Tundu Lissu: Nashitakiwa kwa kosa la kutengeneza "Nia ya kuitishia serikali ya JMT"

Come on your sense gentleman. Hakuna kosa la kuzuia uchaguzi kwenye sheria zenu. Na mahakama haifanyii kazi perception za individuals or groups kwani siyo wote wanatenda kwa conscious mind.
Kusema yaliyotokea ni uthibirisho wa nia ya mtuhumiwa siyo sahihi kwani hata hivyo walioua wananchi ni polisi na jeshi. Nao hao walihamasika kwa nia hiyo? Kuwa mkweli uwe huru.
jitie kimbelembele na wewe uzuie uchaguzi wa serikali za mitaa 2029 na itapendeza zaidi gentleman 🐒
 
You are too late to save Tundu from these charges, msubirieni Ukonga tu maana ushahidi wa Brenda Rupia, Golugwa na John Heche umethibitisha kabisa kuwa Tundu ni mhaini

Onyesha citations zao basi nasi tupime. Na kinyume chake umehemkwa.
 
Lakini hata hivyo, naomba tujiulize hivi hiyo "serikali ya JMT" iliyotishiwa ni kitu gani hasa?
ni dude kuuuubwa linalomsotesha na kumshenyenta korokoroni na kupelekea kusinzia kizimbani na kuomba poo mbele ya majaji 🐒
 
si ni yeye mwenyewe katengeneza kosa la kukinukisha, katengeneza kosa la kuzuia uchaguzi mkuu, katengeneza kosa la kuvuruga uchgaguzi mkuu,
Kwa mujibu wa sheria hipi iliyosema.
1. Kusema neno Kukinukisha ni kosa la jinai.?
2. Kuzuia Uchaguzi mkuu ni kosa la jinai.?
3. Kuvuruga uchaguzi ni kosa la jinai.?
Mimi sina haraka na maamuzi ya mahakama lakini naomba nikukumbushe kwamba ibara ya 13(6) ya katiba ya mwaka 1977 inasema kwa uwazi kwamba hakuna atakae ukumiwa kwa tendo ambalo si kosa chini ya sheria husika.
Hii ina maana kwamba "[B]Sheria inapaswa kusema kwamba Kukinukisha, Kuzuia uchaguzi au kuvuruga uchaguzi ni kosa la jinai",[/B]
na tena chama chake kwa mipango ya ndani kwa ndani, wakaenda mbali zaidi mpaka wakatengeneza kosa la kukata vidole vya wapiga kura, kosa la kuharibu miundombinu ya umma na kosa la kuchochea na kusababisha maafa ya waTanzania wasiohusika kabisa na uchu wake wa madaraka.
Nilishawai kusikia wanaharakati wakisema kauli hizi lakini sijawai kusikia kiongozi yeyote wa chadema au mtu yeyote wa itikadi nyingine yeyote ya kisiada kusema maneno haya. "Nadhani Huu utakuwa ni Kutoa taarifa ya uongo na uchochezi", kwasababu ushaidi wa madai haya haupo
kila mTanzania aliona, alishuhudia na kuathirika na makosa ya makusudi yaliotengenezwa na Tundu Lisu mwenyewe,
na akayafanya makosa hayo kwa akili zake zote timamu, kwa nguvu zake zote, kwa elimu na moyo wake wote.
Dai lako hili halithibitiki kokote kwasababu huyo unaemtumia lawama alikuwa kashakamatwa teali, pia Dai hili ni pana sana hasa ukiangalia siku hiyo watu walikufa wengi. Tume ya jaji chande ilisema watu 518 walikufa na vyombo vya usalama vilitumia siraha zake kwenye vifo hivyo, Chande alienda mbali na kusema askari waliingia kwenye nyumba za watu, mabanda ya tv n.k na kuuwa watu.

