Habari jf ,naona upepo umebadilika sana na hii ndio siasa sasa .
Kwa walio karibu na Absalom Kibanda, Ansbert Ngurumo, Neville Meena na Jesse Kwayu wawa ulize ni nini misimamo wao kuhusu Bandari zetu na DP World ?
Ikumbukwe hawa ni waandishi wa kitabu cha ' I am the state .'
Mwanahabari mkongwe Absalom Kibanda ametoa maoni yake kuhusu umuhimu wa Serikali kufanya kazi kwa ukaribu na Vyombo vya Habari ambapo kwa asilimia kubwa amelaumu mazingira ya tata baina ya pande hizo mbili.
Akitoa maoni katika Kongamano lililohusisha Wadau wa Habari, Serikali na Waandishi...
Mwanahabari mkongwe na Mchambuzi wa siasa Absalom Kibanda amekosoa maamuzi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuwafukuza uanachama Halima Mdee na wenzake 18.
“Ni kweli Mdee na wenzake 18 walikosea. Msingi wa makosa yao ni kupinga ubabe wa kihistoria wa viongozi wenzao na kudai kwao...
Wakuu,
Mhariri Mtendaji wa gazeti la Mtanzania, Absalom Kibanda, ametakiwa kuenda likizo kwa lazima kwa ajili ya kupisha uchaguzi Mkuu unaotegemewa kufanya Oktoba 25, 2015.
Imebainika kuwa sababu kubwa itakayotolewa na ndugu Kibanda ni kuwa anaenda kwenye matibabu nje ya nchi.
Aidha Mhariri...
Wanajamvi, Salaam.
Leo nakuja kwenu jamvini baada ya kukerwa na tabia ya Mwenyekekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania Absalom Kibanda kutumia kuteswa na kutekwa kwake kama biashara. Amekuwa anaongea kwa ndimi mbili.
Mara ya kwanza alizungumzia kutekwa kwake kwa namna ambayo ingefanya jamii...
Mhariri Mkuu wa Kampuni ya New Habari, ambao ni wachapishaji wa magazeti ya Mtanzania, Bingwa na Dimba, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) ndugu, Absalom Kibanda, amemtupia kombora mgombea Urais wa CCM. Kumbuka Kampuni ya New Habari, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya...
Bandugu, natumai kuwa hamjambo na mko vema baada ya kuadhimisha Sherehe ya Mapinduzi ya Zanzibar ambayo kwa hakika ilifana sana.
Wakati wa mapumziko ya weekend na Sherehe ya Mapinduzi ya Zanzibar, zilisikika taarifa kuwa Kamati Kuu ya CCM ambayo inaketi leo Zanzibar katika kikao chake cha...
Chanzo: East Africa Television (EATV)
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru Mhariri Mtendaji wa kampuni ya New Habari, Absalom Kibanda, Meneja Uendelezaji Biashara wa Kampuni ya Mwananchi Communication Limited Theophil Makunga na mwandishi Samson Mwigamba.
Akisoma hukumu yao ya kesi...
Hakimu Waliarwande Lema wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, hivi punde amewaachiwa huru, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Absalom Kibanda na Mjumbe wa Bodi ya Jukwaa hilo, Theophil Makunda katika kesi ya jinai ya uchochezi iliyokuwa inawakabil.
Katika kesi hiyo pia Salmson Mwigamba alikuwa...
MHESHIMIWA Rais wangu, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete. Nakusalimu kwa salamu ya utii inayotambua na kuheshimu kwa dhati mamlaka makubwa na ya juu uliyonayo kama mkuu wa taifa letu ambalo mazingira yake ya leo yanapaswa yawe wenye mwelekeo wa kushangilia kama si kujivunia uhuru ambao tuliupata...
"NAMTAFAKARI ZITTO KABWE: Hivi huyu kijana anastahili matusi, kejeli na dhihaka za namna hii kutoka kwa akina Tundu Lissu na viongozi wengine wa Chadema! Ni stahili yake kuitwa msaliti? Ama kweli siasa ni mchezo mchafu na usio na shukrani".
Ni maneno ya Mwandishi na Mhariri wa habari...
Jana katika mahojiano yake na Sauti ya Amrican VOA, Mkukurugenzi wa Idara ya habari amesema kwamba anashangaa kuona baadhi ya watu wanalalamika kuhusu kufungiwa kwa gazeti la mtz.
Amesema kwamba hata muhariri wa Mtanzania hana vigezo vya kuwa muhariri wa gazeti.
MY TAKE:
Kumbe Muhariri wa mtz...
Ni katika kipindi cha jenerali ulimwengu on monday
ananza kwa kushukuru watanzania wote waliomuombea
then anatoa pole kwa watz juu ya misiba ya wanajeshi...
......
PIA, SOMA:
Absalom Kibanda (Mwenyekiti wa Jukwa la Wahariri) avamiwa na watu wasiojulikana na kujeruhiwa
Mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri Tanzania na Mhariri Mtendaji wa New Habari, Ndugu yetu Absalom Kibanda anarejea kesho saa saba mchana na ndege ya SAA kutoka kwenye matibabu ya muda mrefu nchini Afrika Kusini baada ya kutekwa na watu wasiojulikana nje ya nyumba yake akirudi nyumbani siku 88...
Jumatano, Mei 22, 2013 09:53
Na Absalom Kibanda
MWAKA 2009, Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd, Absalom Kibanda, aliandika makala katika safu yake ya Tuendeko iliyokuwa ikiutizama mwenendo wa...
Absalom Kibanda
The Kisutu Resident Magistrates Court yesterday adjourned the hearing of a sedition case facing Mwananchi Communications Limited (MCL) Group Managing Editor, Theophil Makunga, former Tanzania Daima Managing Editor, Absalom Kibanda and columnist, Samson Mwigamba to April 29...
KUTEKWA KWA KIBANDA
Kibanda ni Nani? Mwanahabari, Mnyakyusa, na Mkristo
NIANZE kwa kuomboleza msiba wa jicho moja la Absalom Kibanda. Jicho hilo lilijeruhiwa na watu wabaya usiku alipotekwa na kupigwa na watu hao.
Tumejulishwa kuwa madaktari wanne walijitahidi sana kuokoa jicho...
Kikwete visits TEF chairman in South Africa
President Jakaya Kikwete has visited in hospital the chairman of Tanzania Editors' Forum (TEF) and Managing Editor of New Habari (2006) Corporation, Mr Absalom Kibanda (47), who is admitted to one South African hospital undergoing treatment after...
Watanzania tusikubali kufanywa wajinga. Haingii akilini kwa viongozi wa serikali kuonyesha moyo wa upendo kwa kutembelea wahanga wa vitendo vya "kimafya" kama mwenyekiti wa jukwaa la wahariri Absalom Kibanda leo huko Afrika kusini ambapo raisi amemtembelea lakini mwisho wa siku hakuna...
Ndugu zanguni Wana-JF, nawapeni pole sana kwa majanga yanayowaandama wapenda haki wa nchi hii na wale wote wanaofanya bidii kuuweka uovu wa nchi hii wazi mbele ya wale wasiojua kinachoendelea.
Binafsi napenda kutoa pole kwa familia ya Kibanda pamoja na familia za wengine wote waliowahi kuumizwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.