Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ameweka sawa kitu kilichosababisha taharuki juu ya uvumi wa taarifa zilizodaiwa kuwa eneo la Shule ya Sekondari Kurasini linauzwa kwa mwekezaji ambapo amethibitisha kuwa eneo hilo haliuzwi.
RC Makalla amesema ni kweli kuwa mwekezaji alituma maombi ya...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Maliasili na Utalii iandae semina kwa wabunge wote ili kujenga uelewa wa pamoja kuhusu yanayoendelea katika hifadhi ya Ngorongoro.
Mheshimiwa Majaliwa ametoa maagizo hayo leo (Jumatano, Februari 9, 2022) wakati alipochangia taarifa ya Kamati ya...
Rais wa Senegal Macky Sall, ametangaza leo Jumatatu Februari 7, 2022 kuwa ni siku ya mapumziko maalum nchini kwake kwa ajili ya kusherehekea ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika #AFCON2021 waliochukua usiku wa kuamkia leo kwa kuifunga Misri kwa penati 4-2.
Sall, alikuwa njiani kwenda katika...
MAJALIWA AAGIZA CHENI YA MKE WAKE IUZWE.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameishukuru kampuni ya Tanzanite Forever Lapidary (T) LTD ya mkoani Manyara,kwa kumzawadia mkewe, Mama Mary Majaliwa mkufu wa Tanzanite.
Hata hivyo,Waziri Mkuu ameagiza mkufu huo uuzwe, ili ipatikane fedha,itakayosaidia...
Spika Job Ndugai ametoa maagizo kwa Kamati ya Maadili ya Bunge, kumhoji Mwanahabari Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema kwa kuandika makala ikiwa na kichwa "Bunge linajipendekeza?"
Makala hiyo inayodaiwa kulidhalilisha Bunge ilitoka kwenye toleo la Jumatatu tarehe 9 Aprili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.