Mwigulu Nchemba ni mtuhumiwa wa kwanza kutekwa kwa Absalom Kibanda

Mwigulu Nchemba ni mtuhumiwa wa kwanza kutekwa kwa Absalom Kibanda

Mwiguru nchemba na alaanike yeye na kizazi chake, ni mwovu asiye mfano,ana kiburi kwa sababu anapewa kichwa na usalama wa taifa huwezi kukiri mwenyewe kuhusika na ugaidi ,na mchezo wa mmauaji,ukatajwa mahakamani kwamba unandaa vikundi vya wafanya fujo mikutano ya vyama vingine halafu ukaachwa tu,Mwigulu sasa hivi somo halielewi lakini kuna siku ataisoma namba ,kiwewe kimeshika anaweweseka, mapambio wanayoimba wapambe wake hapa hayamsafishi kitu
 
Mwinguru mchemba hafai, angekuwa yuko kwenye nchi za falme za kiarabu adhabu yake ingekuwa kunyongwa..hili jamaa litengwe na jamii nilishetani ibilisi nguruwe pori kabisa, shenzi type, jinga pumbafff kabisa!

gaidi mkubwa wee, mwigulu atalindwa na mungu aliye hai dhidi ya dua zenu za kigaidi na zitawarudia lazima mdhurike tu
 
Mwiguru nchemba na alaanike yeye na kizazi chake, ni mwovu asiye mfano,ana kiburi kwa sababu anapewa kichwa na usalama wa taifa huwezi kukiri mwenyewe kuhusika na ugaidi ,na mchezo wa mmauaji,ukatajwa mahakamani kwamba unandaa vikundi vya wafanya fujo mikutano ya vyama vingine halafu ukaachwa tu,Mwigulu sasa hivi somo halielewi lakini kuna siku ataisoma namba ,kiwewe kimeshika anaweweseka, mapambio wanayoimba wapambe wake hapa hayamsafishi kitu

huna adabu, mwigulu lazima awakomeshe kwa ugaidi wenu, wewe na wafadhili wako na mabwana zako
 
Wakati wa mapumziko ya Bunge leo Mwigulu alikuwa online facebook kujibu maswali ya wadau.

Kama una swali "LA MSINGI" just drop a line on his wall.

By the way, ameweka namba yake ya simu in case of queries.

Kama mnataka kujadili mambo serious seriously basi fanyeni hivyo. Kama mnataka kufanya mambo serious kibavicha bavicha basi msitegemee mabadiliko kuanguka kama manemane...
Ridhiwani mwana wa Jakaya amemkodishia Sadif ma UVCCM wamkong'ote na kumg'oa jana akipandisha ngazi pale Lumumumba kakabwa koo na mtu ambaye hata sio mwana UVCCM ( Nipashe Leo ) sasa koma kuact ki UVCCM hawajakusaidia kitu maishani mwako zaidi ya kukushusha hadhi na kupata hadhi ya mnafiki na ndumula kuwili nambari moja
 
Mwiguru nchemba na alaanike yeye na kizazi chake, ni mwovu asiye mfano,ana kiburi kwa sababu anapewa kichwa na usalama wa taifa huwezi kukiri mwenyewe kuhusika na ugaidi ,na mchezo wa mmauaji,ukatajwa mahakamani kwamba unandaa vikundi vya wafanya fujo mikutano ya vyama vingine halafu ukaachwa tu,Mwigulu sasa hivi somo halielewi lakini kuna siku ataisoma namba ,kiwewe kimeshika anaweweseka, mapambio wanayoimba wapambe wake hapa hayamsafishi kitu

mtasema yote mwaka huu magaidi nyie
 
anza na mbowe alituma watu wamdhuru kibanda baada ya kuacha kazi tanzania daima

nijuavyo mbowe anawafanyakazi wengi sana kutokana na kumiliki makampuni mengi..je ni waganyakazi wangapi aliwafanyia kama unavyotaka watu waamini au kibanda ndiyo mfanyakazi wa kwanza kuacha kazi kwenye makampuni ya MBOWE
 
Udaku hamna jipya hapa eti akatoa ushahidi gani tena wakati keshapeleka mkanda polisi na mtuhumiwa kakili kuwa ni yeye aliekuwa anaongea.
 
huna adabu, mwigulu lazima awakomeshe kwa ugaidi wenu, wewe na wafadhili wako na mabwana zako

Masalia dot.com usipanic sikumleta Mwiguru JF kuja kukiri kwamba yeye ndio mchora racket za kigaidi kwa hisani ya JF mods thread ya mwigulu bado inatamba,kwa ukweli amejikomesha mwenyewe manake sasa hivi lazima amuomba jangiri wa tembo aidhinishe elfu tano tano za kukulipa kuja kumkingia hapa watu wameambia angalia kitokacho kinywani mwako na maandiko yanabaki, alichoandika mwenyewe JF kitamsimamisha kizimbani na si muda mrefu gaidi namba moja la Tanzania limekiri lenyewe baada ya ubongo wake kuvurugika na damu za watu
 
Kuna mambo matatu yanapaswa kueleweka kama mtiririko wa jinsi polisi na Mwigulu walivyopanga namna ya kuuweka hadharani na kuuhusianisha na mambo mengine kwa malengo yao. Mtiririko uko hivi:
1. Mwigulu kuupeleka mkanda Polisi
2. Mkanda kuwekwa kwenye mtandao baada Kibanda kutekwa.
3. Lwakatare kukamatwa.

