ERIC JOSEPH
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 567
- 55
wamefulia sasa ni zamu yetu.wao hatamu wamefika
Wanajamvi niwasalimu kwanza.
Ni hivi karibuni tumeshughudia kutekwa na kuumizwa kwa mwenyekiti wa jukwaa la wahariri ndugu yetu Absalomu Kibanda.Kutekwa huku kwa Kibanda na kuumizwa hakutofautiani sana na kule kuteswa kwa mwenyekiti wa jumuiya ya madaktari ndugu yetu Stephen Ulimboka.
Leo nitajikita kwenye suala la Kibanda ambaye alitekwa na kuumizwa vibaya karibu na nyumbani kwake.
Kwa mtizamo wangu kutekwa na kuumizwa kwa kibanda kwa kiasi kikubwa hakutoweza kutomuhusisha ndugu Mwigulu Nchemba moja kwa moja au kimazingira.Ninalisema hili kwa makusudi ya kulitaka jeshi la polisi na vyombo vingine vya usalama kuchukua hatua mahsusi dhidi ya mtu huyu.
Uhakika wa kuhusika kwa Mwigulu Nchemba na swala hili la kutekwa kwa kibanda kwa mtazamo wangu kujibainisha kwa kuhusianishwa na kukamatwa kwa mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa CHADEMA ndugu Lwakatare kwa kile kinachodaiwa kupanga mauaji.Itakumbukwa kuwa video hii iliwekwa kwenye mitandao ya kijamii mara tu baada ya kutekwa kwa Kibanda huku video ikionyesha kuwa imerekodiwa mwezi Desemba.
Itakumbukwa kuwa Mwigulu Nchemba amejitokeza kwenye vyombo habari mara kadhaa akisema kuwa anazo video zinazoonyesha viongozi wa CHADEMA wakipanga mikakati ya kufanya mauaji.Swali la kujiuliza kwanini vyombo vya usalama havikumkamata ili atoe ushahidi huo? Hivi karibuni Mwigulu amejitokeza kwenye jukwaa hili na kusema kuwa video ya Lwakatare ni yeye aliwapa polisi kwa kupewa na msamaria mwema toka CHADEMA.Swali la kujiuliza ni kwanini msamaria huyo mwema alimpa Mwigulu badala ya vyombo vya usalama? Au mwigulu kwa sasa ni moja kati ya vyombo vya usalama nchini? Mbona polisi wanasema video hiyo wameipata kwenye mitandao ya kijamii na sio toka kwa Mwigulu?
Kitendo cha video hii kutolewa wakati mmoja na kutekwa na kuteswa kwa KIBANDA kinatoa ushahidi kuwa lengo lilikuwa ni kuuaminisha umma kuwa Lwakatare na CHADEMA wamehusika kwenye sakata hilo.Lengo likiwa ni kuichafua CHADEMA.Nchemba ndiye aliyepewa video hiyo(kasema mwenyewe) kwanini ameitoa wakati wa kuteswa kwa kibanda alihali alikuwa nayo siku nyingi(alisema akiwa star tv). Huu si ushahidi kuwa ndiye aliyepanga tukio hili lengo likiwa ni kuichafua CHADEMA?
Ni matumaini yangu kuwa vyombo vya dola(japo haviaminiki) vitafavya uchunguzi wa kutosha katika swala hili.
By.Mtoto wa seremala
what if badala ya Kibanda angeteswa na kuumizwa hule Mwandishi wa Mwananchi mlengwa na video hiyo ndugu Msacky? unaona dili lilivyokuwa kali hapo? hata hivyo inabaki kuwa CDM ilikuwa inawatafuta na kuwatesa waandishi wa habari.Wanajamvi niwasalimu kwanza.
Ni hivi karibuni tumeshughudia kutekwa na kuumizwa kwa mwenyekiti wa jukwaa la wahariri ndugu yetu Absalomu Kibanda.Kutekwa huku kwa Kibanda na kuumizwa hakutofautiani sana na kule kuteswa kwa mwenyekiti wa jumuiya ya madaktari ndugu yetu Stephen Ulimboka.
Leo nitajikita kwenye suala la Kibanda ambaye alitekwa na kuumizwa vibaya karibu na nyumbani kwake.
Kwa mtizamo wangu kutekwa na kuumizwa kwa kibanda kwa kiasi kikubwa hakutoweza kutomuhusisha ndugu Mwigulu Nchemba moja kwa moja au kimazingira.Ninalisema hili kwa makusudi ya kulitaka jeshi la polisi na vyombo vingine vya usalama kuchukua hatua mahsusi dhidi ya mtu huyu.
