Mufti Mkuu na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Dkt. Abubakar Zubeir bin Ally, amewakosoa vikali viongozi wa dini (masheikh na waalimu) kwa kukaa kimya wakati viongozi wa nchi—wakiwemo Rais, Serikali na Mawaziri—wanapotukanwa.
"Mnaogopa nini masheikh kusema? Anatukanwa Rais, Serikali na Mawaziri...