Tanzania ni mojawapo ya nchi chache zenye kila aina ya rasilimali ila bado imekua masikini na inasua sua kiuchumi,yafwatayo yanatakiwa kurekebishwa ili taifa hili liendelee.
Uhuru wa vyombo vya...
Tanzania is one among countries which its economy has been growing fast and at a high rate. According to national bureau of statistics in 2022 the net worth of output increases to TZS 141,872,730...
With the alarming increase in the number of people being affected or at risk of being trapped into mental health issues , the society has experienced a shift in approach to mental health through...
Na sanidi andiko hili kwa masilahi sufufu ya ardhi hii ambayo ndio chimbuko la Chifu Mkwawa, asili ya Chifu Mirambo, alipozaliwa Chifu Kimweri na Mtemi Isike na ndio taifa liongozwalo na Chifu...
Hakuna kitu kizuri kama kufanya kazi ambayo ipo kwenye damu yako, uipendayo kwa muda mrefu. Kwa nchi za wenzetu zilizoendelea ni kwamba mtoto huwa mtu huwa anaandaliwa kuwa mfanyakazi fulani tangu...
Shule za ufundi au technical schools ziongezwe ili kuweza kuwajengea wanafunzi ujuzi na uwezo katoka nyanja mbalimbali ikiwemo baadhi ya ujuzi wa veta kuingizwa katika mitaala ya elimu ya...
Kupitia ukuaji wa Teknolojia ya mawasiliano na Habari, Tanzania imeweza kuunda mifumo ya usimamizi wa Taarifa za wagonjwa.
Mifumo hii iliyoundwa bado kwa sasa imekuwa ina changamoto kubwa ambayo...
Kupitia mfumo wa kiditali bima ya AFYA VIKOBA itawezesha makundi tegemezi kama mwanafunzi, ombaomba nk kumudu gharama za matibabu kwa kuchangia Tshs 150 kwa siku, 1000 kwa wiki na 45,000 kwa...
Ni mara kadhaa sasa kipindi cha hivi karibuni kumeshuhudiwa sinto fahamu katika mfumo wa bima ya afya swala lililopelekea huduma kusuasua na kuleta sinto fahamu.Ifuatayo chini ni moja ya mfano...
Tunapotarajia mustakabali wa Tanzania, ni muhimu kutengeneza dira ya kina na ya mbele inayoshughulikia sekta mbalimbali kama vile elimu, afya, teknolojia, uchumi, mazingira na miundombinu. Lengo...
Ili kuweza kudhibitiana na mabadiliko ya tabia ya nchi nivema serikali ikaanzisha kitengo kipya kitakachoanzia ngazi ya mtaa/Kijiji hadi taifa watakaokuwa wanashughulikia suala la upandaji wa miti...
Tunaposimama kwenye njia panda za maendeleo na utunzaji wa mazingira, wakati umefika kwa Tanzania kuweka njia dhabiti na yenye dira kuelekea mustakabali endelevu na wenye mafanikio. Changamoto...
Tanzania nchi nzuri yenye udongo wenye rutuba ajabu kubwa sana ni kwamba imekaliwa na mapoli ambayo hayana future yoyote maono yangu
MAONO YA MIAKA 5
Kwanza elimu yetu ya veta na kilimo iwe ndo...
Unakuta kuna uhaba wa ajira sekta fulani mfano uhandisi, ualimi, udaktari na sekta mbali mbali.
Lakini kuna watu wengi ambao wapo katika hizo fani na wengine wanafanya kazi ambazo hata haziwapi...
SCOPE YA TATIZO: Tangu kuanza kwa karne ya 21 Taifa limekuwa katika mageuzi makubwa ya kuasili mifumo mbalimbali ya Tehama, lengo likiwa kuendana na ulimwengu. Mageuzi haya ya utandawazi...
Tanzania Tuitakayo: Ajira na Tenda kwa Miaka 25 Ijayo
Utangulizi
Katika kijiji kidogo cha Mkwajuni, kulikuwa na kijana mwenye ndoto kubwa, Juma. Alikuwa na elimu ya chuo kikuu lakini alipambana...
Utangulizi:
Katika Tanzania, huduma za afya zinaendelea kuwa muhimu katika kuboresha ustawi na maendeleo ya jamii. Hospitali za umma zinachukua jukumu kubwa katika kutoa huduma hizi kwa wananchi...
Moja - Itengwe bajeti ya kutosha katika sekta hii; zitolewe fedha ambazo zitakidhi mahitaji ya sekta ya (UCHUKUZI), hata kama sio kwa asiilimia mia moja. Hii itasaidia miradi mfano...
Ili kuendana na teknolojia ya dunia na kukimbia kwa kasi tunapaswa kuwa na teknolojia ambayo itaketa vitu vingi Kwa pamoja na kurahisisha huduma katika sehemu moja
Moja ya huduma hizi ni pamoja...
TANZANIA TUITAKAYO.
Tukumbuke jina Tanzania halikuwepo kabla ya 26/4/1964, lakini ardhi na mipaka yake ilikuwepo. Hivyo pamoja na uumbaji wa Mungu, lakini utashi wa mwanadamu uliweza kuamua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.