sulphadoxine
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,258
- 649
kuwafunza cdm waache kuwaza kwa masabur au ndio kazi yangu
Unaangaika sana salia!!!ingia tu jina lako la kawaida/
kuwafunza cdm waache kuwaza kwa masabur au ndio kazi yangu
upo sahihi mkuu.Wanajamvi niwasalimu kwanza.
Ni hivi karibuni tumeshughudia kutekwa na kuumizwa kwa mwenyekiti wa jukwaa la wahariri ndugu yetu Absalomu Kibanda.Kutekwa huku kwa Kibanda na kuumizwa hakutofautiani sana na kule kuteswa kwa mwenyekiti wa jumuiya ya madaktari ndugu yetu Stephen Ulimboka.
Leo nitajikita kwenye suala la Kibanda ambaye alitekwa na kuumizwa vibaya karibu na nyumbani kwake.
Kwa mtizamo wangu kutekwa na kuumizwa kwa kibanda kwa kiasi kikubwa hakutoweza kutomuhusisha ndugu Mwigulu Nchemba moja kwa moja au kimazingira.Ninalisema hili kwa makusudi ya kulitaka jeshi la polisi na vyombo vingine vya usalama kuchukua hatua mahsusi dhidi ya mtu huyu.
Uhakika wa kuhusika kwa Mwigulu Nchemba na swala hili la kutekwa kwa kibanda kwa mtazamo wangu kujibainisha kwa kuhusianishwa na kukamatwa kwa mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa CHADEMA ndugu Lwakatare kwa kile kinachodaiwa kupanga mauaji.Itakumbukwa kuwa video hii iliwekwa kwenye mitandao ya kijamii mara tu baada ya kutekwa kwa Kibanda huku video ikionyesha kuwa imerekodiwa mwezi Desemba.
Itakumbukwa kuwa Mwigulu Nchemba amejitokeza kwenye vyombo habari mara kadhaa akisema kuwa anazo video zinazoonyesha viongozi wa CHADEMA wakipanga mikakati ya kufanya mauaji.Swali la kujiuliza kwanini vyombo vya usalama havikumkamata ili atoe ushahidi huo? Hivi karibuni Mwigulu amejitokeza kwenye jukwaa hili na kusema kuwa video ya Lwakatare ni yeye aliwapa polisi kwa kupewa na msamaria mwema toka CHADEMA.Swali la kujiuliza ni kwanini msamaria huyo mwema alimpa Mwigulu badala ya vyombo vya usalama? Au mwigulu kwa sasa ni moja kati ya vyombo vya usalama nchini? Mbona polisi wanasema video hiyo wameipata kwenye mitandao ya kijamii na sio toka kwa Mwigulu?
Kitendo cha video hii kutolewa wakati mmoja na kutekwa na kuteswa kwa KIBANDA kinatoa ushahidi kuwa lengo lilikuwa ni kuuaminisha umma kuwa Lwakatare na CHADEMA wamehusika kwenye sakata hilo.Lengo likiwa ni kuichafua CHADEMA.Nchemba ndiye aliyepewa video hiyo(kasema mwenyewe) kwanini ameitoa wakati wa kuteswa kwa kibanda alihali alikuwa nayo siku nyingi(alisema akiwa star tv). Huu si ushahidi kuwa ndiye aliyepanga tukio hili lengo likiwa ni kuichafua CHADEMA?
Ni matumaini yangu kuwa vyombo vya dola(japo haviaminiki) vitafavya uchunguzi wa kutosha katika swala hili.
By.Mtoto wa seremala
Tangu tulisike jina la MWIGILU ni mfululio wa mauaji na mateso ya watu tu
Tangu tulisike jina la MWIGILU ni mfululio wa mauaji na mateso ya watu tu
Unaangaika sana salia!!!ingia tu jina lako la kawaida/
thread hii imejaa upuuzi
Akili za bavicha hizi...
Ni kweli kabisa , huyu mwingulu mchemba aka kilaza, mwendawazimu, taahira, chizi, kichaa, mgonjwa wa akili aka matusi factor ndiye mtuhumiwa kwa jins ulivyo jaza mav kwenye sahani gts true we ndio mwehu kuliko wote duniani
Mwinguru mchemba ni janga la taifa!!!
thread hii imejaa upuuzi