Mwigulu Nchemba ni mtuhumiwa wa kwanza kutekwa kwa Absalom Kibanda

Kifupi ni kwamba Mwigulu amepata cheo cha Naibu Katibu Mkuu CCM baada ya kujibu tuhuma dhidi ya CCM wakati ule Bungeni zilizohusu matumizi ya ziada ya wizara kifupi wanaita OC au "Other Charges" Alitukana na kujitutumua ndipo Mh. Rais akamfikiria hicho cheo. Ni cheo kufuatia funika funika ya maovu. Viongozi japo si wote hutoka kwa Bwana, huyu Mwigulu hakutoka kwa Bw bali kwa Kikwete. Kiherehere alichonacho huyu Bw hadi viongozi waandamizi anawaona si kitu mimi natabiri kuwa itafika muda atakuja kuwasimulia watoto wake kuwa aliwahi kuwa naibu katibu mkuu CCM, na wao watashangaa na kumhoji sasa baba ilikuwaje, atashindwa kutoa jibu kwani hawezi kuwaeleza kuwa "Kiherehere kilimponza"
 
  • Thanks
Reactions: ESI
we ulietumwa kumteka na kumtesa ulimboka mbona hujasema aliekutuma.

mwigulu na nape siasa zao za majitaka zinaiuwa ccm.....na kutumia mamluki walioshindwa ...wakati ccm inao utajiri wa wanasiasa waaminifu kwa chama maisha yao yote ambao wanaweza kuisemea!
Propaganda za kijinga zimeshapitwa na wakati ....wananchi wa miaka hiii ni waelewa sana !
 
Aliyeiweka video ni yule ambaye Anataka kupotosha ushahidi wa kuteswa kwa kibanda kw kila hali

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

m..----- .badili hii id mkuu inaaibisha na kukushushia hadhi
 
Kupenda kubaya sana hivi kuna uhusiano gani kati ugaidi wa Lwakatare na Kuteswa kwa Kibanda na Nchemba? Katika ile video sijasikia kabisa Kibanda akitajwa aliyetajwa ni Msaki, Zitto, Marehemu wa morogoro na jamaa alimwagiwa tindikali wa Igunga.

Labda niwaulize wana CDM ..
1: Kupokea au kuununua video yenye maudhui ya kijinai ni kosa?
2: Au walionekana wa kifanya kosa? najua majibu mnayo.

Kumbukeni Kuwa Dr Slaa alimkataa katakata Ludovick kuwa hamtambui.
Kumbukeni kuwa Tundu Lissu alikiri kuwa Ludo alikuwa katika mambo ya usalama wa chama akaenda mbali zaidi na kumshutumu kuwa amemkosea Lwakatare kwa kumrekodi maana Lwakatare ndio alisimamamia harusi yake na hata pale Nyumbani Ludo ni kama kwake.

Swali la kujiuliza Kwanini Dr Slaa alimkana kijana wake kipenzi? Bila shaka kuna jambo Chama kinataka kulificha.

Mwisho nawaombeni muangalie tena ile video kama kuna sehemu Ludovick alimtega Lwakatare zaidi ya pale Lwakatare alipomtaja Zitto tu. Hapo ndio alikuwa akikwepa kumpa majibu sahihi Ludovick lakini kuhusu mauaji ya morogoro , kumteka msaki na kumtupa Kigamboni na la mwisho akimsii Ludo asifanye kawa walilofanya Igunga yote hayo alisema bila ya Ludo kuingiza neno sana sana alikuwa akiitikia mh mhm mh.

Nchemba sasa anahusika vipi kwa haya? Ninalo ona mimi kosa la Nchemba litakuwa tu kama alichelewa kupeleka video polis kwa wakati lakini pia anaweza kujitetea kwa kusema alikuwa haamini ile video lakini baada ya kuona Kibanda kateswa basi akaamua kuipeleka polisi.

Wenu Mzalendo
 
Kupenda kubaya sana hivi kuna uhusiano gani kati ugaidi wa Lwakatare na Kuteswa kwa Kibanda na Nchemba?
Mpaka utakapojiuliza kwanini Ludo kakamatwa ndo utakapojiona hauna jipya
 
Kupenda kubaya sana hivi kuna uhusiano gani kati ugaidi wa Lwakatare na Kuteswa kwa Kibanda na Nchemba? Katika ile video sijasikia kabisa Kibanda akitajwa aliyetajwa ni Msaki, Zitto, Marehemu wa morogoro na jamaa alimwagiwa tindikali wa Igunga.

Labda niwaulize wana CDM ..
1: Kupokea au kuununua video yenye maudhui ya kijinai ni kosa?
2: Au walionekana wa kifanya kosa? najua majibu mnayo.

Kumbukeni Kuwa Dr Slaa alimkataa katakata Ludovick kuwa hamtambui.
Kumbukeni kuwa Tundu Lissu alikiri kuwa Ludo alikuwa katika mambo ya usalama wa chama akaenda mbali zaidi na kumshutumu kuwa amemkosea Lwakatare kwa kumrekodi maana Lwakatare ndio alisimamamia harusi yake na hata pale Nyumbani Ludo ni kama kwake.

Swali la kujiuliza Kwanini Dr Slaa alimkana kijana wake kipenzi? Bila shaka kuna jambo Chama kinataka kulificha.

