abdul nondo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Abdul Nondo awataka Watanzania wote kuungana kukemea utekaji

    Mwenyekiti wa ngome ya vijana akizungumza na waandishi wa habari leo January 9,2025 amesema kuwa “Naomba niwaambie watanzania suala la ulinzi na usalama ni jambo ambalo tunapaswa tuungane kwa pamoja kupaza sauti zetu kupinga kukemea haya matendo. Na wala tusiseme kwamba haya matukio yanatokea...
  2. T

    Pre GE2025 Abdul Nondo: Kama matukio ya utekaji ni ya kutengenezwa, tuambiwe aliyemteka Soka

    Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo akizungumza na wanahabari leo januari 9, 2024 amesema kuwa “kumekuwa na mwanya wa dhihaka na propaganda kwamba matukio haya ya utekaji sio ya ukweli ni ya kutengeneza ntu anawezaje kutengeneza kujiumiza, mtu anawezaje kutengeneza kujiumiza mguu...
  3. Abdul Nondo: Masharti yote niliyopewa na watekaji nimeyavunja, vyombo vya mamlaka vilitaka viseme ni tukio la kutengeneza

    Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ACT Wazalendo, Abdul Nondo akiongea na wanahabari leo, amesema kuwa baada ya kutekwa na kuteswa na baadaye kutelekezwa Coco beach wilaya ya Kinondoni, alipewa masharti kadhaa ambayo aliambiwa kama hatayatimiza basi atauawa. Walioniteka awalikuwa wakiniambia mimi...
  4. Abdul Nondo wa ACT Wazalendo atoa tamko kuhusu kutekwa kwake Stendi ya Magufuli

    Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo, Abdul Nondo, anatoa tamko muda huu kuhusu kutekwa kwake Stendi ya Magufuli. Fuatilia hapa akitoa tamko lake https://www.youtube.com/live/LyTw1PpXT4I?si=Ze8FhWkwx-7UfKkb "Baada ya kutekwa katika stendi ya Magufuli mashuhuda waliotoa taarifa ndio...
  5. Abdul Nondo: Nilikatazwa nisizungumze lakini siwezi kuwatii Watekaji

    Wakuu, Leo kupitia Crown Media Abdul Nondo amefunguka kuhusu sakata lake la Utekaji. Amesema hawezi kuwatii Watekaji ambao walimwambia akizungumza Watamuua. Amesema kuwa Hata kama watamteka tena basi Wacha maandiko yatimie lakini hawezi kuacha kuzungumza. Msikilize mwenyewe hapo chini...
  6. ACT Wazalendo: Abdul Nondo amekutwa na kiwango kikubwa cha sumu mwilini

    Abdul Nondo akutwa na kiwango kikubwa cha sumu mwilini Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ACT-Wazalendo Taifa Ndg. Abdul Nondo jana tarehe 03 Disemba 2024, alifanyiwa upasuaji mdogo kwenye unyayo baada ya madakatri wanaomuuguza katika hospitali ya Aga Khan kubaini uwepo wa mivunjiko midogomodogo...
  7. Ado Shaibu awataja wanaodaiwa kumteka Abdul Nondo, "Wakimpiga Nondo mmoja wanazaliwa 100, Hatutoogopa"

    Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, amewataja watu waliomteka na kumtesa Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa chama hicho, Abdul Nondo, akisema kuwa licha ya mateso hayo, chama hakitogopa wala kutojiweka pembeni. Akiwa katika mkutano hapo jana (Disemba 3), Shaibu alisema kwamba "wakimpiga...
  8. M

    Je, ishu ya Adani kupewa kitengo cha makontena ndiyo iliyosababishwa Abdul Nondo atekwe?

    Connecting dots.. Kama kuna wanasiasa nchini walioisanua ishu ya ADANI kupewa kitengo cha makontena bandarini, basi ni Abdul Nondo. Wakati ule sisi tukiwa busy na ishu ya bandari (kubwa) waliyochukua DP World, huku nyuma serikali ya Bongo fasta fasta ilikuwa ikimsogeza ADANI Jikoni ili apewe...
  9. J

    Sugu: Sasa Dogo Abdul anakuwaje tishio kwa watawala? Napata shaka maana kuteka, kuumiza na kuua Watu siyo maamuzi ya Kitanzania

    Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa Mh Joseph Mbilinyi aka Sugu ameshangaa Watawala wanamhofia nini Dogo Abdul Nondo Sugu amesema ana wasiwasi na uraia wa Watekaji kwa sababu kuteka, Kuumiza na Kuuwa siyo maamuzi ya Kitanzania Sugu amelia sana huko Ukurasani X Kuhusu Abdul Nondo kudaiwa...
  10. Compare & Contrast kutekwa kwa Abdul Nondo Vs Mzee Kibao: Watekaji hawa ni Malaika, wale ni mashetani! Tuwashukuru kwa uhai wa Nondo au tuwalaani?