Pia ukisema wote tumeona hii inaongeza swali je Wingi wa watu kwenye vituo vya kupigia kura siku hile ya 29 october 2025 watu waliwaona watu wachache sana kwenye vituo nchi nzima, swali ni je Asilimia 98% zilitoka wapi.?
hivi sasa,
haiwezekani awasingizie wengine makosa yake aliyotenda hadharani kwa maneno na matendo mbele ya waTanzania. Aacha porojo nonsense bana na wala asichezee waTanzania :1Head:
Nafunga hoja zangu kwa wino mzito.
Madai yanayotolewa hapa ni mazito, yanayofungwa na uthibitisho, na yanayopaswa kuwa Examained, la sivyo utakuwa ni uzushi, upotoshaji na kukumbusha vidonda kwa watanzania.

Naomba niseme.
NAWAOMBEA WOTE WALIOPOTEZA MAISHA SIKU YA TAREHE 29 OCTOBER 2025 IWE WALITENDA JINAI AU AWAKUTENDA, KWA MAANA JINAI HAIZIBITIWI KWA JINAI.

sheria ya haki jinai na PGO inasema wazi kwamba, "Afisa yeyote wa polisi Pale anapozibiti jinai Haruhusiwi kutenda jinai hili kuizibiti jinai iliyotendwa" kauli hii inatoa maana halisi kwamba hata kama waliokufa tarehe 29 october walifanya vurugu, ualibifu wa mali, na mengineyo bado polisi awakupaswa kuuwa watu maana kuuwa ni jinai kwa mujibu wa sheria, sasa hapa ndipo swali linakuja kwamba.
Je, Vyombo vya kuzibiti jinai vikitenda jinai vinakuwa na kinga..? Ibara ya 13(1) ya katiba inatoa jibu la hapana na kusema "Watu wote ni sawa mbele ya sheria".

******************************
Demokrasia ya kisiasa bila Maadili ya taifa na usimamizi wa kitaifa ni Takataka isiyofaa kabisa.!

Tembelea: www.katibampya.com
 
Kwa mujibu wa sheria hipi iliyosema.
1. Kusema neno Kukinukisha ni kosa la jinai.?
2. Kuzuia Uchaguzi mkuu ni kosa la jinai.?
3. Kuvuruga uchaguzi ni kosa la jinai.?
Mimi sina haraka na maamuzi ya mahakama lakini naomba nikukumbushe kwamba ibara ya 13(6) ya katiba ya mwaka 1977 inasema kwa uwazi kwamba hakuna atakae ukumiwa kwa tendo ambalo si kosa chini ya sheria husika.
Hii ina maana kwamba "[B]Sheria inapaswa kusema kwamba Kukinukisha, Kuzuia uchaguzi au kuvuruga uchaguzi ni kosa la jinai",[/B]

Nilishawai kusikia wanaharakati wakisema kauli hizi lakini sijawai kusikia kiongozi yeyote wa chadema au mtu yeyote wa itikadi nyingine yeyote ya kisiada kusema maneno haya. "Nadhani Huu utakuwa ni Kutoa taarifa ya uongo na uchochezi", kwasababu ushaidi wa madai haya haupo

Dai lako hili halithibitiki kokote kwasababu huyo unaemtumia lawama alikuwa kashakamatwa teali, pia Dai hili ni pana sana hasa ukiangalia siku hiyo watu walikufa wengi. Tume ya jaji chande ilisema watu 518 walikufa na vyombo vya usalama vilitumia siraha zake kwenye vifo hivyo, Chande alienda mbali na kusema askari waliingia kwenye nyumba za watu, mabanda ya tv n.k na kuuwa watu.

Pia ukisema wote tumeona hii inaongeza swali je Wingi wa watu kwenye vituo vya kupigia kura siku hile ya 29 october 2025 watu waliwaona watu wachache sana kwenye vituo nchi nzima, swali ni je Asilimia 98% zilitoka wapi.?

Nafunga hoja zangu kwa wino mzito.
Madai yanayotolewa hapa ni mazito, yanayofungwa na uthibitisho, na yanayopaswa kuwa Examained, la sivyo utakuwa ni uzushi, upotoshaji na kukumbusha vidonda kwa watanzania.

