abdulrahman kinana

Abdulrahman Omari Kinana (Kinana)
Abdulrahman Omari Kinana is a Tanzanian politician who served as the first Speaker of the East African Legislative Assembly from 2001 to 2006. He has been secretary-general of Chama Cha Mapinduzi, the ruling party, since 2012.

Background:
Kinana served in the Tanzanian Armed Forces for 20 years before retiring as a colonel in 1992.
He has also served as the Deputy Minister of Foreign Affairs and Minister of Defence. He was a member of the Tanzanian Parliament for Arusha constituency for 10 years. Currently Kinana is Vice Chairman of CCM (Tanzania Mainland).

View More On Wikipedia.org
  1. Vugu-Vugu

    GEITA: Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana azungumza na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi

    Kinana na Shaka watia saini kitabu cha wageni, wazungumza na viongozi wa CCM Geita Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka wametia saini kitabu cha wageni katika...
  2. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Mzee Kinana Umetukataza Kukagua Taa za Magari Mchana, Sawa Tumekuelewa

    Baada ya agizo lako, tumeitwa na tupo kwenye utekelezaji. Nadhani ajali ya Usiku wa kuamkia leo imesababishwa na Taa. Tunashukuru, wengine tumebadilishiwa mpaka idara ila sawa tu. Kila la kheri ndugu Kinana endelea kufurahia ku-drive maana hatuta kusumbua.
  3. B

    Kinana kukagua uhai wa Chama na utekelezaji wa Ilani ya CCM Nyanda za Juu Kusini

    ZIARA YA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM- BARA NYANDA ZA JUU KUSINI. Ziara ya Ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndugu Abdulrahman O. Kinana kukagua uhai wa Chama pamoja na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 inaendelea na sasa ni zamu ya Mikoa ya Katavi,Rukwa, Songwe, Mbeya. CCM...
  4. M

    Bashe afuata ushauri wa Mpina aurejesha mfumo BPS kwenye Mbolea, vyombo husika vichukue hatua kwa Bashe kulidanganya Taifa

    Kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram Waziri wa Kilimo Leo Julai 13, 2022 amekutana kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Bi. Victoria Kwakwa kujadili maeneo ya ushirikiano kwenye IDA20. Pamoja na mambo mengine Bashe amesema mazungumzo yao pia yamegusia Swala la bei ya...
  5. Chipoku

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Ilala (CCM) na Mbunge, acheni vurugu na kuharibu chama

    CCM kiko katika chaguzi zake za ndani (kuanzia ngazi za mashinq, Malawi, Kata, Wilaya, na Mikoa) nchi nzima katika kipindi hiki. Ni Utaratibu mzuri wa Chama Tawala uliojiwekea ambapo wanachama wake katika maeneo husika hutumia fursa hii ya kidemokrasia ndani ya chama kugombea nafasi mbalimbali...
  6. B

    Rais Samia ni kinara wa maslahi ya wafanyakazi

    RAIS SAMIA NI KINARA WA MASLAHI YA WAFANYAKAZI. Na Bwanku M Bwanku. Jana Mei Mosi, Dunia iliadhimisha Siku ya Wafanyakazi na Nchi yetu ilifanya Maadhimisho haya Kitaifa Jijini Dodoma ambapo Rais Samia alikuwa Mgeni rasmi. Na Mimi Bwanku M Bwanku leo Jumatatu Mei 02, 2022 kwenye Gazeti la...
  7. beth

    Kinana: Serikali iwachukulie hatua waliotajwa Ripoti za CAG

    Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana amesema ni wakati wa Serikali kuchukua hatua dhidi ya watu waliokutwa wameenda kinyume na maadili katika Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Amesema, "CAG hazushi, anafanya kazi zake kitaaluma. Katika Ripoti zake anaeleza kasoro...
  8. B

    Abdulrahmani Kinana kuanza ziara kwenye mikoa 4 kuanzia Jumamosi Aprili 23, 2022

    ZIARA YA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM- BARA NDUGU ABDULRAHMANI KINANA KWENYE MIKOA 4 KUANZA KESHO JUMAMOSI. KAZI INAENDELEA Ziara ya uimarishaji uhai wa chama na kuhamasisha wana-CCM kujitokeza kushiriki uchaguzi wa ndani ya Chama unaoendelea. #CCMImara #KaziIendelee
  9. B

    Kinana: Kila mwanaccm ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa, wanaccm jitokezeni kugombea ndani ya chama

    #NUKUU YA WIKI KUTOKA KWA MAKAMU MWENYEWE WA CCM- BARA NDUGU ABDULRAHMANI KINANA. "WanaCCM wajitokeze kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali ndani ya Chama chetu. Kila mwanaCCM ana nafasi, haki ya kuchaguliwa na kuchagua." Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM - Bara, Ukumbi wa Diamond Jubilee -...
  10. S

