Juhudi zinazofanya za kushusha vifurushi na kuondoa baadhi ya huduma kwenye bima ya NHIF hayo ni matunda tu yaliyooza ila mzizi wake ni wimbi kubwa la wagonjwa wa magonjwa yasiyo ya kuambukiza...
UTANGULIZI
Demokrasia ya kweli ni uwezo mkubwa wa taifa katika uwasilishaji wa mawazo utakao ruhusu kupokea mitazamo kwa kila mwananchi. Katika kuzingatia hilo uwakilishi wa maamuzi kitaifa...
Utangulizi
Kufuatilia matumizi ya fedha za miradi ya serikali ni muhimu ili kuhakikisha uwazi, uwajibikaji, na matumizi sahihi ya rasilimali za umma. TAKUKURU jama taasisi inayosimamia kuzuia na...
Ongezeko la watoto wa mitaani ni moja kati ya changamoto kubwa amabayo inahitaji jitihada kubwa katika Nchi ya Tanzania ,kuongezeka kwa watoto wa mitaani kuna sababishwa na mambo mingi sana...
MAPAMBANO YA RUSHWA NA TANZANIA TUITAKAYO MIAKA 5 MPAKA 25
Rushwa inaweza kutafsiriwa kuwa ni hali ya kupokea na kuchukua mali au pesa ya serikali au kampuni kwa faida binafsi. Rushwa inaweza...
CHANGAMOTO.
LUKU kuisha kwa na umeme kukatika pasipo watu kuwa na taarifa
SULUHISHO
kuunda mfumo wa KIELECTRONIC utakao gundua LUKU kuisha na kutuma sms kwa mteja mfano kiasi Cha LUKU kilicho...
TANZANIA TUITAKAYO MIAKA 5 MPAKA 25 KATIKA MAENDELEO YA KIUCHUMI
Tanzania ni nchi yenye uchumi wa kati-chini (middle lower income) kulingana na tafiti na taarifa ya Benki ya dunia ya tarehe 1...
Tanzania na Teknolojia ya Blockchain: Njia ya Kukuza Ustawi wa Masoko Ndani ya Miaka 10
Utangulizi
Teknolojia ya blockchain ni mojawapo ya uvumbuzi muhimu unaobadili sekta mbalimbali za uchumi...
Matukio ya utapeli nchini yamezidi na yanazidi kushika kasi nchini. Matapeli wamekua wakibuni mbinu mpya kadiri siku zinavyosonga. Utapeli wa mitandaoni na usio wa mitandaoni umekuwa mwiba mkali...
MAWAZO YANGU JUU YA VIONGOZI WANAOCHAGULIWA NA WANANCHI.
Katika nchi yetu Kuna jopo kubwa Sana la viongozi ambao huingia madarakani kupitia kuchaguliwa na wananchi ambao viongozi hao ni wenyeviti...
TATIZO LA MAJI LITAISHA KWA NAMNA HII
Chanzo Cha Picha: Freepik
Tatizo la maji katika nchi yetu hii ya Tanzania ni changamoto kubwa inayokabili nchi, Mijini na vijijini. miundombinu ya maji...
Inashangaza sana kuwa na taifa ambalo lina kila aina rasilimali ambazo zikitumiwa vizuri tunaweza kuwa na taifa ambalo lina pato kubwa la taifa.
Fikiria madini ya almasi, dhahabu, ruby au...
Picha mtandao
Taaluma ya uandishi wa Habari, ni miongoni mwa taaluma inayozalisha wahitimu wengi katika vyuo mbalimbali hapa nchini Tanzania kila mwaka. Wahitimu hao wanakwenda kufanya kazi...
Tangu tupate uhuru yapo mambo mengi ambayo yamefanywa na viongozi wa taifa letu, mambo hayo yalifanywa ili kuliwezesha taifa letu kuimarika kiuchumi na hatimaye kuweza kuendesha shughuli...
Mafuta ni nishati muhimu sana duniani, pamoja na kuwa nishati muhimu sana duniani bado nchi zinazozalisha mafuta asilia ni nchi chache sana duniani, kiasi kwamba hata pale zinapokumbwa na...
Aaah jamani humu nyote muwazima haya mm Nina mchango kidogo kwenye sekta ya vyombo vya baharini kama tunataka nchi yetu ifikie maendeleo kwa haraka, kwanza Jambo la mwanzo la kufanya ni kuwa na...
Tanzania has enriched with abundant water resources ranging from big livers, dam, ocean, it has also advantage of being accessed by all continents easily through Indian Ocean, with good and...
Elimu ni nyenzo kuu ya kukuza ujuzi na ubunifu kwa vijana katika taifa na dunia kwa ujumla.Ili taifa liendelee linatakiwa kuwa na vijana wenye ujuzi wa hali ya juu katika kutatua changamoto...
Kwa miaka mingi kupita kwa hivi leo tunaita ni stori, kumbuka na rejea mwaka 1924 kulikuwa na watanzania nao waliishi kama wewe uishivyo hivi sasa mwaka 2024. Ni miaka 100 imepita tangu 1924, ni...
Tunaposhuhudia ongezeko la idadi ya wanafunzi wanaojiunga na elimu ya juu na serekali kuongeza wigo wa wanafunzi kupata mikopo, tunakumbana na changamoto ya ongezeko la vijana wanaohitimu elimu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.