Rais wa Misri, Abdel Fattah al-Sisi, amethibitisha kuwa muhula wake wa urais utamalizika rasmi mwaka 2030 na katiba haitabadilishwa ili kumuongezea muda. Akizungumza kwenye mahafali ya Chuo cha Jeshi katika Mji Mkuu Mpya wa Utawala, Sisi alisema suala hilo limeshaamuliwa na halitabadilika...