NCHI NI WANANCHI: KUUNGA MKONO HAKI NA UHURU WA WANANCHI
Imeandikwa na: MwlRCT
Mfumo wa Nchi Ni Wananchi unasisitiza umuhimu wa haki na uhuru wa wananchi katika nchi. Unalenga kuwawezesha...
Habari zenu
Andiko hili linalenga kuwamasisha wananchi wenzangu juu ya umuhimu wa katiba mpya. Wale wote wenye mapenzi mema na nchi hii bila kujali itikadi zao za kisiasa, kidini au kikabila...
BOMOA BOMOA YA MAKAZI
KILIO CHA WATANZANIA
Utangulizi
Bomoa bomoa ya makazi imekuwa ni kilio kikubwa kwa watanzania. jambo ambalo limesababisha adhali nyingi sana kwa wananchi na...
UJASIRIAMALI - SIRI YA KUJIKOMBOA KIUCHUMI:
Ujasiriamali ni dhana ambayo inaelezwa kwa namna tofauti tofauti, wengi hufikiri kuwa ujasiriamali ni kufanya biashara tu, lakini kiuhalisia ni...
UTANGULIZI
Kumekuwa na desturi ya kuchagua wabunge wetu kwa mazoea, yani hakuna upimaji wowote unao ainishwa kwamba mbunge kabla ya kugombea awe amefanya hiki na kile au baada ya miaka 5 awe...
Utangulizi
Katika uchambuzi huu, tunazingatia mabadiliko yanayohitajika katika sekta ya ubunifu na uvumbuzi, kuanzia shule za msingi mpaka vyuo vikuu. Lengo ni kuchochea uwajibikaji na kuleta...
MKIA WA MOTO:
Utamaduni wa Kukimbiza Mwenge na Athari Zake Tanzania
Utamaduni wa kukimbiza mwenge umekuwa sehemu muhimu ya maisha ya Tanzania kwa miongo kadhaa. Hata hivyo, kuna haja ya...
Utangulizi:
Sekta ya afya ni msingi muhimu wa maendeleo ya jamii na uchumi wa Taifa lolote. Katika Tanzania, kuna umuhimu mkubwa wa kufanya mabadiliko ya kiteknolojia ili kuleta mabadiliko chanya...
SITALISAHAU KABURI LAKO MADALITSO
Mwandishi: Saadala Muaza
---
Ilikuwa ni saa kumi na mbili takribani na dakika arobaini na saba za jioni. Sauti yako ikapenyeza hadi kwenye ngoma za sikio langu...
MKIA WA MOTO:
Utamaduni wa Kukimbiza Mwenge na Athari Zake Tanzania
Utamaduni wa kukimbiza mwenge umekuwa sehemu muhimu ya maisha ya Tanzania kwa miongo kadhaa. Hata hivyo, kuna haja ya...
Unamkumbuka Mwanafalaki na Mwanahisabati aliyekuwepo zaidi ya miaka elfu mbili na mia mbili iliyopita katika kisiwa cha Sisilia ambacho leo tunaita Italia. Mtaalamu ,huyu alikuwa anaitwa Archmedes...
CHANGAMOTO ZA" MKOPO "WA ELIMU YA JUU KWA WANAFUNZI WANAOTOKA KATIKA KAYA/FAMILIA MASIKINI
Makopo ya elimu ya juu ni chombo muhimu sana katika kusaidia wanafunzi wenye uwezo mdogo kifedha kupata...
UTANGULIZI
Kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 109, majaji wote wanateuliwa na Rais ambaye ni kiongozi mkuu wa Serikali na kiongozi mkuu wa chama dola, serikali na...
UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA HABARI.
Tupo katika karne ya 21 ambapo tumeshuhudia ulimwengu ukipiga hatua kubwa katika upande wa teknolojia ambayo imefanya ulimwengu kuwa kama kijiji. Teknolojia...
Suala la ubovu na uchakavu wa miundombinu katika taasisi za kielimu zimekuwa kilio kikubwa kwa Watanzania wengi Tangu kupatikana kwa uhuru mwaka 1961 mpaka kufikia sasa, hasa katika maeneo ya...
Kwanini umasikini unaendelea kuwa adui wa taifa? Ni vigumu kuupatia majibu ila kwa kuugawa maeneo mawili. Nayo;
a) chini ya mfumo wa chama kimoja 1961-1992: hapa umasikini ulipigiwa vita kwa...
Kukuza Utawala Bora na Uwajibikaji katika Siasa na Uongozi
Utangulizi
Utawala bora na uwajibikaji ni mambo muhimu katika kujenga jamii imara na yenye maendeleo endelevu. Katika andiko hili...
BIASHARA ZA WAFANYA KAZI WA KAZINI ZINA PELEKEA UPENDELEO NA MIGONGANO YA KIMASILAHI
Kufanya biashara ukiwa offisini sio jambo baya kabisa ni sehemu ya kujiongezea kipato, kwa sababu ni vigumu...
Siku moja kuna rafiki yangu wakaribu alifiwa na baba ake mdogo kama ujuavyo watanzania tuliowengi tunatabia yakushirikiana katika shida na raha basi siku ya maziko nilikaa pamoja na vijana...
Tarehe 28 Machi 2022, Mahakama ya Rufani Tanzania (CAT) kupitia hukumu ya kesi ya Rufaa ya TANZANIA POSTS CORPORATION dhidi ya DOMINIC A. KALANGI (Rufaa ya Madai Na. 12 ya 2022) [2022]...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.