Kwa akili ndogo ya polisi wa Tanzania na Mwigulu mwenyewe, polisi waliopewa mkanda wanaacha kumkamata Lwakatare baada ya kupewa mkanda hadi baada wenyewe kuuweka kwenye mtandao. Polisi walitaka kutaaminisha mambo mawili ambayo kwa upembuzi mdogo hayana uhusiano:
1. Kwamba kutekwa kwa Kibanda kuna uhusiano na mipngo ya ugaidi ya CDM kwa kurejea mkanda wa Lwakatare.
2. Kwamba polisi waliupata mkanda kwenye mtandao Mwigulu alisahau kuwa watu watachambua jinsi alivyokuwa anjikoroga katika mipango yake ya ugaidi wa kienyeji na hatimaye kuwasingizia CDM
 
Wakati wa mapumziko ya Bunge leo Mwigulu alikuwa online facebook kujibu maswali ya wadau.

Kama una swali "LA MSINGI" just drop a line on his wall.

By the way, ameweka namba yake ya simu in case of queries.

Kama mnataka kujadili mambo serious seriously basi fanyeni hivyo. Kama mnataka kufanya mambo serious kibavicha bavicha basi msitegemee mabadiliko kuanguka kama manemane...

Naona mnachanganyikiwa...Unajaribu kuandika hiki/kile unashindwa...Umevurugukiwa na tumbo baada ya ukweli kujulikana...

Mwigulu ni muuaji PERIOD..
 
Kama mwana ccm mwigulu Nchemba ametuaibisha kabisa maana sasa santuli hii itabadilika sasa hv. Mwigulu funga mdomo acha vyombo vya sheria vifanye kazi. Propaganda haziwi hivi mtoto wewe mbona husikii nikushike sikio namna gani jamani mm! Badala ya kuungana tuwafurumushe mafisadi kwa ajili ya chaguzi za mwaka 2014/15, ona sasa unawapa kichwa cdm.

Imeshakula kwake...
 
gaidi mkubwa wee, mwigulu atalindwa na mungu aliye hai dhidi ya dua zenu za kigaidi na zitawarudia lazima mdhurike tu

Yani magamba (Wauaji) mmevurugukiwa kiasi kwamba mnatia huruma..
Mwigulu ni muuaji PERIOD
 
huna adabu, mwigulu lazima awakomeshe kwa ugaidi wenu, wewe na wafadhili wako na mabwana zako

Imesha kula kwenu baaab....!!! Watanzania washajua nje ndani nani mtesaji na muuaji wao..

Mwigulu ni muuaji PERIOD
 
mchemba
anahusika utekwaji wa kibanda angehojiwa kwa weledi tungepata mwanga wa
vifo na utekaji unaoendelea nchini pamoja na mtandao wake ungejulikana.huyu mtu ni
hatari,hafai kabisa! kiongozi gani anaendesha umafia?

Swali la kujiuliza; Ludovic ndiye mtu anayehisiwa kumjeruhi Kibanda, huyu Ludovic amekuwa akilipwa pesa na Mwigulu Nchemba for Unknown mission. Je polisi wanapata kigugumizi gani kuunganisha dots hapo?
Hata nikatwe shingo leo bado ninaamini kwamba Mwigulu Nchemba amehusika na kufadhili waliomtesa Kibanda.
 
Usitegemee Mwigulu kukamatwa kwa mahojiano kwa jeshi hili la polisi tulilonalo. Bahati mbaya sana jeshi letu la polisi huwa wanamkamata mtuhumiwa then ndio wanatafuta kosa kwa kufuata maelekezo toka lumumba

siyo kweli kaka hapo unapotosha kwani vyombo vya dora siyo vya ccm hoja ya kusema vinafanya kazi kwa maelekezo toka lumumba ni kupotosha uma acha uongo.
 
Mwiguru nchemba na alaanike yeye na kizazi chake, ni mwovu asiye mfano,ana kiburi kwa sababu anapewa kichwa na usalama wa taifa huwezi kukiri mwenyewe kuhusika na ugaidi ,na mchezo wa mmauaji,ukatajwa mahakamani kwamba unandaa vikundi vya wafanya fujo mikutano ya vyama vingine halafu ukaachwa tu,Mwigulu sasa hivi somo halielewi lakini kuna siku ataisoma namba ,kiwewe kimeshika anaweweseka, mapambio wanayoimba wapambe wake hapa hayamsafishi kitu

wewe ndo ulaaniwe saba mara sabini...mwigulu abarikiwe kwa kuumbua na kuharibu mipango ya magaidi
 
Back
Top Bottom