Naomba niseme.
NAWAOMBEA WOTE WALIOPOTEZA MAISHA SIKU YA TAREHE 29 OCTOBER 2025 IWE WALITENDA JINAI AU AWAKUTENDA, KWA MAANA JINAI HAIZIBITIWI KWA JINAI.

sheria ya haki jinai na PGO inasema wazi kwamba, "Afisa yeyote wa polisi Pale anapozibiti jinai Haruhusiwi kutenda jinai hili kuizibiti jinai iliyotendwa" kauli hii inatoa maana halisi kwamba hata kama waliokufa tarehe 29 october walifanya vurugu, ualibifu wa mali, na mengineyo bado polisi awakupaswa kuuwa watu maana kuuwa ni jinai kwa mujibu wa sheria, sasa hapa ndipo swali linakuja kwamba.
Je, Vyombo vya kuzibiti jinai vikitenda jinai vinakuwa na kinga..? Ibara ya 13(1) ya katiba inatoa jibu la hapana na kusema "Watu wote ni sawa mbele ya sheria".

******************************
Demokrasia ya kisiasa bila Maadili ya taifa na usimamizi wa kitaifa ni Takataka isiyofaa kabisa.!

Tembelea: www.katibampya.com
napendekeza na wewe uje walau kujaribu tu kuongoza uasi, kukinukisha, kuzuia na kuvuruga hata uchaguzi wa serikali za mitaa tu 2029, then tuone itakuaje. Ni vizuri ukaja na katiba kabisa, ili ufundishwe kwa virungu kwanza na nadhani itapendeza zaidi kabla hujasekwa korokoroni 🐒
 
napendekeza na wewe uje walau kujaribu tu kuongoza uasi, kukinukisha, kuzuia na kuvuruga hata kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa tu 2029, then tuone itakuaje. Ni vizuri ukaja na katiba kabisa na itapendeza zaidi 🐒
Unachokiabudu kwenye kauli zako hizi ni "Udiktekta dhidi ya demokrasia".
 
kuongoza uasi, kuvuruga na kuzuia uchaguzi si ndio demokrasia, right?

ndio maana nasisitiza,
wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa 2029, jitahidi kufanya aina hiyo ya demokrasia na itapendeza zaidi gentleman, hakuna haja ya kubishana jukwaani 🐒
 
I Think ukusoma vizuri bandiko langu, hoja unayojaribu kunipatia sio sehemu ya miongoni mwa maswali yangu, kwenye bandiko langu sijasema kukinukisha, kuvuruga uchaguzi au maneno hayo mengine ni demokrasia, bali nilikueleza misingi ya kisheria kuhusu ibara ya 13(6) inayosema "hakuna atakae hukumiwa kwa tendo ambalo si kosa chini ya sheria wakati anatenda kosa hilo", na nikaendelea kusema kwamba
Sheria inapaswa kusema kwamba Kukinukisha, Kuzuia uchaguzi au kuvuruga uchaguzi ni kosa la jinai
sio weww useme kwa hisia zako, au mtazamo wako.

Pia nikasema :
Nilishawai kusikia wanaharakati wakisema kauli hizi lakini sijawai kusikia kiongozi yeyote wa chadema au mtu yeyote wa itikadi nyingine yeyote ya kisiada kusema maneno haya. "Nadhani Huu utakuwa ni Kutoa taarifa ya uongo na uchochezi", kwasababu ushaidi wa madai haya haupo

Dai lako hili halithibitiki kokote kwasababu huyo unaemtumia lawama alikuwa kashakamatwa teali, pia Dai hili ni pana sana hasa ukiangalia siku hiyo watu walikufa wengi. Tume ya jaji chande ilisema watu 518 walikufa na vyombo vya usalama vilitumia siraha zake kwenye vifo hivyo, Chande alienda mbali na kusema askari waliingia kwenye nyumba za watu, mabanda ya tv n.k na kuuwa watu.

pia nikakukumbusha:
Pia ukisema wote tumeona hii inaongeza swali je Wingi wa watu kwenye vituo vya kupigia kura siku hile ya 29 october 2025 watu waliwaona watu wachache sana kwenye vituo nchi nzima, swali ni je Asilimia 98% zilitoka wapi.?

