abaya

  1. D

    Nauza abaya dresses kwa Tshs 50,000

    Nauza abaya dresses, Size l,Xl,2xl&3xl, Bei Tsh 50,000/= Tunapatikana kariakoo Mtaa wa Raha 📞0686841100
  2. Expensive life

    Nyie wanawake si mmeuchuna mwezi huu kisa ramadhani sasa mtajua wapi mtaitolea pesa ya Abaya

    Tukiwatafua hata kwa salamu tu si mnasingizia Ramadhani, bado siku chache tu 😀
  3. D

    Nauza Abaya kwa bei ya ofa Januari Tsh 30,000

    Nauza Abaya kwa bei ya Januari Tsh 30,000. Nipo Dar es Salaam
  4. JanguKamaJangu

    Ufaransa: Serikali yazuia Wanafunzi kuvaa mavazi ya Abaya shuleni

    Wizara ya Elimu imetangaza kuwa Kanuni hiyo inatarajiwa kuanza kutumika Mwaka mpya wa masomo unaoanza Septemba 4, 2023 katika shule zote za Serikali. Waziri wa Elimu, Gabriel Attal amesema "Unapoingia darasani hautakiwi kumtambua Mwanafunzi kwa imani yake ya dini kwa kumuangalia, nimeamua Abaya...
  5. Amosi luvanga

    INAUZWA Baibui au abaya kwa bei ya jumla

    Kwa wale wanaohitaji baibui kwa jumla na rejareja kuanzia bei ya 8k, 10k nakuendelea tuwasiliane 0712094550 tunapatikana JENGO LA MACHINGA COMPLEX KARUME DSM. KARIBUNI SANA 0712094550
Back
Top Bottom