Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,219
Akamatwe
kwa kupewa mkanda wa muv na wanacdm
Akamatwe
Mwigulu elewa auaye kwa upanga na yeye atauawa kwa upanga
Mods nashauri hapa JF lianzishwe Jukwaa la Mwigulu Nchemba ili post za kijinga kama hizi zijazane humo!
Kweli aysee. Walifunza magaidi wa sisiem kule IRINGA 2010. Nadhani wapo pamoja na mtoto wa mkulima pale aliposema na liwalo liwe, na likawa kwa Magosi
Kweli aysee. Walifunza magaidi wa sisiem kule IRINGA 2010. Nadhani wapo pamoja na mtoto wa mkulima pale aliposema na liwalo liwe, na likawa kwa Magosi
Lazima ameusika kutekwa na kuteswa kibanda hayo ni mazingira alikuwa ameanda.
Mwenye video ya mwigulu nchemba akifumaniwa na mke wa mtu kule igunga aiweke hapa jamvini tuijadili.
Ni kheri yake yule aliye mjinga kwani aweza kuelimishwa na akaelimika kuliko kuwa mpumbavu.
Baada ya post za Lwakatare sasa ni zamu ya Mwigulu Nchemba....nasubiri anaefuatia...
wanatapatapa hawa magaidi coz next ni slaa tu hapa hachomoki
Hilo uliandikalo ndio ilikuwa nia yenu ifikiriwe hivyo kama vile mlivyomuua Mwangosi mkitegemea hatutaona na kusikia mlichokifanya kumbuka PENYE UKWELI UONGO UJITENGA na ndio kinachijidhihirisha kwa sasa kwani Mwigulu anaropoka bila kujua kwamba kila analoliongea watu wenye akili kuliko yeye na nyie tunayachanganua kwa kina.anza na mbowe alituma watu wamdhuru kibanda baada ya kuacha kazi tanzania daima
Mmeingia kwa kasi kweli, Sijui kuna kitu Mwigulu anawafanyia kwenye MASABURI, siyo hivi hivi tu!!!
kwa kupewa mkanda wa muv na wanacdm
mwenye muv ya slaa akiiba mke wa mtu airushe hapa plz
ni zamu ya babu slaa tu tangu amesema nch haitatawalika tuanze naye
nchi haitatawalika by slaa.tunaanza naye
nchi haitatawalika by mbowe
wanatapatapa hawa magaidi coz next ni slaa tu hapa hachomoki
demage control haitatumika kudhoofisha kasi ya kukamata magaidi
wewe ndio boga kabisga mwigulu na kibanda wapi na wapi .magaid hamchomoki hapa
Unaposhabikia hicho ukishabikiacho ni sawa na kuwa na akili za marehemu maana ujitambui kwa nini upo hapo ulipo na kwa nini upo duniani na unachokishabikia kina manufaa na uzao wako na wenzako?ben saanane atakamatwa kwa kutaka kuua.zzk
Wanajamvi niwasalimu kwanza.
Ni hivi karibuni tumeshughudia kutekwa na kuumizwa kwa mwenyekiti wa jukwaa la wahariri ndugu yetu Absalomu Kibanda.Kutekwa huku kwa Kibanda na kuumizwa hakutofautiani sana na kule kuteswa kwa mwenyekiti wa jumuiya ya madaktari ndugu yetu Stephen Ulimboka.
Leo nitajikita kwenye suala la Kibanda ambaye alitekwa na kuumizwa vibaya karibu na nyumbani kwake.
Kwa mtizamo wangu kutekwa na kuumizwa kwa kibanda kwa kiasi kikubwa hakutoweza kutomuhusisha ndugu Mwigulu Nchemba moja kwa moja au kimazingira.Ninalisema hili kwa makusudi ya kulitaka jeshi la polisi na vyombo vingine vya usalama kuchukua hatua mahsusi dhidi ya mtu huyu.
Uhakika wa kuhusika kwa Mwigulu Nchemba na swala hili la kutekwa kwa kibanda kwa mtazamo wangu kujibainisha kwa kuhusianishwa na kukamatwa kwa mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa CHADEMA ndugu Lwakatare kwa kile kinachodaiwa kupanga mauaji.Itakumbukwa kuwa video hii iliwekwa kwenye mitandao ya kijamii mara tu baada ya kutekwa kwa Kibanda huku video ikionyesha kuwa imerekodiwa mwezi Desemba.
Itakumbukwa kuwa Mwigulu Nchemba amejitokeza kwenye vyombo habari mara kadhaa akisema kuwa anazo video zinazoonyesha viongozi wa CHADEMA wakipanga mikakati ya kufanya mauaji.Swali la kujiuliza kwanini vyombo vya usalama havikumkamata ili atoe ushahidi huo? Hivi karibuni Mwigulu amejitokeza kwenye jukwaa hili na kusema kuwa video ya Lwakatare ni yeye aliwapa polisi kwa kupewa na msamaria mwema toka CHADEMA.Swali la kujiuliza ni kwanini msamaria huyo mwema alimpa Mwigulu badala ya vyombo vya usalama? Au mwigulu kwa sasa ni moja kati ya vyombo vya usalama nchini? Mbona polisi wanasema video hiyo wameipata kwenye mitandao ya kijamii na sio toka kwa Mwigulu?
Kitendo cha video hii kutolewa wakati mmoja na kutekwa na kuteswa kwa KIBANDA kinatoa ushahidi kuwa lengo lilikuwa ni kuuaminisha umma kuwa Lwakatare na CHADEMA wamehusika kwenye sakata hilo.Lengo likiwa ni kuichafua CHADEMA.Nchemba ndiye aliyepewa video hiyo(kasema mwenyewe) kwanini ameitoa wakati wa kuteswa kwa kibanda alihali alikuwa nayo siku nyingi(alisema akiwa star tv). Huu si ushahidi kuwa ndiye aliyepanga tukio hili lengo likiwa ni kuichafua CHADEMA?
Ni matumaini yangu kuwa vyombo vya dola(japo haviaminiki) vitafavya uchunguzi wa kutosha katika swala hili.
By.Mtoto wa seremala