SoC04 Threads

  • Suggestion Suggestion
I. Introduction The air hangs heavy with the dust of a thousand pickaxes, a gritty reminder of the toil that fuels Tanzania's mineral wealth. Beneath the sun-baked earth, where diamonds gleam...
0 Reactions
0 Replies
206 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Utangulizi Nchi yetu Tanzania, kama ilivyo katika mataifa mengi, vita dhidi ya uraibu wa kamari na vilevi vyenye kemikali maarufu kama "Visungura" imekuwa changamoto kubwa. Tatizo hili limekua...
7 Reactions
30 Replies
1K Views
Upvote 17
  • Suggestion Suggestion
Utangulizi Tanzania, nchi yenye maliasili tele, hata hivyo bado ipo katika hatua muhimu ya mabadiliko ya kiuchumi. Lengo ni kuwa miongoni mwa nchi zinazojitafutia maendeleo ya kiuchumi. Ili...
1 Reactions
0 Replies
150 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Ili kutokomeza rushwa na kujenga TANZANIA TUITAKAYO ni lazima tuzingatie sekta zote katika nchi yetu zinatoa huduma bora na stahiki kwa usawa pasipo rushwa kwa wananchi wote. Zifuatazo ni njia za...
0 Reactions
0 Replies
173 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Utangulizi. Katika kipindi cha robo karne ijayo, Tanzania inaweza kuwa taifa lenye uwezo mkubwa zaidi wa kiteknolojia barani Afrika kwa kuwekeza katika teknolojia ambazo zinaweza kuleta mageuzi...
1 Reactions
1 Replies
209 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
TANZANIA TUITAKAYO 💪🏽. Tanzania ya VIJANA wenye uelewa wa shughuli KUU za kiuchumi zilizo katika maeneo yao wanayoishi au kuzaliwa ambazo zina wawezesha kujiajiri au kuajiriwa katika makampuni au...
1 Reactions
0 Replies
157 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Ili kutokomeza Rushwa ni vyema serikali kufanya utoaji wa ajira zote 'nje na zile za uteuzi' upitie kwenye mfumo mmoja (TAMISEMI) pia wafanyakazi wa TAKUKURU ni wachache wako maofisini na rushwa...
0 Reactions
1 Replies
167 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Rushwa ni kitu chochote Cha thamani kinachotolewa Kwa lengo la kumshawishi mtu afanye au asifanye jambo fulani kinyume na taratibu na Sheria. Aidha kwa mujibu wa benki ya Dunia rushwa ni matumizi...
0 Reactions
0 Replies
345 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
In the heart of East Africa lies Tanzania, a nation brimming with potential and vibrant dreams. It is the year 2024, and the country stands on the brink of a transformative journey that will...
0 Reactions
0 Replies
158 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Katika jamii yetu ya Watanzania, suala la kuzuiliwa kwa miili ya marehemu hospitalini kutokana na madeni ni tatizo ambalo limekua likijirudiarudia mara kwa mara na kuzua mijadala mikali. Wengi...
0 Reactions
2 Replies
254 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Tanzania yetu tunayoitamani ni nchi yenye ustawi, yenye umoja, na yenye uvumbuzi, ambapo kila raia ana fursa sawa za kutimiza uwezo wake kamili. Maono haya yanaweza kutekelezeka kupitia mkakati wa...
4 Reactions
3 Replies
255 Views
Upvote 4
  • Suggestion Suggestion
Source: Study Finds Educators, Students Agree: Technology has Value Source...
1 Reactions
0 Replies
118 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Bima ya afya ni nyenzo muhimu inayomweesha mtu kuweza kupata huduma za afya katika vituo vya kutolea huduma za afya kama vile zahanati, vituo vya afya, hospitali za wilaya, mikoa na kadhalika...
0 Reactions
0 Replies
187 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Mapambano Dhidi ya Rushwa na Ufisadi: Njia ya Kuelekea ‘Tanzania Tuitakayo’ Utangulizi Rushwa na ufisadi ni matatizo makubwa yanayokwamisha maendeleo ya kiuchumi, kijamii, na kisiasa nchini...
0 Reactions
0 Replies
196 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
UTANGULIZI Kwa miaka mingi toka nchi ipate uhuru walimu wamekua ndio kiwanda cha kuzalisha maarifa kwa ajili ya uendeshaji wa nchi kwa kuwatoa watu ujinga na kuzalisha Wataalamu ila maslahi yao...
1 Reactions
0 Replies
159 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Kwa miongo kadhaa tangu tumepata uhuru maendeleo ya Taifa letu yamekuwa yakitegemea ilani ya chama kinachotawa na maono ya kiongozi aliyepo madarakani. Hata hivyo muda mwingine utekelezaji wa...
1 Reactions
0 Replies
157 Views
Upvote 3
  • Suggestion Suggestion
Andiko la Mabadiliko kwa Miaka 5-25 Ijayo kwenye Mapambano Dhidi ya Rushwa na Ufisadi kwa Ajili ya 'Tanzania Tuitakayo' Utangulizi Rushwa na ufisadi ni matatizo makubwa yanayozorotesha maendeleo...
0 Reactions
0 Replies
172 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Kwa kutumia mali asili zetu tunaweza fanya mabadiliko kiuchumi na kuimalisha jamii zetu,Pamoja na kujisimamia kiuchumi na kupunguza utegemezi kutoka nje ya nchi. Bahari: Utalii wa Pwani...
2 Reactions
2 Replies
206 Views
Upvote 4
  • Suggestion Suggestion
Tanzania na nchi za afrika kwa ujumla wake tumekuwa na uduni katika kukuza SEKTA ya UJENZI kwa MAENDELEO ENDELEVU pamoja na usalama wa nnchi zetu 1. SEKTA YA UJENZI ni nyenzo muhimu katika...
1 Reactions
0 Replies
136 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Kwa wahitimu wa Elimu ya juu mtakubaliana na mimi kuwa changamoto ya ajira imekuwa tatizo kubwa sana, Serikali, taasisi binafsi wamekuwa wakitafuta njia za kuondosha tatizo ili la ajira.Watu wengi...
0 Reactions
0 Replies
196 Views
Upvote 0
Back
Top Bottom