Kanda ya Ziwa katika eneo la Afrika Mashariki, ambayo inajumuisha maziwa makubwa kama Ziwa Victoria, Ziwa Tanganyika, Ziwa Nyasa, na maziwa mengine madogo, ina utajiri wa rasilimali za jiolojia...
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) la Tanzania, lililoanzishwa kwa lengo mapana la kuboresha upatikanaji wa makazi, pamoja na malengo ya kuhakikisha kila Mtanzania anapata nyumba tena ya bei nafuu...
Tanzania, kama nchi nyingine, inakabiliwa na changamoto na fursa za kuendana na mabadiliko ya dunia. Kujipanga kunahitaji juhudi za pamoja kutoka kwa serikali na wananchi ili kuhakikisha maendeleo...
Hii ina maanisha kuwa endapo serikali yetu kwa pamoja na mashirika binafsi au hospital binafs zinaajiri wataalamu kwa ajili ya kutoa elimu au ushauri kwa vyanzo vya magojwa hii itasaidia...
TFDA ilibadilishwa kisheria na kuwa TMDA tarehe 1 Julai, 2019 baada ya marekebisho ya Sheria ya Chakula, Dawa na Vipodozi, Sura ya 219 na Sheria ya Fedha Na. 8 ya 2019. ya bidhaa za chakula. Hivyo...
utangurizi: Pamoja na uwepo wa jitihada za serikali katika kutoa elimu maalumu kwa watu wenye matatizo ya kusikia na kuzungumza, rakini bado kumekua na changamoto mbali mbali ambazo haswa zimekua...
KWANINI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA WATANZANIA WASIJIANDIKISHIE NIDA
Kubadilisha mavazi, Tabia, Magari, Nyumba na Majumba sio dhambi na sio kosa kisheria kama vitu vyote vyako hivyo...
Kabla ya yote, nachukua nafasi hii kumshukuru allah (sw) kwa kunijaalia uzima wa afya na uhai pia kuniwezesha kushiriki katika shindano hili la kuandika andiko la kutoa mawazo ya kibunifu kuhusu...
Tanzania ni mojawapo ya nchi zilizo na idadi kubwa ya mifugo barani Afrika. Sekta ya ufugaji ni muhimu sana katika uchumi na maisha ya watu wa Tanzania. Idadi kubwa ya mifugo inajumuisha ng'ombe...
Mambo matano ya kuyafanya
1. Kuweka mkazo katika sera zake za uendeshaji wa mashirika binafsi kuzalisha malighafi za viwandani kama alizeti, miwa pamoja na mazao ya chakula.
2. Kupunguza ushuru...
UTANGULIZI
Katika nchi yeyote duniani ili kuendelea ni lazima iwe na katiba nzuri na yenye kujali maslahi makubwa ya wananchi , bila hivyo tutajidanganya wote tunafahamu kuwa katiba nzuri ndo...
Kwa kuzingatia ombi lako, "Tanzania Tuitakayo":
---
Tanzania, nchi yenye utajiri wa asili na utamaduni, imekuwa ikipitia mabadiliko makubwa katika miaka ya hivi karibuni. "Tanzania Tuitakayo"...
Katika Tanzania tuitakayo Serikali iboreshe katika sekta ya kilimo kwani ndio uti wa mgongo katika kuimalisha uchumi wa nchi yetu. Mambo yakufanyiwa kazi ni pamoja na:-
1. Kutoa elimu juu ya...
Sehemu ya Kwanza: Kuanzisha Misingi
Katika moyo wa Afrika Mashariki, Tanzania inaendelea na safari yake ya kufikia ustawi na maendeleo endelevu. Safari hii imejaa changamoto na fursa, lakini kwa...
Mara kadhaa kama jamii tumejikuta tukiwa na dhana mbaya sana kuhusu maafisa usalama hususani ni askari polisi, mgambo na kadhalika. Takwimu nyingi zimeonesha kuwa jamii haina imani kabsa na...
Upandaji miti umekuwa suala la kutumia nguvu sana kwa sababu ya umuhimu wake mkubwa katika kupambana na mabadiliko ya tabia ya nchi na kuhifadhi mazingira. Hata hivyo, licha ya ufahamu wa umuhimu...
Umma utafanikiwa pengine ukapiga hatua kama utatambua thamani ya kuwapa madaraka watu wa miongoni mwao, wenye uwezo yakinifu, waliojawa na imani ya chachu ya kutaka mabadiliko na wakatambua...
Tanzania Tuitakayo: Mawazo ya Kibunifu kwa Mabadiliko
Tanzania ni nchi tajiri yenye rasilimali nyingi na watu wenye jitihada na uwezo mkubwa. Hata hivyo, ili tuweze kufikia Tanzania Tuitakayo...
jiolojia imekuwa ikiwa nyuma katika vipaumbele vya maendeleo ikilinganishwa na wanasayansi na wahandisi katika nchi nyingi, ikiwa ni pamoja na Tanzania.
Sekta ya jiolojia mara nyingi inakabiliwa...
Kuelekea uchumi wa viwanda Tanzania ina ulazima wa kusimama imara katika nyanja mbalimbali za ubunifu wa kiteknolojia, uwepo wa nguvu kazi, malighafi, wawekezaji, ambapo tegemezi lake Kubwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.