abdul nondo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Burure

    Boniface Jacob: Abdul Nondo kapatikana, yupo Mahututi hajiwezi kwa lolote, hata kuongea ni shida

    Hatimaye kijana Nondo kapatikana muda huu,akiwa ametupwa nje ya Makao Makuu ya Ofisi za ACT. Taarifa za awali zinasema yupo Mahututi hajiwezi kwa lolote ,hata kuongea ni shida. =============== Kwa upande mwingine Malisa ametoa maelezo mengine kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram...
  2. Waufukweni

    Polisi: Gari la kituo cha Gogoni halihusiki na utekaji wa Abdul Nondo

    Jeshi la Polisi limekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai gari lililoegeshwa Kituo cha Polisi Gogoni limehusika na tukio la utekaji wa Abdul Omary Nondo katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli leo alfajiri. Pia, Soma: Zitto: Tumepata Taarifa Nondo yuko Kituo cha polisi Gogoni, Tumefika...
  3. The Sheriff

    ACT Wazalendo: Tuna uthibitisho na tunaamini Abdul Nondo yupo kwenye mikono ya vyombo vya dola

    Tamko la ACT Wazalendo kuhusu ukiukwaji wa Haki za Binadamu limetolewa leo katika mkutano na Waandishi wa Habari na Mkuu wa Idara ya Haki za Binadamu na Vyombo vya Uwakilishi wa Wananchi wa chama hicho, Mbarala Maharagande, leo Desemba 1, 2024 WANACHAMA WETU 200 WANAISHI PORINI KWA VITISHO...
  4. Mtu Asiyejulikana

    Huu Utekaji wa Abdul Nondo unaleta maswali kadhaa ya kufikiria

    Utekaji huu ni kama maigizo flani yenye lengo flani. Sidhani kama ni kama ule utekaji wa Mzee Kibao. 1. Mtekaji anadondosha Simu ambayo inachukuliwa na kupelekwa Police. 2. Gari ya watekaji na namba zake za usajili zipo tu uchi uchi hivi za Deogratias Beda Minja. 3. Police haraka wametoa tamko...
  5. Erythrocyte

    Taarifa ya Polisi kuhusu kutekwa kwa Abdul Nondo sijaielewa

    Hebu Isome mwenyewe halafu tueleweshe na sisi; TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi lingependa kujulisha kuwa, Disemba 1,2024 majira ya saa 11.00 alfajiri katika eneo la stendi ya Magufuli Mbezi Louis Dar es Salaam kuna mtu mmoja mwanaume amekamatwa kwa nguvu na kuchukuliwa na watu waliokuwa...
  6. S

    Kwanini hawakumpa Abdul Nondo wito wa kufika Kituo cha Polisi kama wanamuhitaji kwa nia njema?

    Swali hilo linanifanya nianze kufikiri na kuamini kwa uhakika kuwa hawa sio Polisi wa kawaida bali hiki kinachoendelea ni matumizi mabaya ya ile sheria inayowapa watu wa usalama wa Taifa (TISS) haki ya kukamata watu huku wakiwa na kinga maalumu. Kama Polisi wapo, basi watakuwa wameshirikishwa...
  7. P

    Inasemekana alipotekwa Nondo kuna CCTV Camera, pia simu ya moja ya watekaji ilianguka na imekabidhiwa polisi. Je, watakamatwa?

    Wakuu, Inasemekena eneo alilotekewa Nondo kuna CCTV Camera inayorekodi matukio eneo hilo, lakini pia katika purukushani za patashika nguo kuchanika simu ya moja ya watekaji ilianguka chini, na hivyo vyote amepewa Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Magufuli. Wakuu hii ina maana wasiyojulikana kwa...
  8. Cute Wife

    Pre GE2025 Taarifa ya kutekwa kwa Abdul Nondo kutoka ACT Wazalendo

    Wakuu, KUTEKWA KWA MWENYEKITI WA NGOME YA VIJANA NDUGU ADBUL NONDO Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo Ndugu Abdul Omar Nondoametekwa asubuhi hii na watu wasiojulikana akitokea mkoani Kigoma alikokuwa sehemu ya viongozi wa kitaifa walioongoza kampeni kwenye mikoa ya magharibi mwa...
  9. Cute Wife

    Waliojaribu kumteka Bonge wanajulikana mpaka Stendi ya Magufuli lakini kimya! Polisi mnaepuka vipi kuhusishwa kwenye mazingira haya?

    Wakuu, Waliomteka Bonge haitofautiani sana na yule wa Dar 24, wote wanajulikana sema kwa Bonge wameonekana na Watanzania wote, wapo waliotoa taarifa zao huko X na kule Stedi ya Magufuli wanajulikana vizuri japokuwa walikuwa wakitumia majina tofauti, wala siyo siri, lakini mpaka sasa hakuna...
  10. Cute Wife

    Mtu anatekwa Stendi ya Magufuli huku watu wanaangalia? Wananchi tunatakiwa kujitafakari, imekuaje tumekuwa mazombi hivi?