Nafunga hoja zangu kwa wino mzito.
Madai yanayotolewa hapa ni mazito, yanayofungwa na uthibitisho, na yanayopaswa kuwa Examained, la sivyo utakuwa ni uzushi, upotoshaji na kukumbusha vidonda kwa watanzania.

Naomba niseme.
NAWAOMBEA WOTE WALIOPOTEZA MAISHA SIKU YA TAREHE 29 OCTOBER 2025 IWE WALITENDA JINAI AU AWAKUTENDA, KWA MAANA JINAI HAIZIBITIWI KWA JINAI.
pia nikakupa na sheria na kukueleza kuhusu PGO inayosimamia polisi wote Tanzania:
sheria ya haki jinai na PGO inasema wazi kwamba, "Afisa yeyote wa polisi Pale anapozibiti jinai Haruhusiwi kutenda jinai hili kuizibiti jinai iliyotendwa" kauli hii inatoa maana halisi kwamba hata kama waliokufa tarehe 29 october walifanya vurugu, ualibifu wa mali, na mengineyo bado polisi awakupaswa kuuwa watu maana kuuwa ni jinai kwa mujibu wa sheria, sasa hapa ndipo swali linakuja kwamba.
Je, Vyombo vya kuzibiti jinai vikitenda jinai vinakuwa na kinga..? Ibara ya 13(1) ya katiba inatoa jibu la hapana na kusema "Watu wote ni sawa mbele ya sheria".
NIKAFUNGA HOJA ZANGU:
Sasa ndugu yangu unaposema kukinukisha ni demokrasia hayo ni maneno yako, mimi sijasema hayo. Mimi nimekupa msingi wa demokrasia kwamba
******************************
Demokrasia ya kisiasa bila Maadili ya taifa na usimamizi wa kitaifa ni Takataka isiyofaa kabisa.!

Tembelea: www.katibampya.com
Hoja yangu ni demokrasia bila maadili ya taifa na usimamizi ni takataka, hivyo bali misingi ya demokrasia inajulikana na si hicho unachodai wewe.
 
I Think ukusoma vizuri bandiko langu, hoja unayojaribu kunipatia sio sehemu ya miongoni mwa maswali yangu, kwenye bandiko langu sijasema kukinukisha, kuvuruga uchaguzi au maneno hayo mengine ni demokrasia, bali nilikueleza misingi ya kisheria kuhusu ibara ya 13(6) inayosema "hakuna atakae hukumiwa kwa tendo ambalo si kosa chini ya sheria wakati anatenda kosa hilo", na nikaendelea kusema kwamba

sio weww useme kwa hisia zako, au mtazamo wako.

Pia nikasema :

pia nikakukumbusha:

pia nikakupa na sheria na kukueleza kuhusu PGO inayosimamia polisi wote Tanzania:

NIKAFUNGA HOJA ZANGU:
Sasa ndugu yangu unaposema kukinukisha ni demokrasia hayo ni maneno yako, mimi sijasema hayo. Mimi nimekupa msingi wa demokrasia kwamba

Hoja yangu ni demokrasia bila maadili ya taifa na usimamizi ni takataka, hivyo bali misingi ya demokrasia inajulikana na si hicho unachodai wewe.
Gentleman,
hakuna haja ya porojo na upotoshaji mwiiingi jukwaani,

tukutane kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2029 na ujaribu kumgusa mpiga kura hata moja tu na itapendeza zaidi .

punguza porojo plz 🐒
 
Hakuna porojo ninayotoa hapa, na nimekutajia ibara za kikatiba na vifungu vya sheria ambavyo unaweza kuvithibitisha hata sasa. Nenda kasome katiba kwenye ibara nilizokutajia hata sasa na utapata jibu sawa na nililokupa. Pia bandiko langu limeuliza maswali mengi tu umekimbia mbio na hutaki kuyajibu, hii inaonesha moja kwa moja kwamba "Wewe ni mfia vyama vya siasa", hata kwenye Thread zenye kuhusu sheria.

