The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
Waheshimiwa Majaji kama nilivyosema mwanzoni kifungu cha 39 kama kilivyotengeneza sura zake 10 nilizotaja. Hakijaweka sharti la matokeo ya hiyo nia.
Kwahiyo huwezi kuipata kwenye section 39. Hayo matokeo ya hiyo nia huwezi kuyapata kwenye case laws kwa maana ya ile ya Grey Likungu na Khatibu Gandhi.
Ule mtaa unaoitwa Bibi Titi Mohamed ndio huyu alikuwa kwenye hii kesi alikuwa Mwenyekiti wa kwanza wa UWT wa CCM. huyu alikuwa mwanaharakati mpigania Uhuru wa TANU kwelikweli.
Sababu moja kubwa ni kwamba Mahakama haikuambiwa na Mawakili kwenye kesi hizo mbili kwamba "nia" au "intention" ina operate ndani ya matumizi ya kifungu cha 10 cha Penal Code.
Mahakama hii sasa ina hiyo opportunity ya kujielekeza kwenye masharti ya kifungu cha 10 cha Kanuni ya Adhabu (Penal code)
Unless it is expressly declared, get to know that intention is necessary element, then matokeo yaliyokusudiwa kutekelezwa yanakuwa ni ya muhimu. Ni lazima yawe pleaded na kuthibitishwa kwa ushahidi.
Kwa maana hiyo upande wa mashitaka walitakiwa kuonesha kwenye hati ya mashitaka matokeo ya nia hiyo kwamba hiyo serikali wanayosema niliishia, Je ilitishika au haikutishika...?
Walitakiwa kuonesha hivyo kwenye informataion na baada ya kuonesha kwenye information walitakiwa kuleta ushahidi kwamba Serikali ilitishika kwa namna hii au ile. But they absolutely didn't do anything. They just said and left everything in the air kwa sababu ni mashitaka baseless, constructive treason...
Sasa Waheshimiwa Majaji hawakuonesha kwamba Serikali ya JMT ilitishika. Walifikiri wanashitaki watu kwa kutengeneza kosa, wanafungua mashitaka na Kisha wanarusha nonsense yao hewani na ili litakalompata huyohuyo limpate!!
Hawakusema the Executive of the United Republic were intimidated and failure to plea the result make the information to be Defective on the basis of the maamuzi niliyokwisha yasema.
Essential ingedients of the offence must be shown. Usipoeleza, basi Hati ya Mashitaka ni sifuri, completely defective..
Waheshimiwa Majaji, Serikali ya JMT iko sura ya pili ya Katiba yetu ya JMT ya 1977. Ukisoma hiyo sura yote inayoelezea serikali. Na hiyo Serikali inaongozwa na Rais na ndie Mkuu wa Serikali na Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi yote ya Ulinzi na usalama.
Huyu Rais alipaswa kuja kutoa ushahidi kuwa Serikali yake ilitishika. Mimi niliomba aitwe aje aseme na kutolea ushahidi kesii na wao wakapinga sana upande wa Jamhuri na nyie Majaji mkawakubalia. Na nilimuomba kwa makusudi kabisa kwa sababu nilikuwa najua kifungu cha 10(2) kinataka nini na ninyo mnapaswa mjue leo kama mlikuwa hamjui. Lakini hakuja!!
Makamu wa Rais anaitwa Philip Mpango wa wakati huo nilisema aje aseme alitishwaje? Lakini hakuja kwa sababu mawakili hawa wa serikali hiyo walipinga na nyie mkawakubalia Jamhuri.
Mtu wa tatu anayeunda Serikali ni Waziri Mkuu wa JMT ambae wakati huo ni Majaliwa Majaliwa. Niliomba aje atoe ushahidi wake alivyotishiwa na maneno haya na huyo nae hakuja kwa sababu DPP na mawakili wake hawa walipinga sana, na nyie mkawakubalia..
Baraza la Mawaziri linaunda serikali hakuna waziri hata mmoja aliyekuja.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mwendesha Mashitaka wa Serikali, Serikali ni pamoja na Serikali ya Zanzibar wote hao hakuna hata mmoja wao aliyefika kuja kusema walitishikaje?
Kwa Katiba hii Serikali ni pamoja na Tume ya Haki za Binadamu na utawala bora. Serikali ina majeshi niliomba waitwe wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na usalama akiwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Bwana Mombo, wote hawakuja!
Mlinikubalia nimuite Mkuu wa Jeshi la Wananchi (CDF) na wa jeshi la Polisi (IGP) na Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai (DC) wote hawa ni kama walikataa kuja isipokuwa Ramadhani Kingai ambaye alikuja na kuonana nje ya mahakama kunikatalia kutoa ushahidi akisema yeye yuko upande wa wanaonishitaki.
Mimi nililazimika kuwaita kwasababu upande wa mashitaka ndio walipaswa kuwaita. Lakini hawakumuita hata mmoja wao. Kwahiyo hakuna ushahidi wa kwamba Serikali ilitishika.
Na kama haikutishika basi mimi sina kosa. Maana yake ndio hiyo kwasababu Sheria inataka watishike.
Waheshimiwa Majaji upande wa Utetezi hatukuwa na wajibu wowote kuthibitisha jambo hili. Na wao hata kujaribu kuthibitisha jambo hili hawakufanikiwa.
Tuna kesi ya Uhaini ambayo wale waliodai kutishiwa hawakuleta hata mtendaji wa kijiji kuthibitisha hili au mkuu wa wilaya halafu eti mnaalikwa kutoa maamuzi ya kuua (KUMNYONGA) mtu katika mazingira haya. Really??.

Lakini hata hivyo, naomba tujiulize hivi hiyo "serikali ya JMT" iliyotishiwa ni kitu gani hasa?