Mwigulu Nchemba ni mtuhumiwa wa kwanza kutekwa kwa Absalom Kibanda

Mwigulu Nchemba ni mtuhumiwa wa kwanza kutekwa kwa Absalom Kibanda

Mods nashauri hapa JF lianzishwe Jukwaa la Mwigulu Nchemba ili post za kijinga kama hizi zijazane humo!
Kwako ni za kijinga ila kwa walio wengi wanaumizwa na mikakati michafu ya mwingulu na hatujui nia yake hasa ni nini?
Haiwezekani kila siku ni mwingulu, mwaingulu................!????????
Kwa kipi hasa na s '?'& u &?., ra la '?,ke kama anapuliza moto.
Nia na maduni yake ni nini?
 
kabisa na kwakuwa Ramadhani Ighondu anafanya kazi ikulu hata mkuu wa kaya naye hawezi kusalimika ukizingatia hotuba aliyotoa kumtetea rama,aki nani nchi ya ajabu.

na kwakuwa rwakatake anatoka kndon bas slaa anahusika
 
on anather hand kama kweli tunania ya dhati ya kukomesha vitendo viovu kaka peleka ushahidi wako polisi kama mwiguru alivyofanya kupeleka ile cd ya lwakatare vinginevyo tutakuona msanii tu

usihofu soon utaona
 
Usitegemee Mwigulu kukamatwa kwa mahojiano kwa jeshi hili la polisi tulilonalo. Bahati mbaya sana jeshi letu la polisi huwa wanamkamata mtuhumiwa then ndio wanatafuta kosa kwa kufuata maelekezo toka lumumba
 
Wanajamvi niwasalimu kwanza.

Ni hivi karibuni tumeshughudia kutekwa na kuumizwa kwa mwenyekiti wa jukwaa la wahariri ndugu yetu Absalomu Kibanda.Kutekwa huku kwa Kibanda na kuumizwa hakutofautiani sana na kule kuteswa kwa mwenyekiti wa jumuiya ya madaktari ndugu yetu Stephen Ulimboka.

Leo nitajikita kwenye suala la Kibanda ambaye alitekwa na kuumizwa vibaya karibu na nyumbani kwake.

Kwa mtizamo wangu kutekwa na kuumizwa kwa kibanda kwa kiasi kikubwa hakutoweza kutomuhusisha ndugu Mwigulu Nchemba moja kwa moja au kimazingira.Ninalisema hili kwa makusudi ya kulitaka jeshi la polisi na vyombo vingine vya usalama kuchukua hatua mahsusi dhidi ya mtu huyu.

Uhakika wa kuhusika kwa Mwigulu Nchemba na swala hili la kutekwa kwa kibanda kwa mtazamo wangu kujibainisha kwa kuhusianishwa na kukamatwa kwa mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa CHADEMA ndugu Lwakatare kwa kile kinachodaiwa kupanga mauaji.Itakumbukwa kuwa video hii iliwekwa kwenye mitandao ya kijamii mara tu baada ya kutekwa kwa Kibanda huku video ikionyesha kuwa imerekodiwa mwezi Desemba.

Itakumbukwa kuwa Mwigulu Nchemba amejitokeza kwenye vyombo habari mara kadhaa akisema kuwa anazo video zinazoonyesha viongozi wa CHADEMA wakipanga mikakati ya kufanya mauaji.Swali la kujiuliza kwanini vyombo vya usalama havikumkamata ili atoe ushahidi huo? Hivi karibuni Mwigulu amejitokeza kwenye jukwaa hili na kusema kuwa video ya Lwakatare ni yeye aliwapa polisi kwa kupewa na msamaria mwema toka CHADEMA.Swali la kujiuliza ni kwanini msamaria huyo mwema alimpa Mwigulu badala ya vyombo vya usalama? Au mwigulu kwa sasa ni moja kati ya vyombo vya usalama nchini? Mbona polisi wanasema video hiyo wameipata kwenye mitandao ya kijamii na sio toka kwa Mwigulu?

Kitendo cha video hii kutolewa wakati mmoja na kutekwa na kuteswa kwa KIBANDA kinatoa ushahidi kuwa lengo lilikuwa ni kuuaminisha umma kuwa Lwakatare na CHADEMA wamehusika kwenye sakata hilo.Lengo likiwa ni kuichafua CHADEMA.Nchemba ndiye aliyepewa video hiyo(kasema mwenyewe) kwanini ameitoa wakati wa kuteswa kwa kibanda alihali alikuwa nayo siku nyingi(alisema akiwa star tv). Huu si ushahidi kuwa ndiye aliyepanga tukio hili lengo likiwa ni kuichafua CHADEMA?

Ni matumaini yangu kuwa vyombo vya dola(japo haviaminiki) vitafavya uchunguzi wa kutosha katika swala hili.

By.Mtoto wa seremala

Mwigulu ni muuaji PERIOD
 
Usitegemee Mwigulu kukamatwa kwa mahojiano kwa jeshi hili la polisi tulilonalo. Bahati mbaya sana jeshi letu la polisi huwa wanamkamata mtuhumiwa then ndio wanatafuta kosa kwa kufuata maelekezo toka lumumba

magaidi hoi
 
Hilo uliandikalo ndio ilikuwa nia yenu ifikiriwe hivyo kama vile mlivyomuua Mwangosi mkitegemea hatutaona na kusikia mlichokifanya kumbuka PENYE UKWELI UONGO UJITENGA na ndio kinachijidhihirisha kwa sasa kwani Mwigulu anaropoka bila kujua kwamba kila analoliongea watu wenye akili kuliko yeye na nyie tunayachanganua kwa kina.
mkuu usihangaike sana, sababu ya mchemba kutapatapa ni kuwa siku zote damu ni nzito kuliko maji.
 
Next siyo slaa bali wewe maana kila mbongo ni gaidi. Jiulize kwanini usiwe!
 
Huyu jamaa ndiyo mana nikataka kujua maana ya jina lake kwanza....

je hawa unawajua maana zao.tundu.kabwe.slaa.mnyika,mbilinyi.mbowe.mdee.machemli,ndesambulo,baregu,marando,rwakatale,mushumbuzi,kigaila,makene.
 
Tangu tulisike jina la MWIGILU ni mfululio wa mauaji na mateso ya watu tu
 
kabisa na kwakuwa Ramadhani Ighondu anafanya kazi ikulu hata mkuu wa kaya naye hawezi kusalimika ukizingatia hotuba aliyotoa kumtetea rama,aki nani nchi ya ajabu.

huyu jamaa alikusaidia wewe kuepusha laana ktk nchi..acha kutumika fikiri kwa kutumia kichwa...
 
Back
Top Bottom