utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
Tumesha mjua mtesaji na muuaji wa Watanzania..
Mwigulu ni muuaji PERIOD
naona gaidi umebadili Id fast
Tumesha mjua mtesaji na muuaji wa Watanzania..
Mwigulu ni muuaji PERIOD
wewe ndo ulaaniwe saba mara sabini...mwigulu abarikiwe kwa kuumbua na kuharibu mipango ya magaidi
Yani magamba (Wauaji) mmevurugukiwa kiasi kwamba mnatia huruma..
Mwigulu ni muuaji PERIOD
Mods nashauri hapa JF lianzishwe Jukwaa la Mwigulu Nchemba ili post za kijinga kama hizi zijazane humo!
Mwiguru KIle kitendo cha kujianika kwenye mitandao na kukili ujangiri na ugaidi wake wa kudhulumu haki za watu,na dhuluma ya utu wa wananchi wengine akiwanyima haki ya kukaa na wake na watoto wao ni laana tayari amelaanika saba mara sabini ,yeye na kizazi chake hadi kufa kwake
naona gaidi umebadili Id fast
Mwiguru ni gaidi namba moja hutupotezei muda sisi kama mods hawawezi fanya kazi yao kuwaachia mumiani wa kushusha hadhi jamvi hili endelea na upuuzi wewe badili ID tunakunyuka za uso tuu ,mpaka Nape akunyime mia mbili manake ndio thamani yakokwanini unabadili badili Id? Wewe ndio froida na tedo.....tumeshakujua kirusi
Na bado utalia sana nisha kubamiza mpaka huna uwezo wa kujadiri Mwiguru ni haramu kwa siasa za Tanzania hata akubebe na mbereko ya kumlinda jamvini sifa zake zimeshavuka mipaka, tunangoja wanaume wakazi watakavyomshughurukia mahakamanifroida = tedo =multiple Id
gaidi mkubwa wee, mwigulu atalindwa na mungu aliye hai dhidi ya dua zenu za kigaidi na zitawarudia lazima mdhurike tu
mtasema yote mwaka huu magaidi nyie
Tumesha mjua mtesaji na muuaji wa Watanzania..
Mwigulu ni muuaji PERIOD
Hivi gaidi mwenye asili ya Zanzibar alikuwa dini gani vile?!
Ni Mwiguru Nchemba kakili bila shurutu kaleta mada JF yakueleza jinsi anavyotekeleza mipango ya mauaki shetani siku zingine anamkataa shetani mwenzankesiyo lwakatare?
Hivi CD ya ILUNGA umeisikia?.. Alisema kila unapoona neno gaidi weka jina la muumini wa dini gani vile!!!
siyo kweli kaka hapo unapotosha kwani vyombo vya dora siyo vya ccm hoja ya kusema vinafanya kazi kwa maelekezo toka lumumba ni kupotosha uma acha uongo.
Ni Mwiguru Nchemba kakili bila shurutu kaleta mada JF yakueleza jinsi anavyotekeleza mipango ya mauaki shetani siku zingine anamkataa shetani mwenzanke
kwa udini wako huu naomba mungu akuangazie vizuri we si mtu mwema sijuikama ndo malezi yako au la.
usilete mambo yako ya udini humu tunazungumzia hoja siyo udini we vip?