Karibu kwenye chapisho langu hapa nitaelezea maisha ya binadamu katika siasa, uchumi na kijamii ila nitatumia hii methali "ndege wanaofanana huruka pamoja" kama mbinu ya kifasihi katika...
Utangulizi: Vijana Kuwajibika kijamii ni muhimu kwa maendeleo ya jamii na ustawi wa kila mmoja wetu. Kila mmoja wetu anapaswa kuchukua jukumu katika kusaidia na kuchangia katika maendeleo ya jamii...
Utangulizi: Uwajibikaji na Utawala Bora katika Sekta ya Ujenzi na Uchukuzi ni mada muhimu sana katika maendeleo ya uchumi na jamii ya Tanzania. Sekta hii inahusika na mipango, utekelezaji, na...
Sauti ya nyenje na wadudu wengine iliendelea kunisindikiza taratibu kuelekea nisipopajua. Safari yangu niliyoifanya wiki moja ilinichosha na kunipotezea matumaini. Jua lisilokoma liliendelea...
Habari za wakati huu ndugu
Kulikuwa na kijana mdogo aliyeitwa kaswahili, mzaliwa wa kijiji kidogo kutokea katika nchi ya Tanzania, kijana huyu alitamani sana kuiona Tanzania ikiwa nchi bora...
UTANGULIZI
Mmomonyoko wa maadili ni kutozingatiwa kwa utaratibu wa maisha unaokubalika katika taifa ambalo limejiwekea na madhara yake ni makubwa kwa jamii na hivyo kuathiri kuongezeka kwa vitendo...
Fumbo la nishati: Nishati huifadhiwa, lakini tunaishiwa.
Tuangazie vyanzo vyetu vya sasa vya nishati na matarajio yetu ya nishati ya siku zijazo kwa ufupi. Kisayansi, hebu tuangalie baadhi ya...
#Storyofchange2023
Mwandishi: Wa Kale
Mawasiliano,
Email: officialmapatotz@gmail.com
Simu: +255745922142
Utangulizi: Katiba naweza kusema, ni taratibu, miongozo, kanuni na sharia zinazotumika...
I. Utangulizi
Tanzania, sawa na nchi nyingine duniani, inatambua umuhimu wa elimu kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Kwa miaka mingi, serikali imefanya juhudi kubwa kuendeleza mfumo wa elimu...
TANZANIA TUANZISHE ‘ELIMU YA SAYANSI KWA URAIA UNAOWAJIBIKA
Hivi sasa, elimu ya sayansi hailengi tu kuelimisha wanasayansi na viongozi wa baadae, lakini kuongeza idadi ya wanafunzi wote kuwa raia...
Ni mimi na Wewe
Ili kujenga jamii bora yenye kuzingatia maadili na desturi za kiafrika basi watekelezaji wakubwa ni mimi na wewe. Mimi na Wewe ndio tunaoweza kuibadilisha jamii au kubadilisha...
NGUVU, AHADI NA MTIKISIKO WA MAJI SAFI YA TANZANIA
Benjamin Franklin katika karne mbili zilizopita alisema”Pale kisima kikaukapo,tunajua thamani ya maji’Vile visima ambavyo tulijivunia kwamba...
Tanzania, kama nchi nyingi za Kiafrika, inakabiliwa na viongozi wasiowajibika na wala rushwa. Hii imesababisha wingi wa matatizo, ikiwa ni pamoja na kukosekana kwa usawa wa kiuchumi, ukosefu wa...
Utangulizi,
Uwajibikaji na utawala bora ni misingi muhimu ya maendeleo endelevu katika jamii. Katika nyanja mbalimbali kama vile kisiasa, kiuchumi, na kijamii, uwajibikaji na utawala bora...
Mtandao (Internet) umekuwa moja ya teknolojia zinazoongoza ulimwenguni na ambayo imetoa mchango mkubwa katika kuleta maendeleo ya kiuchumi, kijamii, na kuinua ustawi wa mamilioni ya watu duniani...
UTANGULIZI
Uchungu wa kumpoteza mtu unayempenda, kazi unayoipenda au kitu unachokipenda kinaweza kuleta athari kubwa zisizoelezeka. Changamoto hazikwepeki maishani na wahenga walisema shida...
UTANGULIZI
“POSATRAS” ni mfumo dhibiti wa majanga na uhalifu yanayosababishwa na vyombo vya moto kama vile pikipiki, na magari ya aina zote.
Lengo la mfumo ni kudhibiti majanga yanayotokana na...
WATU, SIASA NA MAENDELEO
Watu ni Wananchi, Wananchi ni watu wanaotambulika kisheria kitaifa katika serikali au jimbo la kawaida iwe kuomba au kuzaliwa. Kwa uelewa Wangu mdogo najua kuwa Raia na...
LUCK and CHOICES
Hakuna mtu ambaye hajawahi kusikia neno BAHATI(LUCK) ,.Ila Hakuna kitu Bahati Lakini Kila kitu ni Bahati. Wazungu wanasema Bahati ni Sawa na Fursa ukaongeza na maandalizi ya hiyoo...
WATU NI MTAJI
Mtaji ni Fedha ambayo ni lazima uwe nayo katika mwanzo wa biashara yoyote ile. Mtaji ndio msingi mkuu wa biashara yoyote ile ili iweze kukua na kufikia malengo na matamanio ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.