    Kinana ukiingia Tanga mtafute Bhoke Nyarobi, Afisa Elimu aliyenyanyaswa akaacha kazi

    Katika mapokezi ya makamu mwenyekiti wa CCM bara ndugu Abrahaman Omari Kinana jana, amesema amepewa maelekezo na mwenyekiti wake aanze kupitia baadhi ya mikoa ikiwemo mkoa wa Tanga. Kinana utakapo karibia Tanga fanya liwezekanalo hata kwa dakika chache uonane na aliyekua afisa elimu taaluma...
  11. figganigga

    Abdulrahman Kinana: Kila chama kung'ang'ania Maslahi yake ndo sababu ya Kukwama kwa Katiba Mpya

    Lakini moja ambalo lazima tukiri lilisaidia kukwamisha jambo hili (mchakato wa katiba), ni kwa kila chama kung'ang'ania maslahi yake. Nadhani huo ndiyo ukweli lazima tuseme - Makamu Mwenyekiti CCM Bara, Abdulrahman Kinana. Watu wanakuja na mapendekezo, chama kimoja kinasema ndiyo, kimoja...
  12. Etwege

    CCM ya Awamu ya Tano ilisamehe wengi akiwemo Kinana

    CCM mpya ya awamu ya tano haikuishia kuongoza kwenye kuwaletea maendeleo watanzania tu mbali iliongoza pia kwenye kutoa misamaha ya dhati kwa wanachama wake waliofanya makosa mbalimbali kwenye chama kipindi hicho. Miongoni mwa misururu ya wanufaika wa misamaha hiyo ni pamoja na makamu...
  13. Magazetini

    Yaliyojiri Mkutano Mkuu Maalum wa CCM. Kinana apita kwa kura zote 1,875 zilizopigwa

    Leo ni mkutano mkuu maalum wa chama cha mapinduzi ambao pia utaenda kupitisha mabadiliko ya katiba ya CCM. Kwasasa anaongea katibu mstaafu wa CCM, Yusuph Makamba ambae anasema mchungaji Gwajima alimuuliza yeye kama mtabiri, anatabiri nini kwenye utawala wa mama Samia baada ya kutabiri ubatizo wa...
  14. GENTAMYCINE

    Kwa kichwa cha habari cha gazeti la MWANANCHI la leo Aprili 1, 2022 unajifunza na kugundua nini?

    Kinasema... 'Wamerudi Aiseeee" Tafadhali wale Wabobezi na Wanazuoni wa Lugha adhimu ya Kiswahili tunaomba mje hapa mtuelimisha maana na dhana pana na Neno 'Wamerudi' halafu hapo hapo tena Mtu anasema Neno 'Aiseeee' katika kumalizia. Karibuni.
  15. U

    Nashauri Makamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Philip Mangula ang'atuke na akabidhi mikoba kwa Abdulrahman Kinana

    Wazalendo Wote Nchini Natoa ushauri ufuatao kwa kuzingatia maslahi mapana ya Nchi yetu. Sio Siri Mzee Philip Mangula Makamu Mwenyekiti wa CCM upande wa Bara amekuwa na Utumishi wa muda mrefu uliotukuka akihudumu kwenye nafasi mbalimbali ndani na nje ya Chama Hata hivyo pamoja na ukweli huo...
  16. Shujaa Mwendazake

    Nape Nnauye uliweza kumuangukia Hayati Magufuli; ni wakati wa kumuangukia Mungu na Mzee Lowassa kwa laana hii

    Tunaoweka kumbukumbu sawa kwenye hii Video. Tunakumbuka hizi kauli zikitoka timu ya kampeni ya Hayati JPM, zikiongozwa na Nape Moses Nnauye na Abdulrahman Kinana chini ya mwamvuli wa Afya na uhai wa Rais atakayekuwa madarakani. Sihitaji kujua kama Msajili wa vyama vya siasa alikuwapo ama lah...
  17. M

    Wazee wetu nguli wa Siasa Mzee Kinana na Mzee Makamba kurudi kwenye chati na kuendelea kuheshimika?

    Wadau mtakumbuka jinsi wazee wetu hawa walivyodhalilishwa na watu walio wachanga sana kisiasa hapa nchini, dharau hizo zilizidi hasa katika Serikali ya awamu ya tano. Je, sasa si wakati wa wazee wetu hawa kurudia kuheshimika kutokana na hazina yao ya kisiasa hapa Tanzania? Karibuni kuchangia...
  18. J

    Kama ni kweli, basi comrade Kinana amepuuzwa!

    Habari wanajamvi! Sijaamini maneno ya msemaji wa chama cha Mapinduzi labda nitaaminishwa baadae. Kwa maneno yake Katibu mwenezi anasema ni kweli mwanasiasa nguli na Katibu Mkuu wa chama cha mapinduzi comrade Alhajji Abdulrahman Kinana alikuwa anaumwa, na alipelekwa nje ya Nchi kwaajili ya...
Back
Top Bottom