Uhakika wa kuhusika kwa Mwigulu Nchemba na swala hili la kutekwa kwa kibanda kwa mtazamo wangu kujibainisha kwa kuhusianishwa na kukamatwa kwa mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa CHADEMA ndugu Lwakatare kwa kile kinachodaiwa kupanga mauaji.Itakumbukwa kuwa video hii iliwekwa kwenye mitandao ya kijamii mara tu baada ya kutekwa kwa Kibanda huku video ikionyesha kuwa imerekodiwa mwezi Desemba.
Itakumbukwa kuwa Mwigulu Nchemba amejitokeza kwenye vyombo habari mara kadhaa akisema kuwa anazo video zinazoonyesha viongozi wa CHADEMA wakipanga mikakati ya kufanya mauaji.Swali la kujiuliza kwanini vyombo vya usalama havikumkamata ili atoe ushahidi huo? Hivi karibuni Mwigulu amejitokeza kwenye jukwaa hili na kusema kuwa video ya Lwakatare ni yeye aliwapa polisi kwa kupewa na msamaria mwema toka CHADEMA.Swali la kujiuliza ni kwanini msamaria huyo mwema alimpa Mwigulu badala ya vyombo vya usalama? Au mwigulu kwa sasa ni moja kati ya vyombo vya usalama nchini? Mbona polisi wanasema video hiyo wameipata kwenye mitandao ya kijamii na sio toka kwa Mwigulu?
Kitendo cha video hii kutolewa wakati mmoja na kutekwa na kuteswa kwa KIBANDA kinatoa ushahidi kuwa lengo lilikuwa ni kuuaminisha umma kuwa Lwakatare na CHADEMA wamehusika kwenye sakata hilo.Lengo likiwa ni kuichafua CHADEMA.Nchemba ndiye aliyepewa video hiyo(kasema mwenyewe) kwanini ameitoa wakati wa kuteswa kwa kibanda alihali alikuwa nayo siku nyingi(alisema akiwa star tv). Huu si ushahidi kuwa ndiye aliyepanga tukio hili lengo likiwa ni kuichafua CHADEMA?
Ni matumaini yangu kuwa vyombo vya dola(japo haviaminiki) vitafavya uchunguzi wa kutosha katika swala hili.
By.Mtoto wa seremala
we uliona wapi serikali inajikamata? mwigiru is protected na ndiyo maana ana tamba na CD's kibao kazificha, nafikiri atakuwa anazitoa moja baada ya nyingine... mpo hapo watanzania?Kwa jinsi serikali yetu na jeshi la polisi wanavomuogopa mkulu na Nchemba hakuna kitakachoendelea hapo. Lengo lao ni kuona CDM inakufa kifo cha Mende. Lakini watasubiri sana kuona CDM inakufa na haifi ng'o labda Muarobaini uzae embe.
Naibu katibu mkuu wa ccm kakaimu cheo cha Mkurugenzi wa makosa ya jinai<DCI> kazi mwaka huu tunayo tuombe tu 2015 tufike salama kwani nia yake tusitoboe huu mwaka,nchemba hakuna asilojua kuhusu kibanda wala lwakatare koz yeye ndio mpelelezi mkuu
ha ha ha, mnaumiza watu namna hiyo ku-justfy vitu weak kiasi hiki? poleni sana.anza na mbowe alituma watu wamdhuru kibanda baada ya kuacha kazi tanzania daima
wala siyo katiba mkuu, wako busy ndani ya chama makundi yanapimana ubavu -- urais 2015 ndugu yangu, watu hawasalimiani, yaani ni mbwai mbwai tu - sangoma ndiyo usiseme. yetu macho.CCM wako busy wanapaka mikakati ya kuchakachua Katiba wakati wanajitahidi kudivert attension ya wananchi!!
yeah ni kweliila madhara yake si makubwa sana kama yale magomjwa ambayo dr aliezea kuwa yanakusumbua.Hivi viroba ukinywa wakati wa jua kali bila kula kitu huwa vinaleta madhara makubwa kichwani
Naibu katibu mkuu wa ccm kakaimu cheo cha Mkurugenzi wa makosa ya jinai<DCI> kazi mwaka huu tunayo tuombe tu 2015 tufike salama kwani nia yake tusitoboe huu mwaka,nchemba hakuna asilojua kuhusu kibanda wala lwakatare koz yeye ndio mpelelezi mkuu
anza na mbowe alituma watu wamdhuru kibanda baada ya kuacha kazi tanzania daima

ben saanane atakamatwa kwa kutaka kuua.zzk