2pac

  1. CARIFONIA

    JINSI 2PAC ALIVYOTENGENEZA NGOMA YA AMBITION AS RIDAH

    Jinsi 2Pac Alivyobuni "Ambitionz Az a Ridah" 😯 "Ambitionz Az a Ridah" ni wimbo wa ufunguzi katika albamu ya nne ya studio ya 2Pac, "All Eyez on Me," iliyotolewa mwaka 1996. Jina la wimbo huu ni mchanganyiko wa maneno unaoonyesha azma ya 2Pac na maisha yake kama "ridah" (mwana mtaa au...
  2. MamaSamia2025

    Pesa ingekuwa msanii ingetutungia dis track mbaya kuliko ile ya 2pac

    Pesa ina chuki mno na sisi binadamu. Itoshe kusema pesa ingekuwa binadamu msanii basi ingetuchana mno kwenye dis track. Ile hit em up ya 2pac ingekuwa cha mtoto.
  3. Dungeon

    Autobiography: Nilivyoishi na 2 Pac Maisha ya kisela na Sanaa, Nas, Treach, Napoleon, Crips, Bloods na Death Row

    1986: Kuanza Safari Baltimore School of the Arts Nilikulia katika maisha ya kawaida ya huko Bongo land kabla ya familia yangu kuhamia Marekani kutafuta maisha bora. Mwaka 1986, nilijiunga na Baltimore School of the Arts, shule maarufu iliyojulikana kwa kukuza vipaji vya sanaa. Nikiwa huko...
  4. Eli Cohen

    Labda "Who Shot Ya" haikuwa kwa ajili ya Pac ila Diddy alifanya kosa ku-release wimbo mapema baada ya Pac kupigwa risasi akijua italeta mtafaruku

    Baada ya miaka mingi ndio sasa tunaanza kumuelewa Diddy na janja janja zake. Wakati wanajua namna pac alivyokuwa analalamika kwa kuwaanganisha bad boys na tukio lake kupigwa ila bado waka toa wimbo wenye maudhui ya violence. Diddy alitaka apate attention zaidi kwa maswahibu ya Pac bila kujua...
  5. K

    Kwanini 2pac bado anaoneshwa kwenye mavazi?

    Ni kweli kwamba kuna watu maarufu duniani, hata wana historia wanalifaham hilo. Wapo watu wengi maaruf mno kuliko hata 2pac lkn je kwann yeye kwenye t-shirt nk?
  6. DR HAYA LAND

    2PAC , sio msanii bora wa wakati wote ila nyimbo yake ya 'DEAR MAMA' ndo nyimbo bora ya HIP HOP ya wakati wote duniani.

    2PAC sio msanii bora Wa wakati wote Ila nyimbo yake ya dear Mama ndo nyimbo kubwa na bora ya wakati wote katika historia ya HIP-HOP Kuwa msanii bora wa wakati wote tunajikita katika Mambo ya ndani na nje, Kama nidhamu, UTU, kujitoa na kuwa positive outcomes kwa jamii.
  7. Arnold Kalikawe

    Kisa cha TUPAC SHAKUR hadi P-DIDDY kuhusishwa na kifo chake

    Ni usiku mkubwa, wa pambano la kati ya Mike Tyson na Sheldon. Ni usiku ambao ulitokea tukio moja kubwa na la kusikitisha sana kwenye ulimwengu wa muziki. Huku pambano likiwa limemalizika na watu kurudi majumbani kwao na wengine kuendelea kula bata katika hoteli kubwa ya MGM, milio ya risasi...
Back
Top Bottom