Katika nyanja ya elimu, hadithi zina jukumu muhimu katika kuleta mabadiliko chanya na kuchagiza maendeleo ya nchi. kwa kuzingatia mbinu bunifu, desturi-jumuishi, na uwezeshaji katika sekta ya...
Kwa Tanzania ijayo Kuna marekebisho mengi ambayo yanaweza kufanyika katika sekta mama ya ya elimu hapa nchini Tanzania na ili kuboresha mfumo wa elimu na kuhakikisha kuwa wanafunzi wanapata...
Tanzania, nchi yenye utajiri wa rasilimali na utamaduni, imekuwa ikipiga hatua kubwa katika nyanja mbalimbali za maendeleo. Hata hivyo, ili kufikia ndoto ya Tanzania tunayoitaka, kuna mambo kadhaa...
Maeneo ya kando ya barabara ni fursa nzuri ya kibiashara inayoweza kutumiwa na kuleta tija nzuri kwa wakaazi na mamlaka za miji, hata hivyo, kuna umuhimu mkubwa wa kuweka mipango maalumu...
Habari za Leo tena, karibu katika jamvi la story of change, jukwaa linaloibua mawazo mapya. Leo katika Uzi wangu huu, nataka wadau wote kutoka katika sector zote, tusaidie wadau na wanazuoni...
👉Here we go again raising voice to support the country by contribution of youth.
💡Among all age groups, youth is believed to be a better stage of bringing changes due to energy and fresh thinking...
UTANGULIZI
Tanzania tuitakayo lazima tuweke misingi Bora na endelevu katika kilimo. Hii ni sekta nyeti ambayo inamchango mkubwa katika uchumi wa nchi zaidi ya asilimia 25 na kuajiri nguvu kazi...
Dhana ya kufanya biashara kwenye maduka ya dawa Muhimu (DLDM) inahatarisha maisha ya wananchi wanao kimbilia kupata huduma kwenye maduka haya .Maduka ya dawa yamerahisisha huduma ya upatikanaji wa...
Huwezi zungumzia sekta zenye mchango mkubwa katika uchumi wa nchi yetu bila kuitaja sekta ya utalii. Imekua ikichangia pato la taifa na ajira kiujumla. Licha ya uwepo na utajiri wa maliasili na...
Serikali imekuwa ikiboresha miundombinu ya shule za msingi na sekondari hapa nchini Tanzania ikiwa ni pamoja na ujenzi wa shule mpya za msingi na sekondari katika maeneo mbalimbali ya Tanzania...
In the realm of education, stories play a vital role in driving positive change and shaping the development of a country. By focusing on innovative approaches, inclusive practices, and empowerment...
Nchi ya Tanzania inaendelea kufanya juhudi kubwa tangu kupata kwake uhuru, inaendelea kupanua wigo na maendeleo makubwa katika sekta mbalimbali za kijamii na ina matarajio ya kuendelea kufanya...
TANZANIA YA WATANZANIA
UTANGULIZI
Ili nchi yeyote iweze kuendelea ni lazima kuwe na ushirikiano baina ya serikali, jeshi na wananchi. Katika suala Zima la kuboresha uchumi, siasa na maendeleo ya...
Kumekuwa na changamoto kubwa sana ya mmomonyoko wa maadili katika jamii yetu ya kitanzania na sababu kubwa ya changamoto hii ni wazazi kutoa malezi duni kwa watoto.
Malalamiko yamekuwa mengi...
Zifuatazo ni changamoto kuu zinazopaswa kushughulikiwa ndani ya kipindi Cha miaka 5-25:
1. Upungufu wa watumishi wa Afya
Changamoto:
Tanzania inakabiliwa na upungufu mkubwa wa...
Japo ni ngumu kwa nchi za Afrika lakini bado tunaweza.
Tumeona naibu rais tayari ameagiza jeshi la polisi kuanza kutumia mfumo wa kurekodi matukio yao wanapokuwa kazini, jambo jema sana lakini...
Habari za uzima watu wote?
Nimekuja tena kuleta wazo litakaloweza kuibua au kuchochea maendeleo katika jamii zetu bila kuacha kundi lolote kwenye jamii zetu.
Bila shaka utakubaliana nami kwamba...
Utangulizi;
Elimu, kilimo, afya na tekinolojia vyote huongeza ujumuishi wa uchumi wa Kati wa nchi uwe pia wa kati kwa wananchi,Tekinolojia katika madini kama chuma na madini ya vito, tuweze...
Mikopo rahisi na rafiki ni miongoni mwa njia bora kabisa inayo weza kuwainua watanzania wengi hasa vijana kwa kutoa fursa ya kupata mitaji na kuwezesha ndoto,ubunifu ,ujuzi na vipaji mbalimbali...
Kama kila binadamu hapa ulimwengu atakuwa na afya bora maisha yetu nayo yatakuwa Bora Kwa sababu watu watawajibika katika kujenga taifa na taifa litawajibika kutujenga wnanchi Kwa kutupatia hewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.