utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
Kibanda ameumizwa na mbowe. Hata mtoto mdogo ukimuuliza anakwambia
Na jukwaa la Dr.Slaa nalo lianzishwe.Mods nashauri hapa JF lianzishwe Jukwaa la Mwigulu Nchemba ili post za kijinga kama hizi zijazane humo!
Anyongwe Kabisa
wewe ndio boga kabisga mwigulu na kibanda wapi na wapi .magaid hamchomoki hapa
Mwigulu ni gaidi no.1 hapa Tanzania.
Unaposhabikia hicho ukishabikiacho ni sawa na kuwa na akili za marehemu maana ujitambui kwa nini upo hapo ulipo na kwa nini upo duniani na unachokishabikia kina manufaa na uzao wako na wenzako?
Mwigulu ni mtuhumiwa namba1 hilo liko wazi, ameshiriki kufanikisha mauaji mengi sana asipopelekwa mahakamani basi J. K atapandishwa ndege to ICC
Naunga mkono hoja kwa asilimia 100. ila tu serikali dhalimu kama hii itashindwa kuchukua hatua kwa sababu anafanya kazi ya maccm
Makachero wa Scotland Yard
waliokuja Kenya kupeleleza kifo cha Robert Ouko aliyekuwa Waziri wa
Mambo ya nchi za nje, walimtia hatiani Mkuu wa Usalama wa Taifa, Waziri
wa Mambo ya ndani, Mkuu wa Wilaya na Viongozi wengine waandamizi.
Makachero kama wale wangalikuja kuchunguza mateso ya Ulimboika na mateso
ya Kibanda, kuna watu wengi maarufu na wakubwa wangetiwa hatiani. Kwa
mpelelezi mwenye weledi na kazi yake bila kutazama misukumo ya kisiasa,
watu kama Rama Ighondu lazima angehojiwa. Katika suala la Kibanda watu
kama Mwugulu lazima wangehojiwa. Lakini kwa Tanzania.......mh!
Hawathubutu!
anza na mbowe alituma watu wamdhuru kibanda baada ya kuacha kazi tanzania daima
anza na mbowe alituma watu wamdhuru kibanda baada ya kuacha kazi tanzania daima
Ukiunganisha nukta utakumbuka ludo nae alitekwa na kupoteza kila kitu cha mawasiliano walijua wamepoteza ushaidi walivyokuwa wanawasiliana ahahahahahahahahaahh?
Inaniuma sana, failures wanaongoza ncho hii na wanafanya wanavyotaka. Kwa nini Mwigulu asishikwe na amtaje aliyempa video hiyo and then atueleze mazingira aliyoipaata ile video fake? Na ilikuwaje wakatengeneza hiyo fake video? Ipo siku Mwigulu na wenzake watajutia wanayoyafanya sasa hivi.
cdm hata ukiambiwa kamlete mkeo utasema naunga mkona slaa alale naye
Mkuu vipi unaendelea na kazi yako ya ualimu????
na mimi nimetoa ushauri huo, imekua fashen humu jfMods nashauri hapa JF lianzishwe Jukwaa la Mwigulu Nchemba ili post za kijinga kama hizi zijazane humo!