Kukuza Ajira kwa Vijana wa Tanzania kwa Miaka 5 Hadi 25 Ijayo Ili kupata Tanzania yenye uchumi Bora.
Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa ya ajira kwa vijana, hali inayotishia ustawi wa taifa...
Kilimo bado ni muhimu sana nchini Tanzania, kwani kinatoa ajira kwa idadi kubwa ya watu na kuchangia takribani robo moja ya pato la ndani la taifa (Benson, 2017; Cooksey, 2012). Kwa kutegemea sana...
Kwa mujibu wa utafiti wa umoja wa mataifa, kila baada ya sekunde 8 mtu mmoja hufa kutokana na madhara ya sigara.
📸Wikipedia
Sigara ina madhara makubwa sana katika mwili wa binadamu, lakini...
Ili tuweze Kufikia malengo tunahitaji kuwa na juhudi, tuweze kuvuka vikwazo na kukamilisha mipango sahihi. Viongozi wetu waonyeshe dira, pamoja tufanye kazi, tuweze kuzalisha ili tufikie...
Ili kupunguza changamoto ya foleni katika maeneo tofauti nchini Tanzania ni kuboresha miundombinu ya barabara zetu ambazo ndio chachu ya maendeleo kwa kiasi kikubwa kwani itapelekea Watu kuwahi...
Munakasha wa kipi kianze kati ya vitu hivyo viwili umekua ni endelevu na wa muda mrefu na mgumu. Aina zote mbili za uhuru ni misingi ya jamii za kidemokrasia na maendeleo binafsi na taifa kwa...
Nimushukuru mwenyezi mungu Kwa kunipa afya njema nami niwakaribishe watanzania wenzangu katika #storyofchange na jamii forums.
Kama ambavyo bendera yetu ikiwakilisha rangi zake nne blue(bahari na...
Je! watanzania tunaowataka ni wa aina gani?
Majibu mepesi ni kwamba tunahitaji Watanzania wazalendo, wachapakazi, waadilifu na wenye maendeleo ya mtu mmoja mmoja kwajili ya afya ya taifa lenye...
Kabla ya kuendelea na mada husika ningependa kwanza tuelewe maana ya ujuzi. UJUZI ni maarifa aliyonayo mtu katika kubuni, kufikiri, kuunda na kutenda jambo au kitu kitakachomsaidia yeye mwenyewe...
NATAKA TANZANIA IWE YA MAFANO DUNIANI (USHAIRI)
---------------------------------------------------
maono yalo moyoni, kichwani mwangu akili
asilimia Imani, naona hiyo fahali
Miji paka jijini...
UTANGULIZI.
Kwa miaka mingi sasa Jeshi la Polisi limekuwa likilalamikiwa na wananchi pamoja na taasisi mbalimbali zinazojihusisha na haki za binadamu na uhuru wa watu kwamba linajihusisha na...
Tanzania, kama ilivyo kwa mataifa mengi duniani, inajitahidi kuunda jamii yenye usawa zaidi. Usawa wa kijinsia umekuwa kipaumbele katika ajenda za kitaifa na kimataifa, na kwa hakika, tumepiga...
Tanzania ni nchi yenye amani iliyosheheni watu wa rika zote. Kijana wa Tanzania Tuitakayo ni mfano wa kisiwa katikati ya bahari.
Hivi ndivyo ninavyomfananisha kijana mmoja aliye katika jamii...
1. Usawa:
Usawa ni kipengele muhimu katika kujenga taifa lenye mshikamano na maendeleo ya kudumu. Tanzania inahitaji kuzingatia usawa katika nyanja mbalimbali
Kijinsia:
Lengo ni kuhakikisha kuwa...
I envision our country as having immense potential to become the business hub of Africa. Blessed with natural harbors and bordered by eight countries, many of which are landlocked, we possess a...
Serikali inapaswa kuongeza idadi wa madaktari wa kike ,ili Wawa hudumie Wana wake pale wanapofika hospitalini.
Kufanya hivyo kutapunguza unyanyasaji wa kijinsia na kuongeza ufanisi wa kazi...
Kijana mwenye adabu kamwe awezi kukaa kwenye kiti iwapo kuna mzee kasimama, iwe kwenye daladala au sehemu nyingine, na hii ni kulingana na hii ni kulingana na utamaduni wetu wa kitanzania, lakini...
Utangulizi
Katika moyo wa Afrika Mashariki, Tanzania inasimama katika njia panda kati ya mila na uvumbuzi. Ikiwa na idadi kubwa ya vijana, taifa lina hazina ya uwezo ambao bado...
Mabadiriko yanatakiwa kufanyika katika utendaji wa Takukuru na CAG ili kuzuia ubadhirifu na ufisadi katika miradi na fedha za uma zinazotolewa na serikali. Kama sheria ya 2007 inayoipa takukuru...
Kumetokea sasaiv wimbi la vijana wasiotaka kuoa lakini wana vipato vizuri, wengi wao wanasingizia kuwa bado hawajajipanga, lakini hao hao ndio wanaongoza kufanya uasherati wamekuwa wanawapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.