Mwigulu Nchemba ni mtuhumiwa wa kwanza kutekwa kwa Absalom Kibanda

Mwigulu Nchemba ni mtuhumiwa wa kwanza kutekwa kwa Absalom Kibanda

NGOWILE

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
454
Reaction score
258
Wanajamvi niwasalimu kwanza.

Ni hivi karibuni tumeshughudia kutekwa na kuumizwa kwa mwenyekiti wa jukwaa la wahariri ndugu yetu Absalomu Kibanda. Kutekwa huku kwa Kibanda na kuumizwa hakutofautiani sana na kule kuteswa kwa mwenyekiti wa jumuiya ya madaktari ndugu yetu Stephen Ulimboka.

Leo nitajikita kwenye suala la Kibanda ambaye alitekwa na kuumizwa vibaya karibu na nyumbani kwake.

Kwa mtizamo wangu kutekwa na kuumizwa kwa kibanda kwa kiasi kikubwa hakutoweza kutomuhusisha ndugu Mwigulu Nchemba moja kwa moja au kimazingira.

Ninalisema hili kwa makusudi ya kulitaka jeshi la polisi na vyombo vingine vya usalama kuchukua hatua mahsusi dhidi ya mtu huyu.

Uhakika wa kuhusika kwa Mwigulu Nchemba na swala hili la kutekwa kwa kibanda kwa mtazamo wangu kujibainisha kwa kuhusianishwa na kukamatwa kwa mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa CHADEMA ndugu Lwakatare kwa kile kinachodaiwa kupanga mauaji.

Itakumbukwa kuwa video hii iliwekwa kwenye mitandao ya kijamii mara tu baada ya kutekwa kwa Kibanda huku video ikionyesha kuwa imerekodiwa mwezi Desemba.

Itakumbukwa kuwa Mwigulu Nchemba amejitokeza kwenye vyombo habari mara kadhaa akisema kuwa anazo video zinazoonyesha viongozi wa CHADEMA wakipanga mikakati ya kufanya mauaji. Swali la kujiuliza kwanini vyombo vya usalama havikumkamata ili atoe ushahidi huo?

Hivi karibuni Mwigulu amejitokeza kwenye jukwaa hili na kusema kuwa video ya Lwakatare ni yeye aliwapa polisi kwa kupewa na msamaria mwema toka CHADEMA. Maswali ya kujiuliza ni: Kwanini msamaria huyo mwema alimpa Mwigulu badala ya vyombo vya usalama? Au mwigulu kwa sasa ni moja kati ya vyombo vya usalama nchini? Mbona polisi wanasema video hiyo wameipata kwenye mitandao ya kijamii na sio toka kwa Mwigulu?

Kitendo cha video hii kutolewa wakati mmoja na kutekwa na kuteswa kwa KIBANDA kinatoa ushahidi kuwa lengo lilikuwa ni kuuaminisha umma kuwa Lwakatare na CHADEMA wamehusika kwenye sakata hilo. Lengo likiwa ni kuichafua CHADEMA.

Nchemba ndiye aliyepewa video hiyo(kasema mwenyewe) kwanini ameitoa wakati wa kuteswa kwa kibanda alihali alikuwa nayo siku nyingi(alisema akiwa star tv). Huu si ushahidi kuwa ndiye aliyepanga tukio hili lengo likiwa ni kuichafua CHADEMA?

Ni matumaini yangu kuwa vyombo vya dola(japo haviaminiki) vitafavya uchunguzi wa kutosha katika swala hili.
 
Naibu katibu mkuu wa ccm kakaimu cheo cha Mkurugenzi wa makosa ya jinai<DCI> kazi mwaka huu tunayo tuombe tu 2015 tufike salama kwani nia yake tusitoboe huu mwaka,nchemba hakuna asilojua kuhusu kibanda wala lwakatare koz yeye ndio mpelelezi mkuu
 
Inaniuma sana, failures wanaongoza ncho hii na wanafanya wanavyotaka. Kwa nini Mwigulu asishikwe na amtaje aliyempa video hiyo and then atueleze mazingira aliyoipaata ile video fake? Na ilikuwaje wakatengeneza hiyo fake video? Ipo siku Mwigulu na wenzake watajutia wanayoyafanya sasa hivi.
 
Mods nashauri hapa JF lianzishwe Jukwaa la Mwigulu Nchemba ili post za kijinga kama hizi zijazane humo!
 
mchemba
anahusika utekwaji wa kibanda angehojiwa kwa weledi tungepata mwanga wa
vifo na utekaji unaoendelea nchini pamoja na mtandao wake ungejulikana.huyu mtu ni
hatari,hafai kabisa! kiongozi gani anaendesha umafia?
 
Kweli aysee. Walifunza magaidi wa sisiem kule IRINGA 2010. Nadhani wapo pamoja na mtoto wa mkulima pale aliposema na liwalo liwe, na likawa kwa Magosi
 
Lazima ameusika kutekwa na kuteswa kibanda hayo ni mazingira alikuwa ameanda.
 
Mwenye video ya mwigulu nchemba akifumaniwa na mke wa mtu kule igunga aiweke hapa jamvini tuijadili.
 
Naunga mkono hoja

Wana JF ni vyema tukatafakari na kuchambua hii mada kwa mapana yake; Kwa nini Jeshi la Polisi linaendelea kutumia pesa za wavuja jasho ili kutengeneza ushahidi wa Ki-china kuhusiana na bongo movie inayo mkabiri Kamanda Lwakatare ilkhali Mwigulu Nchemba yupo na ana ushahidi wote?

"Only in Tanzania"
 
Baada ya post za Lwakatare sasa ni zamu ya Mwigulu Nchemba....nasubiri anaefuatia...
 
Ipo siku dhambi ya udhalimu itamgeukia huyo mtoto Mwingulu!hajajua anayoyafanya kuna wenzake ambao hata hawayapendi ndani ya chama!sisi na Mungu wao na mauchawi na fitina zao,na watashindwa tu!nakumbushia ule mkakati wa kuanzisha harakati za kuchukua majimbo yoote ya vilaza wa CCM umefikia wapi?Dr Kitila ajipange sana maana dogo ni mchawi sana...anaogopeka sana kwa uchawi,pamoja na waziri mmoja kijana wizara nyeti anatokea Songea!na Kijana waziri mdogo mmoja anaesifika kusomea majina ya watu hao vijana hao wanatisha na wanaogopewa kwa uchawi!
 
niko pamoja nawe kwa hoja yako....na makanda wa polisi nao wameanza kuwa ccm...
 
Back
Top Bottom