Pia kwenye bandiko langu la hapo awali sijasema kuhusu uchaguzi wa mwaka 2029 wa serikali za mitaa, sijasema wala kusema kumgusa mpiga kura au vyovyote vile lakini naona povu linakutoka kana kwamba unataka kukataa roho.

Naomba nikukumbushe kwamba bandiko langu limekuonyesha uwazi, ukweli na uhalisia wa kikatiba na kisheria na sio hisia zako za kiitikadi ya vyama vya siasa, pia uzi huu unahusu sheria, maswala ya kisheria na wala sio siasa na hapa sipo kwa sababu ya siasa. Nipo kwa sababu ya Maswala ya kisheria

Kwaiyo nikutake ujue kwamba "Nchi hii inaendeshwa kwa utawala wa sheria", sio kwa hisia zako na itikadi zako za kisiasa.
 
Tundu akifungwa aende asomee PHD gerezani na atunge vitabu vya kisiasa na kisheria kwa vizazi vijavyo akiwa huko ni legacy tosha
Hiyo dhana ya "kufungwa" inaondoa uzito wote katika andiko lako.
Hata wao wanaotamani kumfunga wataona aibu.

Sema kwamba watakachofanya ni kutumia kuachiwa kwake na mahakama baada ya kushinda kesi, watrtataka kutumia fursa hiyo kujipamba kwa kelele nyingi watakazofanya kujionyesha wao ni wasafi wakitumia mfano wa kesi hiyo.

Hayo ya "kutunga vitabu" hayahitaji Ph.D.; lakini ninakubaliana na wewe kwamba hii kesi yake itafaa aitungie kitabu baada ya kutoka gerezani
 
Mimi nililazimika kuwaita kwasababu upande wa mashitaka ndio walipaswa kuwaita. Lakini hawakumuita hata mmoja wao. Kwahiyo hakuna ushahidi wa kwamba Serikali ilitishika.
Ni kama namsikia Nassoro Katuga akisema "Serikali ilitishika" ndiyo sababu ikafungua mashtaka.
Lakini sijui atajibu nini akiulizwa mashahidi aliyeitwa kuthibitisha hilo ni nani?
Je, anaweza kusema ni mawakili wa serikali?; kama yeye alivyoweza kugeuka na kuwa shahidi wa kwanza wa utetezi?
Hili nalo litakuwa halikidhi hoja hiyo, kwa sababu ilitakiwa wahojiwe kama mashahidi ili kuonyesha hali ya kutishika huko serikalini ilivyokuwa..
Hakuna hata mmoja wao aliyesimama kizimbani na kuhojiwa kukidhi takwa hilo.
 
Absolutely...

They didn't expect things to turn this way..

Na kwa namna kesi ilivyoahirishwa siku ya ijumaa saa 7 kabla ya muda, bila shaka Majaji wanawashauri Jamhuri kuiondoa kesi hii mahakamani maana ni aibu na hawana namna yoyote ya kumtia hatiani mtu huyu!
Mimi ningependa kutumia fursa hii ya mada yako kuingiza 'concept' ambayo sote Tanzania ni kama tumekwishaikubali kuwa ndiyo hali yetu ya kawaida ya maisha.
Hatuna viwango tena tunavyotumia ufanisi wa kitu/kazi yoyote tunayoifanya. Kinachotumika sasa ni matakwa ya walio madarakani. Wao wakisema wanataka hiki, basi bila kujali kitatimizwa kwa ufanisi gani, kitafanyika tu kiwepo.
Kwa mfano: walitaka ushindi mkubwa sana wa Samia Suluhu Hassan, na kweli ushindi huo ukapatikana wa asili mia 98!