    Wanabodi, Toka kutekwa kwa Adul Nondo,kiukweli nikikumbuka ya Mzee Kibao,nikawa nasali kimya kimya yasitokee kama yale Leo baada ya kusikiliza mahojiano haya,https://youtu.be/KUV7rhRzJZY?si=Q9r--39T3ecHZSXX Ndio nimepata faraja na angalau kuweza kuandika kitu。 Kitu cha kwanza ni kuwashukuru...
  11. SI KWELI Kuna taarifa kuhusu Zitto Kabwe kuhusishwa na utekwaji wa Abdul Nondo

    Wakuu nahitaji kupata uhalisia wa hii taaria niliyokutana nayo huko mtandao wa X kwamba Zitto Kabwe anahusishwa na utekaji wa Nondo ni upi uhalisia wa taarifa hii?
  12. S

    Ushauri: Viongozi wa CHADEMA mkamtembelee hospitali Abdul Nondo

    Pamoja na ukweli kuwa Abdulu Nondo na chama wake walikuwa hawawaungi mkono katika mapambano ya kupinga vitendo vya utekaji na uuaji, nawashauri muonyeshe ukomavu wa kwenda hospitali ya Aghakan kumtembelea Abdulu Nondo alielazwa hosptalini hapo baada ya kutekwa na kisha kujeruhiwa. Kama viongozi...
  13. Picha za Abdul Nondo akiwa hospitali akiendelea na matibabu

    Taarifa ya Chama cha ACT Wazalendo imeeleza "Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo, Abdul Nondo anaendelea na matibabu katika Hospitali ya Aghakhan, Dar es Salaam kutokana na kuumizwa kwa kipigo na watu waliomteka." Pia soma ~ Taarifa ya kutekwa kwa Abdul Nondo kutoka ACT Wazalendo...
  14. Nondo azungumzia kutekwa kwake. Nina hofu sana na maisha yangu

    Matukio ya utekaji bado tishio nchini Tanzania kwa tukio la hivi karibuni, la kutekwa kwa Mwenyekiti wa Ngome ya vijana ya chama cha upinzani nchini Tanzania, ACT Wazalendo, Abdul Nondo ambapo kwa sasa akiwa amelazwa katika hospitali ya Agha Khan, jijini Dar es Salaam, baada ya kutekwa na...
  15. ACT Wazalendo: Hatuna sababu ya kulishukuru Jeshi la Polisi kutekwa kwa Abdul Nondo, wameishia kutoa matamko ya jumla jumla

    Chama cha ACT Wazalendo kinatoa tamko muda huu kuhusu kutekwa kwa Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana, Abdul Nondo, nakutelekezwa usiku wa kuamkia leo katika fukwe za Coco Beach, Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa ya Jeshi la Polisi, Nondo alisaidiwa na dereva wa bodaboda aliyemfikisha katika ofisi...
  16. R

    Wasiwasi wangu: Ingelikuwa story za Abdul Nondo kutekwa za kweli, haya yangelikuwa wazi kwa wananchi

    1. Picha za kuonesha hali yake baada ya kupatikana zingeliwa zina trend 2. Picha za hospital zingelikuwa zinatrend 3. Most likely, nasema most likely with emphasis, CLOSE relatives wa Abdul wangelikuwa wameshatoa neno 4. Tv za mitandaoni zingelikuwa zimemwaga habari kedekede angani! na...
  17. Press Conference ya ACT Wazalendo kuhusu kutekwa Abdul Nondo ilidhamiriwa kunyamazishwa?

    Nimetafuta sana press conference ya ACT Wazalendo waliyofanya jana jioni kuhusu ukamatwaji wa Abdul Nondo iliyoongozwa na kiongozi mmoja wa ACT. Nimebahatika kuipata ikiwa imerushwa na ICON TV tu. Labda mtanisaidia kama kuna pahala inapatikana kwa sauti yenye ubora. Lakini nilichoona ni kipaza...
  18. Nina mtazamo tofauti kwenye tukio la kutekwa Kwa Abdul Nondo

    Me nawaza tofauti na wengi Nondo ametekwa Kwa sababu Gani? Nondo sio hatari Kwa watekaji 1 ACT na CCM wana urafiki ambao haulezeki, ni kama CCM alimzaa ACT Mwanzo wa tukio Kwa hadhi ya Nondo kusafiri na Saratoga kutoka Kigoma hadi Dar. Yaani M/kiti wa Vijana ACT amekosea laki 3 ya kupanda...
  19. P

    Pre GE2025 ACT waongea baada ya Nondo kupatikana, wasema alipigwa sana na alikuwa kwenye kitisho cha kifo

    Wakuu, Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Isihaka Mchinjita amesema kuwa Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa chama hicho Abdul Nondo amepigwa sana na kuumizwa sana pia kwa hali aliyonayo hawezi kuzungumza vizuri. Mchinjita ameyasema hayo usiku huu (2:15 Disemba 02, 2024) baada ya kufika katika...
  20. Taarifa ya Jeshi la Polisi kuhusu kupatikana kwa Abdul Nondo

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…