abortion

  1. Blender

    Mimi Kuna Kitu Kinanichanganya Sana Kwenye Hii Serikali Yetu

    Mimi Kuna Kitu Kinanichanganya Sana Kwenye Hii Serikali Yetu Wanasema Mimba Na Mtoto Ni mali ya Serikali Lakini Kwanzia Ujauzito Na Mtoto Unahudumia Wewe Sasa Kwanini Kama Mtoto Ni mali ya Serikali Usiwekwe Mfumo Wa Kuwalipa Wazazi Posho Za Malezi Ya Mtoto/ Watoto Wao? Hapo Nachoka Kabisa. Au...
  2. N

    Je, wakati umefika kwa nchi yetu kutunga sheria inayoruhusu utoaji salama wa Mimba?

    Nimelazimika kuleta Uzi huu, kutokana na kuona ongezeko kubwa la watoto wa mitaani, yatima, watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu, machokoraa, "panya road" na kadhalika. Ukichungiza matatizo yote hayo, mwanzo wake ni kutokana na mimba zisizotarajiwa. Kwa vyovyote vile mtoto akiletwa duniani...
  3. ikhlas

    Naomba kujuzwa njia sahihi na salama ya kutoa Ujauzito (abortion)

    Wasalam wadau , Dada angu ana mtoto wa mwaka 1 alimzaa kwa opresheni, lkn pia mtoto wke wa kwanza ana miaka 5 pia alimzaa kwa opresheni. Sasa ameshika tena ujauzito una miezi miwili, unampelekesha na afya yke imedhoofika mno, tumeshauriana anataka kuitoa kwa sbb ana mtoto mchanga wa mwaka 1 na...
  4. H

    DOKEZO Clinic ya Marie Stopes Mwanza inatoa huduma za utoaji mimba (abortion)

    Clinic ya Marie Stopes iliyoko jijini Mwanza wanajihusisha na vitendo vya utoaji mimba. Mimba zinatolewa sana hapa, hasa za wanafunzi wa vyuo vikuu maarufu vya hapa Mwanza (sitaki kuvitaja) na wake za watu waliopata mimba za michepuko. Mchezo unaofanyika ni kwamba wanawake wanaohitaji hiyo...
  5. Sildenafil Citrate

    Kinga ya ugonjwa wa Malaria kwa wanawake wajawazito

    Ugonjwa wa Malaria kwa wanawake wanajawazito huleta athari kubwa za kudumaza ukuaji wa mtoto tumboni au kuufanya ujauzito husika uharibike. Ili kuondoa athari hizi, Serikali kupitia Wizara ya Afya imeweka utaratibu wa wanawake wote kupata dozi tatu za dawa ya SP (sulphadoxine+pyrimethamine )...
Back
Top Bottom