Lengo la kesi hii lilikuwa ni kumweka Tundu Lissu katika mstari wa kukubali matakwa. Kadri alivyozidi kukataa kutumiwa kuwasafisha waovu, wakaona, basi na isiwe shida kesi itaendelea hata kama ni mbovu, na wataitumia hiyo kesi kwa kupindisha matakwa ya sheria hadi akutwe na hatia.

Haya ni maswala ya mahakamani, lakini jaribu kuangalia na kwingineko; Bungeni kwa mfano kama huko utakuta kuna nafuu yoyote.

Je, huko kwenye vyuo vyetu kuna nafuu yoyote? Niambie kama unajuwa kuna eneo ndani ya taifa hili sasa hivi unaweza kukaa chini na kusema huko kuna nafuu yoyote. Labda huko kwenye sanaa, mambo ambayo siyafuatilii sana siku hizi.

Tundu Lissu ameitumia kesi hii kufunua uozo mkubwa sana uliopo upande wa watengeneza kesi; na ameweza kuwasilisha hoja zake kwa njia inayoeleweka kirahisi sana hata kwetu wengine tusiokuwa na 'background' ya sheria.
Ametufundisha kikamilifu kabisa mapungufu makubwa ya hawa waliotengeneza kesi; na katoa mifano mingi kila eneo.

Tundu Lissu ni mwalimu mzuri sana katika kuwasilisha; kama alivyokuwa Mwalimu Nyerere.
 
Waheshimiwa Majaji kama nilivyosema mwanzoni kifungu cha 39 kama kilivyotengeneza sura zake 10 nilizotaja. Hakijaweka sharti la matokeo ya hiyo nia.

Kwahiyo huwezi kuipata kwenye section 39. Hayo matokeo ya hiyo nia huwezi kuyapata kwenye case laws kwa maana ya ile ya Grey Likungu na Khatibu Gandhi.

Ule mtaa unaoitwa Bibi Titi Mohamed ndio huyu alikuwa kwenye hii kesi alikuwa Mwenyekiti wa kwanza wa UWT wa CCM. huyu alikuwa mwanaharakati mpigania Uhuru wa TANU kwelikweli.

Sababu moja kubwa ni kwamba Mahakama haikuambiwa na Mawakili kwenye kesi hizo mbili kwamba "nia" au "intention" ina operate ndani ya matumizi ya kifungu cha 10 cha Penal Code.

Mahakama hii sasa ina hiyo opportunity ya kujielekeza kwenye masharti ya kifungu cha 10 cha Kanuni ya Adhabu (Penal code)

Unless it is expressly declared, get to know that intention is necessary element, then matokeo yaliyokusudiwa kutekelezwa yanakuwa ni ya muhimu. Ni lazima yawe pleaded na kuthibitishwa kwa ushahidi.

Kwa maana hiyo upande wa mashitaka walitakiwa kuonesha kwenye hati ya mashitaka matokeo ya nia hiyo kwamba hiyo serikali wanayosema niliishia, Je ilitishika au haikutishika...?

Walitakiwa kuonesha hivyo kwenye informataion na baada ya kuonesha kwenye information walitakiwa kuleta ushahidi kwamba Serikali ilitishika kwa namna hii au ile. But they absolutely didn't do anything. They just said and left everything in the air kwa sababu ni mashitaka baseless, constructive treason...

Sasa Waheshimiwa Majaji hawakuonesha kwamba Serikali ya JMT ilitishika. Walifikiri wanashitaki watu kwa kutengeneza kosa, wanafungua mashitaka na Kisha wanarusha nonsense yao hewani na ili litakalompata huyohuyo limpate!!

Hawakusema the Executive of the United Republic were intimidated and failure to plea the result make the information to be Defective on the basis of the maamuzi niliyokwisha yasema.

Essential ingedients of the offence must be shown. Usipoeleza, basi Hati ya Mashitaka ni sifuri, completely defective..

