Mufti Mkuu Zubeir: Rais na Serikali wanatukanwa Masheikh mmenyamaza Kimya! Mmepataje hizo nafasi zenu?

Mufti Mkuu Zubeir: Rais na Serikali wanatukanwa Masheikh mmenyamaza Kimya! Mmepataje hizo nafasi zenu?

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mufti Mkuu na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Dkt. Abubakar Zubeir bin Ally, amewakosoa vikali viongozi wa dini (masheikh na waalimu) kwa kukaa kimya wakati viongozi wa nchi—wakiwemo Rais, Serikali na Mawaziri—wanapotukanwa.

"Mnaogopa nini masheikh kusema? Anatukanwa Rais, Serikali na Mawaziri mmenyamaza kimya! Mmeipataje hiyo nafasi ya kuwa masheikh na waalimu? Watu wakipoteza maadili na tabia, ni kama waliokufa wanaostahili kuliliwa na kuwekewa matanga."

 
Mnaogopa nini Masheikh kusema, Anatukanwa Rais mmenyamaza kimya, wanatukana serikali na Mawaziri mmenyamaza kimya, Mmepataje hizo nafasi zenu.?” Sheikh Abubakar Zubeir - MUFTI MKUU
Kwani wewe Mufti umefanya nini?
 
Mnaogopa nini Masheikh kusema, Anatukanwa Rais mmenyamaza kimya, wanatukana serikali na Mawaziri mmenyamaza kimya, Mmepataje hizo nafasi zenu.?” Sheikh Abubakar Zubeir - MUFTI MKUU
View attachment 3656504


mtu alipomkashifu au kumtukana Mtume ﷺ, Mtume ﷺ hakujibu kwa matusi. Alisisitiza subira, msamaha na kutolipiza ubaya kwa ubaya.

Miongoni mwa maneno yake ﷺ:
«لَيْسَ الْمُؤْمِنُ بِالطَّعَّانِ وَلَا اللَّعَّانِ وَلَا الْفَاحِشِ وَلَا الْبَذِيءِ»
“Muumini si mtu wa kutukana, kulaani, kufanya uchafu wa maneno, wala kusema maneno machafu.”
— Jami‘ at-Tirmidhi
Pia Mtume ﷺ alipoambiwa kuhusu watu waliomlaani, alijibu kwa dua:
«اللَّهُمَّ اغْفِرْ لِي وَلَهُمْ»
“Ewe Allah, nisamehe mimi na wao.”
Hii inaonyesha kwamba jibu la Mtume ﷺ kwa kukashifiwa mara nyingi lilikuwa ni subira, dua na msamaha, badala ya kulipiza kwa matusi.

CC
MUFTI HAJUI HAYA?
 
Ngoja nikachekee chooni
3e76149c-2f78-44ea-96c9-37d99bd081cb.jpeg
 
haha halafu watanzigiza wakiongea arabic wanachekesha sana kwa wanavyolazimisha lafudhi ya arabic lkn inakataa, kuna sababu kwa nini sisi tunasema shehe vs native arabs wanatamka shaikh lkn wanaivyoitamka hauwezi kuipata hata ujaribu vipi kama wewe siyo native arab. ukipanda emirates yale matangazo kwa arabic yanavuktia hata kusikiliza lkn hawa wa huku tanzagiza au somalis wakiongea arabic unaweza kutapika they sound soo fake.
sijui native arabs wenyewe huwa wanawachukuliaje lkn nilishawahi kushuhudia native arabs wakimcheka somalis aliyekuwa anajitahidi ku-sound native arab lkn wapi walikuwa hawamuelewi, walimcheka balaa.

i bless day the Wamisionari walivyokanyaga ardhi yetu ...
 
mtu alipomkashifu au kumtukana Mtume ﷺ, Mtume ﷺ hakujibu kwa matusi. Alisisitiza subira, msamaha na kutolipiza ubaya kwa ubaya.

Miongoni mwa maneno yake ﷺ:
«لَيْسَ الْمُؤْمِنُ بِالطَّعَّانِ وَلَا اللَّعَّانِ وَلَا الْفَاحِشِ وَلَا الْبَذِيءِ»
“Muumini si mtu wa kutukana, kulaani, kufanya uchafu wa maneno, wala kusema maneno machafu.”
— Jami‘ at-Tirmidhi
Pia Mtume ﷺ alipoambiwa kuhusu watu waliomlaani, alijibu kwa dua:
«اللَّهُمَّ اغْفِرْ لِي وَلَهُمْ»
“Ewe Allah, nisamehe mimi na wao.”
Hii inaonyesha kwamba jibu la Mtume ﷺ kwa kukashifiwa mara nyingi lilikuwa ni subira, dua na msamaha, badala ya kulipiza kwa matusi.

CC
MUFTI HAJUI HAYA?
Akhi,hapo mufti kaongea kama kada mtiifu wa CCM na sio kiongozi wa dini.
 
Back
Top Bottom