academy

An academy (Attic Greek: Ἀκαδήμεια; Koine Greek Ἀκαδημία) is an institution of secondary or tertiary higher learning, research, or honorary membership. The name traces back to Plato's school of philosophy, founded approximately 385 BC at Akademia, a sanctuary of Athena, the goddess of wisdom and skill, north of Athens, Greece.

View More On Wikipedia.org
  1. CAS LIFE PURPOSE ACADEMY

    Hongera kwa kazi nzuri kuelimisha jamii kupitia makala za kuelimisha na kusisimua. Umekuwa unatumia platforms kadhaa kufikia wasomaji wengi kadiri uwezavyo, ni jambo jema. Vipi, umewahi kufikiria kutumia platform hii inayopatikana hapa www.calipa.co.tz? Hii platform/system ambayo ni "App na Web...
  2. Hatimaye Academy yaanza taratibu za kumchukulia Will Smith hatua za kinidhamu

    Ikiwa ulidhani kwamba sakata la kofi lililotikisa 'dunia nzima imekwisha, hakika umekosea. Siku chache baada ya Will Smith kumpiga Chris Rock bila kutarajia katika tuzo za Oscar za mwaka huu—Academy imeanza rasmi kesi za kinidhamu dhidi yake…na Will anaweza kukabiliwa na matokeo mabaya sana...
  3. Oscar Academy: Baada ya Smith kumpiga Rock, aliombwa aondoke akagoma, tutachukua hatua za kinidhamu dhidi yake

    Waandaaji wa tuzo za Oscar wanasema baada ya smith kufanya fujo na kumpiga Rock, aliombwa aondoke lakini akagoma. Oscar Academy wanasema watamchukulia smith hatua za kinidhamu kwa kufanya fujona pia kudhalilisha hadhi ya tuzo hizo za kimataifa. Watu wengi wanasema alichokifanya Smith kimezidi...
  4. P.E. Teacher at Haven of Peace Academy

    EXPERIENCED TEACHERS NEEDED TO TEACH AND SERVE AT AN INTERNATIONAL CHRISTIAN SCHOOL Haven of Peace Academy (HOPAC) is looking for qualified people to join our mission to provide an excellent, Christ-centred education fulfilling international academic standards, equipping students to live out a...
  5. Maagizo ya Rais Samia kwa Waziri Bashungwa kuhusu kujenga Academy ya michezo kila mkoa nchini ni mazuri

    Wakuu wakati akiwa Mwanza nilimsikia Rais Samia akizungumzia suala la uanzishwaji wa academics kwa kila mkoa ili kukuza sekta ya mchezo wenyewe. Ni jambo jema sana ila mimi nina mawazo tofauti na ushauri pia kwamba academy hutayarishwa na timu zote zinazoshiriki kwenye ligi, kuanzia timu kubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…