Lakini hata hivyo, naomba tujiulize hivi hiyo "serikali ya JMT" iliyotishiwa ni kitu gani hasa?​

Waheshimiwa Majaji, Serikali ya JMT iko sura ya pili ya Katiba yetu ya JMT ya 1977. Ukisoma hiyo sura yote inayoelezea serikali. Na hiyo Serikali inaongozwa na Rais na ndie Mkuu wa Serikali na Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi yote ya Ulinzi na usalama.

Huyu Rais alipaswa kuja kutoa ushahidi kuwa Serikali yake ilitishika. Mimi niliomba aitwe aje aseme na kutolea ushahidi kesii na wao wakapinga sana upande wa Jamhuri na nyie Majaji mkawakubalia. Na nilimuomba kwa makusudi kabisa kwa sababu nilikuwa najua kifungu cha 10(2) kinataka nini na ninyo mnapaswa mjue leo kama mlikuwa hamjui. Lakini hakuja!!

Makamu wa Rais anaitwa Philip Mpango wa wakati huo nilisema aje aseme alitishwaje? Lakini hakuja kwa sababu mawakili hawa wa serikali hiyo walipinga na nyie mkawakubalia Jamhuri.

Mtu wa tatu anayeunda Serikali ni Waziri Mkuu wa JMT ambae wakati huo ni Majaliwa Majaliwa. Niliomba aje atoe ushahidi wake alivyotishiwa na maneno haya na huyo nae hakuja kwa sababu DPP na mawakili wake hawa walipinga sana, na nyie mkawakubalia..

Baraza la Mawaziri linaunda serikali hakuna waziri hata mmoja aliyekuja.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mwendesha Mashitaka wa Serikali, Serikali ni pamoja na Serikali ya Zanzibar wote hao hakuna hata mmoja wao aliyefika kuja kusema walitishikaje?

Kwa Katiba hii Serikali ni pamoja na Tume ya Haki za Binadamu na utawala bora. Serikali ina majeshi niliomba waitwe wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na usalama akiwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Bwana Mombo, wote hawakuja!

Mlinikubalia nimuite Mkuu wa Jeshi la Wananchi (CDF) na wa jeshi la Polisi (IGP) na Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai (DC) wote hawa ni kama walikataa kuja isipokuwa Ramadhani Kingai ambaye alikuja na kuonana nje ya mahakama kunikatalia kutoa ushahidi akisema yeye yuko upande wa wanaonishitaki.

Mimi nililazimika kuwaita kwasababu upande wa mashitaka ndio walipaswa kuwaita. Lakini hawakumuita hata mmoja wao. Kwahiyo hakuna ushahidi wa kwamba Serikali ilitishika.

Na kama haikutishika basi mimi sina kosa. Maana yake ndio hiyo kwasababu Sheria inataka watishike
.

Waheshimiwa Majaji upande wa Utetezi hatukuwa na wajibu wowote kuthibitisha jambo hili. Na wao hata kujaribu kuthibitisha jambo hili hawakufanikiwa.

Tuna kesi ya Uhaini ambayo wale waliodai kutishiwa hawakuleta hata mtendaji wa kijiji kuthibitisha hili au mkuu wa wilaya halafu eti mnaalikwa kutoa maamuzi ya kuua (KUMNYONGA) mtu katika mazingira haya. Really??
.
inawezekana huyu Byaguma George ndio Sirikali , au ana statement ya Sirikali kutishika
 
Ukweli Tundu Lisu hafai kuwa Kiongozi wa Chama Cha Siasa kabisa:
Lisu anafaa kuwa mwanaharakati.
Uwenyekiti wa Chama Cha Siasa unahitaji
Busara
Subira
Kushaurika
Kuvumilia
Kwa Chadema anayefaa kuwa mwenyekiti ni MNYIKA.

Lisu anapenda Ugomvi maandamano wakati watoto na mke wake wako Ulaya:
Lisu hata ningekuwa Mimi ningemkamata na kumshtaki mahakamani:
Lisu ajifunze kwa Mbowe na Mtikila:
 
You're off the point..

