Waheshimiwa Majaji kama nilivyosema mwanzoni kifungu cha 39 kama kilivyotengeneza sura zake 10 nilizotaja. Hakijaweka sharti la matokeo ya hiyo nia.
Kwahiyo huwezi kuipata kwenye section 39. Hayo matokeo ya hiyo nia huwezi kuyapata kwenye case laws kwa maana ya ile ya Grey Likungu na Khatibu...