SoC04 Threads

  • Suggestion Suggestion
Mawasilianao ni kitendo Cha kupashana habari baina ya mtu mmoja na mtu mwingine au baina ya mtu mmoja na kundi la watu. Kuna njia nyingi za mawasiliana kama vile kupigiana simu,kutumia a...
0 Reactions
0 Replies
230 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Miongoni mwa nchi zenye matumizi makubwa ya mitandao Afrika mojawapo ni Tanzania, ni nchi ambayo matumizi ya intaneti yanakua kwa kasi sana. Tunaweza sema utandawazi unakua kwa kasi kubwa mno...
0 Reactions
0 Replies
429 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Wakazi wanaamini Vyandarua vya Serikali vinaleta Kunguni na kupunguza nguvu za Kiume Wakazi wengi wa mkoa huu ni fukara ambapo kwa mujibu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), wakishika nafasi ya...
0 Reactions
0 Replies
204 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
MAPAMBANO KUTOKOMEZA UKATILI DHIDI YA WATOTO NA KUREJESHA MAADILI KATIKA JAMII. Imekuwa kama hadithi ya kuzoeleka katika jamii, watu wakifanya matukio ya kutisha kila kukicha hapa nchini. Wengine...
0 Reactions
0 Replies
273 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Ili kufikia malengo ya kufanikisha Tanzania tuitakayo tukianzia kwenye suala la mazingira Tanzania ni nchi ambayo inae mazingira bora inae mazingira mazuri sana lakini tukija baadhi ya maeneo...
0 Reactions
0 Replies
144 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
INTRODUCTION: As a developing country and one of the peripheral states in the world, Tanzania has so many areas to improve in order to boost economic development and improve the welfare of the...
1 Reactions
0 Replies
185 Views
Upvote 3
  • Suggestion Suggestion
Maana ya Rushwa: Rushwa ni matendo ya kupokea au kutoa hongo, zawadi au malipo mengine kwa madhumuni ya kupata manufaa yasiyostahili, au kuepuka hatari inayotokana na kutofanya hivyo. Inaweza...
0 Reactions
0 Replies
844 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Hifadhi ya taifa ya mlima Kilimanjaro Tanzania ni moja ya hifadhi kubwa na ya umuhimu zaidi katika nchi ya Tanzania na Afrika kwa ujumla. Hifadhi hii ipo mkoani Kilimanjaro ikizungukwa na wilaya...
0 Reactions
0 Replies
261 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Yawezekana yapo machapisho mengi yahusuyo mila,desturi na maadili lakini yakawa tofauti na wazo langu. Ndio Tanzania nchi yangu ina takribani makabila mia na ushee ambayo yanatofautiana katika...
0 Reactions
0 Replies
288 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Tanzania ina utaratibu wa kutenga kiasi cha fedha kutoka kwenye mapato ya ndani ya halmashauri zote kwa ajili ya maendeleo ya vijana, wanawake na walemavu. Fedha hizo hutokana na asilimia 10% ya...
0 Reactions
0 Replies
251 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Hifadhi ya taifa ya mlima Kilimanjaro Tanzania ni moja ya hifadhi kubwa na ya umuhimu zaidi katika nchi ya Tanzania na Afrika kwa ujumla. Hifadhi hii ipo mkoani Kilimanjaro ikizungukwa na wilaya...
0 Reactions
0 Replies
227 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
TRANSFORMING TANZANIA'S EDUCATION SECTOR: A VISION FOR THE NEXT DECADE Tanzania, a land of diverse cultures and breathtaking landscapes, envisions a future where education becomes the cornerstone...
2 Reactions
5 Replies
368 Views
Upvote 3
  • Suggestion Suggestion
Tanzania ni jamhuri ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Muunganiko huu uliofanyika 26,April,1964 takeibani miaka 60 sasa ndo ulizaa Tanzania. Tatizo la mtandao(network) Tangu uhuru,Tanzania na...
0 Reactions
0 Replies
173 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Tanzania tuitakayo inataka mambo mengi sana ili tufike katika lengo letu ila Kuna mambo ya muhimu ambayo tunaweza kuanza nayo ili Yale mengi tunayo yataka yapate kufanikiwa kabla ya yote Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
161 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Familia nyingi za sasa na walezi wengi wa sasa, wamekuwa ni sehemu ya kusababisha mengi mabaya ya jamii hii ya leo hususani katika malezi na makuzi ya watoto wa kike na wa kiume. Neno kusema hili...
0 Reactions
0 Replies
278 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Uzalendo ni kitendo cha mtu kuipenda, kuithamini na kupambania nchi yake.natamani miaka mitano na kuendelea tuzalishe jamii ya uzalendo wa kweli na kuithamini nchi yetu. Mapendezekezo yangu bunge...
0 Reactions
0 Replies
298 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Utangulizi: Tanzania ni nchi ambayo imepewa zawadi ya kipekee na Mwenyezi Mungu katika bara la Afrika kwa kubarikiwa kuwa na sehemu nyingi zenye vivutio na rasilimali ambazo zikitumika vizuri...
2 Reactions
3 Replies
351 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
I. A Nation Held Back: Bottlenecks & Lost Opportunities. Imagine a cashew farmer in Mtwara, their harvest ready for export, anxiously watching profits dwindle due to port delays – a reality shared...
0 Reactions
0 Replies
188 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Ni pamoja na kutunga sera ,sheria pamoja na kanuni kwa watu wenye ulemavu ili kuwajali na kushirikiana nao katika maendeleo ya nchi kwa ujumla kwakuwa na wao wanamchango mkubwa mno kwa asilimia 70...
1 Reactions
0 Replies
190 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Sera ya elimu itaje na kusimamia ujuzi wa watoto kuanzia ngazi ya msingi hadi chuo kikuu. Elimu ilenge kutoa wataalamu na wajuzi, watoto watambuliwe uwezo mapema katika ngazi za awali kielimu ili...
0 Reactions
0 Replies
164 Views
Upvote 0
Back
Top Bottom