Na hizo fikra zako za kiwehu na uwendawazimu wa kudhani unaweza kukamata watu hovyo bila sababu kaa nazo kichwani kwako peke yako..!

Hoja iliyoko mezani, ni Je, serikali ya JMT ilitishikaje kwa maneno ya Tundu Lissu?

Na ushahidi kuwa ilitishika uko wapi na umetolewa na nani?

Na je unaelewa hata maana ya serikali kweli wewe..?
 
Mimi ningependa kutumia fursa hii ya mada yako kuingiza 'concept' ambayo sote Tanzania ni kama tumekwishaikubali kuwa ndiyo hali yetu ya kawaida ya maisha.
Hatuna viwango tena tunavyotumia ufanisi wa kitu/kazi yoyote tunayoifanya. Kinachotumika sasa ni matakwa ya walio madarakani. Wao wakisema wanataka hiki, basi bila kujali kitatimizwa kwa ufanisi gani, kitafanyika tu kiwepo.
Kwa mfano: walitaka ushindi mkubwa sana wa Samia Suluhu Hassan, na kweli ushindi huo ukapatikana wa asili mia 98!
Uko sahihi..
Lakini mimi nakutia moyo, kwamba, usiogope na ondoa mashaka kwa sbb uongo na udanganyifu daima huwa una expired date bali KWELI na HAKI vyadumu milele na milele maana hivyo vyote viwili ni asili ya Mungu muumba wa mbingu na nchi na vyote vilivyomo ndani yake..
Lengo la kesi hii lilikuwa ni kumweka Tundu Lissu katika mstari wa kukubali matakwa. Kadri alivyozidi kukataa kutumiwa kuwasafisha waovu, wakaona, basi na isiwe shida kesi itaendelea hata kama ni mbovu, na wataitumia hiyo kesi kwa kupindisha matakwa ya sheria hadi akutwe na hatia.
Na kufeli kwao kulianzia kwa fikra hizi muflisi..
Narudia tena KWELI na HAKI vitashinda..
Tundu Lissu hajawahi kubabaishwa wala kuyumbishwa katika haya HAKI, HAKI, HAKI na KWELI daima...
Let's also be consistent on these..
Haya ni maswala ya mahakamani, lakini jaribu kuangalia na kwingineko; Bungeni kwa mfano kama huko utakuta kuna nafuu yoyote.

Je, huko kwenye vyuo vyetu kuna nafuu yoyote? Niambie kama unajuwa kuna eneo ndani ya taifa hili sasa hivi unaweza kukaa chini na kusema huko kuna nafuu yoyote. Labda huko kwenye sanaa, mambo ambayo siyafuatilii sana siku hizi.

Tundu Lissu ameitumia kesi hii kufunua uozo mkubwa sana uliopo upande wa watengeneza kesi; na ameweza kuwasilisha hoja zake kwa njia inayoeleweka kirahisi sana hata kwetu wengine tusiokuwa na 'background' ya sheria.
Ametufundisha kikamilifu kabisa mapungufu makubwa ya hawa waliotengeneza kesi; na katoa mifano mingi kila eneo.
Nakubaliana na wewe..
Narudia tena kusema, YANA MWISHO HAYA KWA KUWA MBIO ZA SAKAFUNI HUISHIA UKINGONI..
Tundu Lissu ni mwalimu mzuri sana katika kuwasilisha; kama alivyokuwa Mwalimu Nyerere.
Hakuna ubishi ktk hili..
Huyu ni Koreshi wa leo..
Mungu Yehova katika Yesu Kristo amlinde na kumtia nguvu siku zote na hata milele. Amina🙏🙏
 
You are too late to save Tundu from these charges, msubirieni Ukonga tu maana ushahidi wa Brenda Rupia, Golugwa na John Heche umethibitisha kabisa kuwa Tundu ni mhaini
Wewe tena akili kisoda! vuta oksijeni ya bure nguchiro huna akili hizo.
 
Back
Top Bottom