Mwisho nawaombeni muangalie tena ile video kama kuna sehemu Ludovick alimtega Lwakatare zaidi ya pale Lwakatare alipomtaja Zitto tu. Hapo ndio alikuwa akikwepa kumpa majibu sahihi Ludovick lakini kuhusu mauaji ya morogoro , kumteka msaki na kumtupa Kigamboni na la mwisho akimsii Ludo asifanye kawa walilofanya Igunga yote hayo alisema bila ya Ludo kuingiza neno sana sana alikuwa akiitikia mh mhm mh.

Nchemba sasa anahusika vipi kwa haya? Ninalo ona mimi kosa la Nchemba litakuwa tu kama alichelewa kupeleka video polis kwa wakati lakini pia anaweza kujitetea kwa kusema alikuwa haamini ile video lakini baada ya kuona Kibanda kateswa basi akaamua kuipeleka polisi.

Wenu Mzalendo

Kaka Hata ukimsafisha mwiguru ni mchawi wa kisiasa ,gaidi na muuaji, katika kipindi kifupi sana chini ya miaka mitano kuwa kwenye active politics tayari amehusishwa na mauaji,Igunga,Arumeru,Ndago,na sasa Dar es Salaam,hakuna sabuni au Jik itayoweza kuondoa hila za uuaji wa huyu kijana ,Plot and mission failed utamuona mahakamani atakavyokuwa akijinyea nyea pale, ni shahidi nambari moja akifuatiwa na Zitto waliyetangaza naye CD wakiwa star Tv na Denis Msaky anayesema anawindwa na chadema wakati hata hawajawahi kumhuhitaji kwa lolote
 
Nchemba amesema aliipeleka ile video kabla ya kufanya mahojiano na Star TV,polisi wanasema waliipata mtandaoni,we unajizia nini kuona sarakasi hii!
 
Mods nashauri hapa JF lianzishwe Jukwaa la Mwigulu Nchemba ili post za kijinga kama hizi zijazane humo!

We ndye mjinga zaidi make upumbavu unaofanyika katk nchi hautaji dgrii kujuwa,kama wenye madarasa saba kichwani wanatambua ila we na dgrii yako huelewi nani mpumbavu zaid ya mwingine?
 
We ulietumwa kumteka na kumtesa Ulimboka mbona hujasema aliekutuma.

ulimboka mlimtesa nyie baada ya kuona mazungumzo na ikulu yamekwenda vizur kumaliza mgomo coz that day ndio kesho mgomo ulitakiwa umalizike.aliwasaliti
 
Nchemba amesema aliipeleka ile video kabla ya kufanya mahojiano na Star TV,polisi wanasema waliipata mtandaoni,we unajizia nini kuona sarakasi hii!

ishu hapa ni contents na ukwel wa wake sio distribution nan kwa nan
 
Kaka Hata ukimsafisha mwiguru ni mchawi wa kisiasa ,gaidi na muuaji, katika kipindi kifupi sana chini ya miaka mitano kuwa kwenye active politics tayari amehusishwa na mauaji,Igunga,Arumeru,Ndago,na sasa Dar es Salaam,hakuna sabuni au Jik itayoweza kuondoa hila za uuaji wa huyu kijana ,Plot and mission failed utamuona mahakamani atakavyokuwa akijinyea nyea pale, ni shahidi nambari moja akifuatiwa na Zitto waliyetangaza naye CD wakiwa star Tv na Denis Msaky anayesema anawindwa na chadema wakati hata hawajawahi kumhuhitaji kwa lolote

Niliyoandika mimi ni maneno niliyoyasikia katika video na kunukuu maneno ya Dr Slaa na Lissu kutoka magazetini hivyo simtetei mwigulu bali na tetea nchi yangu. Na wala sitopenda CDM kivutwe ila viongozi waliousika wachukuliwe hatua za kisheria

Nadhani nimeeleweka
 
Utakuwa umejielewa mwenyewe, Mwigulu over a week anakiri kuhusika na kutengeneza video sasa nchi ipi wewe unayotetea wakati gaidi namba moja Mwigulu anatangaza ubabe wa kuratibu video na polisi hawachukui hatua
 
ulimboka mlimtesa nyie baada ya kuona mazungumzo na ikulu yamekwenda vizur kumaliza mgomo coz that day ndio kesho mgomo ulitakiwa umalizike.aliwasaliti

mpelekee salamu KIkwete la Ulimboka liko dunia nzima anahesabiwa muda tuu, yeye na usalama wa taifa ndio wachora racket na hamuwezi kuspin musichezee heshima ya watanzania kuwa watulivu na kupenda nchi yao nakuwageuza madondocha mukidhani watatununua ujinga wa lumumba ,
 
Nchemba amesema aliipeleka ile video kabla ya kufanya mahojiano na Star TV,polisi wanasema waliipata mtandaoni,we unajizia nini kuona sarakasi hii!

Mahujiano ya Polisi na Shahidi siku zote yanakuwa siri baina na shahidi na Polisi sasa kama yeye mwigulu kaamua kusema ukweli hilo si kosa la polisi.

Mkiendelea kutetea uovu kuna siku chama kitakufa. Naupenda upinzani kwa sababu unaleta changamoto katika maendeleo hivyo napenda CDM iwepo ila tendo la viongozi kuendelea kutetea uovu inanitia shaka sana na uhai wa CDM baadae maana kesi ni ya ugaidi na ni mbaya sana maana hata jumuia za kimataifa hazitowasaidia kwa kesi hii.

Kinachotakiwa na Viongozi ni kufanya jitihada za kisheria ili kesi ibadilike kutoka Ugaidi iwe na Jinai tena wamtose mshitakiwa. Kuendelea kumtetea ni kujifunga kitanzi maana sheria ni msumeno

wako Mzalendo
 
Back
Top Bottom