    Wakuu, Mtu wa pili huyu anatekwa sehemu ambayo kuna watu na hakuna kitu raia tunafanya? Tunasubiri apotee ndio tuje mtandaoni kuanza kulaani na kulisema Jeshi la Polisi, Samia na Serikali yake?! Pia soma: Breaking News: - Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulika katika mazingira ya...
  11. Abdull Kazi

    Pre GE2025 Dar: Abdul Nondo atekwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli

    Mwanasiasa Abdull Nondo wa Chama Cha ACT Wazalendo amechukuliwa asubuhi ya Leo na wati waliomvamia akiwa kituo Cha basi Mbezi. Katika purukushani hiyo wahusika walidondosha pingu na sasa hatma yake haijulikani mpaka wakati huu ==== UPDATE JamiiForums imewasiliana na Naibu Katibu wa Habari na...
  12. Waufukweni

    LGE2024 Kigoma: CHADEMA na ACT Wazalendo waungana kusimamisha wagombea katika vijiji viwili kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa!

    Vyama vya siasa Chadema na ACT Wazalendo vimeungana katika Kata ya Bukuba, Jimbo la Buhigwe mkoani Kigoma, kwa kugawana nafasi za uongozi kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo Taifa, Abdul...
  13. mwanamwana

    LGE2024 Abdul Nondo: Chini ya ACT Wazalendo hakuna raia atachukuliwa na Uhamiaji bila mwenyekiti kupata taarifa, akumbushia kutekwa kwake

    "Tunajua mna tatizo kubwa la uhamiaji. Hata mimi walishawahi kunisumbua, wakaniambia mimi si raia wa nchi hii na kunitaka nipeleke vyeti vya babu yangu aliyemzaa babu yangu. Lengo lao lilikuwa kunisumbua tu, lakini chama changu cha ACT kilisimama nami mpaka mwisho. Hivyo kupitia ACT, hakuna raia...
  14. Mindyou

    LGE2024 Abdul Nondo: ACT sio kama CCM hatuwezi kutoweka baada ya Uchaguzi

    Wakuu, Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo Taifa, Abdul Nondo, ameibua hoja muhimu kuhusu changamoto za maendeleo vijijini wakati wa kampeni za kuwanadi wagombea wa chama hicho katika kijiji cha Mwali, kata ya Nyachenda, jimbo la Kasulu Vijijini mkoani Kigoma. Soma Pia: Kigoma...
  15. Mindyou

    LGE2024 Kigoma: Abdul Nondo, Mwenyekiti wa Vijana ACT Wazalendo ajiandikisha kwenye daftari la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Abdul Nondo, Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ACT Wazalendo Taifa, ameonyesha mfano wa uongozi kwa kujitokeza kujiandikisha katika daftari la mkazi, akijiandaa kwa uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 Novemba mwaka huu. Soma pia: Lindi: Mbunge wa Mchinga, Salma Kikwete...
  16. Roving Journalist

    Abdul Nondo: Njia inayotumiwa na Serikali kudhibiti migogoro ya Ardhi ni kiini macho

    Mwenyekiti Ngome ya Vijana- ACT Wazalendo, Abdul Nondo amesema "Serikali iwatumie vijana wengi wahitimu ambao ni Surveyors, Town planners. Wapo mtaani hawana kazi Serikali iwape majukumu hawa vijana waipime ardhi nchi nzima bure bila kudai fedha kwa Wananchi. "Serikali itapata faida nyingi...
  17. J

    Pre GE2025 Nondo amvaa Khamis Mobeto kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi. Kongole Azam

    Asubuhi hii, nimebahatika kuona mjadala wa wanasiasa kupitia UTV ambapo mwenyekiti wa ngome ya vijana ya ACT wazalendo, amemvaa vilivyo naibu katibu mwenezi wa CCM Zanzibar Khamis Mobeto. Katika mjadala huo, Mwenezi huyo wa CCM amenukuliwa akisema Tume huru ya uchaguzi itaanza baada ya...
  18. JanguKamaJangu

    Abdul Nondo alivyoshinda nafasi ya Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo Taifa

    Abdul Nondo ametangazwa kuwa mshindi wa nafasi ya Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo Taifa kufuatia uchaguzi mkuu wa ngome hiyo uliofanyika jana, Alhamisi Februari 29, 2024 kwenye ukumbi wa Hakainde Hichilema uliopo makao makuu ya ACT Wazalendo (Maalim Seif House) Magomeni, Dar es...
  19. Katkit

    Abdul Nondo: Hakuna mtu aliyewahi kuthubutu kuandamana kwenda Ikulu zaidi ya ACT Wazalendo

    Habari zenu wanajamvi, Huyu Abdul nadhani atakua kasahau ama amekengeuka kidogo kwenye hili, binafsi nakumbuka kipindi cha awamu ya 4 waislam walishawahi kufanya hicho kitu na wakawa blocked! Asijikweze, yupo anabwabwaja saizi Clouds 360.
  20. Sanyambila

    Ushauri kwa NECTA: Usimamizi wa mitihani kwa shule za Sekondari na Msingi

    Habari watanzania! Hivi karibuni Katibu mkuu wa NECTA aliyepita sasa ni naibu katibu mkuu TAMISEMI, ametuachia jambo geni kwenye usimamizi wa mitihani.anyway labda lina tija au wapo kwenye utafiti wa mfumo sijui kwanza nikwamba zamani ilikuwa walimu wa SEKONDARI walisimamia mitihani ya...
Back
Top Bottom