:
Kabla ya Uhuru...
TAA YA UMEME INAVYOWEZA KUZUIA MALARIA KWA KUNASA NA KUUA MBU
Utangulizi
Malaria ni miongoni mwa magonjwa ambayo yamekuwa tatizo kubwa na umekuwa ukiuua watu miaka hadi miaka. Malaria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.