Rais wa Misri Abdel Fattah atangaza kutokuongeza mhula wa kukaa madarakani pindi mda wake ukimalizika 2030

Rais wa Misri Abdel Fattah atangaza kutokuongeza mhula wa kukaa madarakani pindi mda wake ukimalizika 2030

carbohydates

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2026
Posts
260
Reaction score
607
Rais wa Misri, Abdel Fattah al-Sisi, amethibitisha kuwa muhula wake wa urais utamalizika rasmi mwaka 2030 na katiba haitabadilishwa ili kumuongezea muda. Akizungumza kwenye mahafali ya Chuo cha Jeshi katika Mji Mkuu Mpya wa Utawala, Sisi alisema suala hilo limeshaamuliwa na halitabadilika.

Alisisitiza kuwa katiba ya nchi haitaguswa ili kulinda demokrasia na misingi ya kisheria. Pia alieleza kuwa katiba inatoa jukumu kwa jeshi kulinda demokrasia na nguzo kuu za taifa.

Sisi aliongeza kuwa ataondoka madarakani pindi nchi itakapokuwa na viongozi wapya wenye uwezo wa kubeba dhamana, akibainisha kuwa kizazi hicho kipya kinaandaliwa kupitia Chuo cha Jeshi.

1792424708059.png

================
Egyptian President Abdel Fattah al-Sisi said Saturday that his presidential term will end in 2030, stressing that the country’s constitution will not be amended to extend his tenure, according to state-run Al-Ahram newspaper.

“The year 2030 will mark the end of my presidential term. This matter is completely settled,” Sisi said during a graduation ceremony at the Egyptian Military Academy in the New Administrative Capital.

Sisi said the Egyptian constitution “will not be touched,” stressing the need to prevent any violation of constitutional and democratic principles.

He said the constitution defines the role of the armed forces in protecting the constitutional order, democracy and the fundamental pillars of the state.

“I will not leave the Egyptian state until it is brimming with its own people capable of shouldering responsibility,” he added, saying a new generation of leaders is currently being prepared through the Egyptian Military Academy.

Sources: Anadolu agency

​
 
“I will not leave the Egyptian state until it is brimming with its own people capable of shouldering responsibility,” he added, saying a new generation of leaders is currently being prepared through the Egyptian Military Academy.
... kauli tata. Kwamba hadi nchi impate mwenye uwezo wa kuongoza ndio ataondoka? Mazingira ya kutopatikana kwake yanaweza kuandaliwa.

Kwamba, viongozi wa kizazi kijacho wataanadaliwa na jeshi? Tawala za kijeshi ndio utaratibu? Hiyo demokrasia aliyogusia anamaanisha nini?

Ndimi 7 hizo! Stay tuned.
 
Jamaa kaituliza misri

Wale wababe wa kikobaz wote kawatuliza
 
Back
Top Bottom