si ni yeye mwenyewe katengeneza kosa la kukinukisha, katengeneza kosa la kuzuia uchaguzi mkuu, katengeneza kosa la kuvuruga uchgaguzi mkuu,
na tena chama chake kwa mipango ya ndani kwa ndani, wakaenda mbali zaidi mpaka wakatengeneza kosa la kukata vidole vya wapiga kura, kosa la kuharibu miundombinu ya umma na kosa la kuchochea na kusababisha maafa ya waTanzania wasiohusika kabisa na uchu wake wa madaraka.
kila mTanzania aliona, alishuhudia na kuathirika na makosa ya makusudi yaliotengenezwa na Tundu Lisu mwenyewe,
na akayafanya makosa hayo kwa akili zake zote timamu, kwa nguvu zake zote, kwa elimu na moyo wake wote.
hivi sasa,
haiwezekani awasingizie wengine makosa yake aliyotenda hadharani kwa maneno na matendo mbele ya waTanzania. Aacha porojo nonsense bana na wala asichezee waTanzania