The community of the Kivukoni fish market and many other fish markets in Tanzania use traditional ways of purchasing fish, this method requires physical presence of the customer thus resulting to...
Habrini za muda huu wadai wa JamiiForums?
Leo nina jambo moja nataka kuzungumzia kuhusu kero ya kufuatilia mafao yako NSSF ya kukosa kazi/ajira au kufukuzwa kazini.
Hatua ya kwanza unakwenda...
Tanzania, like many nations, faces the challenge of balancing punishment with rehabilitation within its prison system. While incarceration aims to deter crime and protect society, a purely...
Inatisha na kusikitisha jinsi changamoto za sekta ya afya zinavyoathiri watu kote ulimwenguni, Tanzania nchi yangu nayo haijaachwa nyuma na janga hili linalokua kila uchwao, linaloteka vichwa vya...
Michezo ni matukio au vitendo vinavyohusisha matumizi ya viungo vya mwili kwa lengo la kujenga afya na pia ni ajira. Kwa mantiki hii iwapo nchi ikiweza kwenye michezo kuanzia sasa ni dhairi naiona...
Introduction
It took 90,000 years for the first Homo sapiens, which first emerged in Africa, to transition from hunting and gathering to the first farmers. Then, in less than a quarter of...
Climate change poses a significant threat to Tanzania's socio-economic development, biodiversity, and overall environmental stability. The country experiences a range of climate-related...
Ndoto za kijana yeyote makini ndani ya taifa itatimia kama ana afya Bora tu na sio Hela nyingi.hela Zita tafutwa kama kijana ana nguvu na afya tele.vitu muhimu ambavyo vina tunapaswa kuvifanya Kwa...
Tanzania ni miongoni mwa nchi za Afrika zenye uchumi wa kati. Ambapo sekta ya kilimo inachangia 26%-30% ya Pato la taifa. 60%-70% ya watanzania wanajishughulisha na kilimo. Tanzania imebarikiwa...
Wanangu, ninaliona jasho lenu la kuusukuma huu ukuta lakini bado hausogei wala kutikisika na moyo wangu unajaa simanzi, nami ninajitahidi kuwaiteni kwa sauti kubwa lakini sauti yangu inaishia...
TANZANIA TUNAYOITAKA NDANI YA MIAKA 5,10,25
Tanzania ni nchi iliyopo Afrika Mashariki ambayo inaongoza kuwa nchi ya amani na upendo kwa makabila mbalimbali pamoja na Nchi mbalimbali ambayo ina...
Ukuaji wa miji kiholela nnchini Tanzania ni suala mtambuka ambalo limekua likitafutiwa muarobaini kwa muda mrefu. Kufuatia kasi ndogo ya upangaji wa matumizi ya ardhi na ujenzi wa kasi, makazi...
Maji, kama kioo cha asili, yanaakisi hali ya mazingira yetu. Kutoka kwenye milima yenye theluji hadi kwenye mitaa ya miji, safari ya maji ni simulizi ya mabadiliko, maendeleo, na wakati mwingine...
Utangulizi.
Ninapenda kumshukuru Mungu kwa fursa hii ya kushiriki mawazo yangu katika jukwaa hili la JF - Stories of Changes. Leo, ninapenda kushiriki maoni yangu kuhusu sekta yetu ya afya, ambayo...
Kumekuwepo Kwa taasisi nyingi za kidini zinazo Jenga majengo ya kuubadu na kufanya shughuli zao Bila serikali kujua upatikanaji wake na matumizi ya pesa za hayo mashirika ya kidini.
Kuna baadhi...
JIWEKEE AKIBA UWE HURU KIUCHUMI
Katika hali ya kawaida watanzania wengi hatuna tabia ya kuweka akiba. Hii imetokana na mazoea ya kawaida ya kuishi kutokana na kipato tunachopata. Tabia hii...
Tanzania ni moja ya nchi ambayo inapiga hatua katika nyanja mbalimbali za maendeleo kama elimu, afya, madini, maji, utalii, kilimo, uvuvi nk.
Katika sekta zote hizo, sekta ya elimu imekuwa sekta...
Kikubwa na cha muhimu zaidi kuzingatia, sio yale ya nyuma yalopita bali yajayo na Tanzania yetu hii. Hakuna la kuficha tunaishi kwenye wakati mgumu sana na mambo hayaendi kuwa mazuri huko mbele...
Kutokana na umuhimu wa mawasiliano ya simu ya mkononi pamoja na internet iko haja kwa serikali kujenga miundombinu ya mawasiliano ya simu za mkononi na internet kwenye maeneo yote ambayo yako...
Tanzania ni nchi yenye Mipango, sera na mikakati mizuri lakini mipango hiyo huwa inatekelezwa chini ya kiwango au kutofikiwa kabisa mfano ukisoma dira ya maendeleo iliyo andikwa mwishoni mwa miaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.