Mwanahabari Absalom Kibanda
TAARIFA ZA AWALI
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya New Habari wachapishaji wa magazeti ya Mtanzania, Dimba, Bingwa na Dimba, Absalom Kibanda amevamiwa na watu wasiojulikana akiwa ndani ya gari lake wakati...
By Elisha Magolanga
The Citizen Correspondent
Press freedom has shrunk considerably in Tanzania, with journalists and media houses finding it more difficult to do their work, according to the 2013 World Press Freedom Index. The country has dropped 36 places and is now ranked at number 70 of...
Wadau kulikuwa na tetesi kuwa huyu jamaa anahamia new Habari Corporation kwa RA kuanzia tarehe 1.12.2012, na ushahidi wa hili ni alipoanza kuandika makala ndani ya gazeti la Tanzania Daima (m4c kama nape anavyoliita) kwa kuanza kujikomba kwa magamba kama makala yake ya namuogopa kinana,mara...
Great Thinkers,
Baada ya kuisoma makala hii ya Absalom Kibanda Mhariri Mtendaji wa Tanzania Daima, nimejikuta napata mashaka sana na zaidi kupoteza imani na uzalendo wake. Pia nimejikuta nikiamini maneno niliyokuwa nikiyapata kijiweni kwamba Kibanda ni mmoja wa beneficieries wa Ufisadi kutoka...
Jeshi la polisi linamshikilia mhariri wa gazeti la Tanzania Daima, A. Kibanda kwa tuhuma za uchochezi. Kibanda anashikiliwa kwenye makao makuu ya polisi jijini Dar es Salaam.
===============
UPDATES
Habari zilizonaswa sasa hivi kutoka makao makuu ya polisi Dar zinasema Mhariri wa Tz Daima...
Mhariri Mtendaji wa gazeti la Tanzania Daima ambaye pia ni mwenyekiti wa jukwaa la Wahariri nchini Bw Absolom Kibanda ametoa matamshi makali dhidi ya Samwel Sitta kwa kumwambia kuwa yeye (Sitta) si mpambanaji kama anavyojifanya lakini kali ya yote amemwambia kwasasa hana muda wa kupoteza...
MAHOJIANO YA JANUARY MAKAMBA NA JARIDA LA UMOJA
1. Umekuwa msaidizi wa karibu wa Rais Jakaya Kikwete tangu akiwa Waziri wa Mambo ya Nje ya Nchi na Ushirikiano wa Kimataifa hadi hivi sasa, ni mambo gani hasa umejifunza kutoka kwake?
Nimejifunza mambo mengi sana kiasi kwamba ni si rahisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.