An academy (Attic Greek: Ἀκαδήμεια; Koine Greek Ἀκαδημία) is an institution of secondary or tertiary higher learning, research, or honorary membership. The name traces back to Plato's school of philosophy, founded approximately 385 BC at Akademia, a sanctuary of Athena, the goddess of wisdom and skill, north of Athens, Greece.
Hongera kwa kazi nzuri kuelimisha jamii kupitia makala za kuelimisha na kusisimua.
Umekuwa unatumia platforms kadhaa kufikia wasomaji wengi kadiri uwezavyo, ni jambo jema.
Vipi, umewahi kufikiria kutumia platform hii inayopatikana hapa www.calipa.co.tz?
Hii platform/system ambayo ni "App na Web...
Ikiwa ulidhani kwamba sakata la kofi lililotikisa 'dunia nzima imekwisha, hakika umekosea. Siku chache baada ya Will Smith kumpiga Chris Rock bila kutarajia katika tuzo za Oscar za mwaka huu—Academy imeanza rasmi kesi za kinidhamu dhidi yake…na Will anaweza kukabiliwa na matokeo mabaya sana...
Waandaaji wa tuzo za Oscar wanasema baada ya smith kufanya fujo na kumpiga Rock, aliombwa aondoke lakini akagoma.
Oscar Academy wanasema watamchukulia smith hatua za kinidhamu kwa kufanya fujona pia kudhalilisha hadhi ya tuzo hizo za kimataifa.
Watu wengi wanasema alichokifanya Smith kimezidi...
EXPERIENCED TEACHERS NEEDED TO TEACH AND SERVE AT AN INTERNATIONAL CHRISTIAN SCHOOL
Haven of Peace Academy (HOPAC) is looking for qualified people to join our mission to provide an excellent, Christ-centred education fulfilling international academic standards, equipping students to live out a...
Wakuu wakati akiwa Mwanza nilimsikia Rais Samia akizungumzia suala la uanzishwaji wa academics kwa kila mkoa ili kukuza sekta ya mchezo wenyewe.
Ni jambo jema sana ila mimi nina mawazo tofauti na ushauri pia kwamba academy hutayarishwa na timu zote zinazoshiriki kwenye ligi, kuanzia timu kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.