acheni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Viongozi wa Simba acheni usanii juu ya suala la kipa wenu

    Napata shida kubwa juu ya tetesi zinazoendelea ya kwamba simba inaweza kumtema kipa mbrazil aliyesajiliwa hivi karibuni kwa sababu eti ana majeraha!!! Siwezi kusema Sana juu ya tetesi inawezekana ikatokea kweli ama isitokee, lakini Kama ni kweli basi kuna wahuni wanaendelea kupiga 10% kwa...
  2. Kampuni ya Bradda acheni wizi

    Habari Jf, Baada ya kuangaika sana katika harakati za kutafuta sehemu nzuri au kampuni nzuri itakayoweza kutoa Internet nzuri ya nyumbani na ofisini kwa gharama nafuu. TTCL : Nilitumia ka muda mfupi baadae nikaachana nao maana wazito katika kutoa huduma au ukiwa na shida inachukuwa mda mrefu...
  3. M

    Wanaume acheni kupima DNA

    Serikali ya Uganda imewashauri wanaume kuacha kufanya vipimo vya vinasaba (DNA) kubaini ukweli wa uzazi, ikisema kuwa haina manufaa kwa ustawi wa nchi hiyo. Waziri wa Afya Msingi wa nchi hiyo, Margaret Muhanga, anasema haijalishi kama wanaume wanaolea watoto ni baba zao kwa damu au la, na...
  4. Uongozi wa Simba SC acheni kucheza na Akili zetu, kwa huyu Kipa Mbrazili Jefferson Luis mmetutukana Tusi Kubwa Sisi Mashabiki wenu

    Siyo kwamba kila Siku GENTAMYCINE nikiwa Nawachokoza, Nawananga na Nawatania mno Watani zetu Yanga SC basi Kwetu huku ( Simba SC ) mkikosea nitawanyamazia. Huwa sina Unafiki na Upumbavu na ndivyo hata nilivyo Kiuhalisia wangu. Kama Kipa Ally Salim ( japo ana Mapungufu kadhaa ) ameweza Kudaka...
  5. CCM acheni kulalama huku mkijua mnao viongozi wa kisiasa wenye makanisa

    Mama Lwakatare na mbunge wa Kawe wa sasa ni kati ya maaskofu wanaoshiriki siasa na kuongoza wafuasi makanisani! Na viongozi wengi wenye makanisa binafsi ambao hutuambia mungu wao ndiye kamchagua rais na si sisi wananchi! Haya yote hayalalamikiwi. Enzi za Magufuli viongozi wa makanisa binafsi...
  6. WAALIMU mliopitia JKT acheni kuwapigisha adhabu za kijeshi wanafunzi. ndio maana mnaua!

    Ukiangalia vifo vingi vya wanafunzi ambavyo vinasababishwa na waalimu vinatokana na kupewa adhabu au kipigo nje ya utaratibu wa kawaida wa fimbo. nawatahadharisha tu walimu kuwa maeneo yaha ambayo nayataja hapa ni hatari sana kupiga hasa kwa watoto wadogo 1. kupiga NGWALA, hii inapelekea mtoto...
  7. Acheni kupotosha watu. Hakuna mwana CCM aliyehongwa, CCM inauwezo wa kununua hizi pikipiki

    Mnapotosha kila mahala. Kisa tu mnaona picha ya Rais Samia.
  8. Simba SC imetosha, sasa acheni kusajili kwani tuna vikosi hatari viwili vya Mauaji

    Kuna timu moja GENTAMYCINE naionya mapema ijitahidi tu kwa Makusudi ifungwe na Azam FC kwani ikishinda na ikikutana nami Simba SC ninayeenda kumpiga Kipigo cha Kishalubela (Kikatili) Nduguye wa yatokako Mafuta ya Alizeti na Kuku wazuri wa Kienyeji naenda Kumfunga Goli 7 au 9 na hawatoamini...
  9. R

    Waandishi wa Habari acheni kulalamika. Tamaa zenu na kukosa maadili ndio anguko lenu

    Waandishi wa habari acheni kulalamika; mnavuna mlichopanda. Thamani yenu imeshuka sana kwenye jamii na miongoni mwa watawala. Hakuna kazi mnayofanywa inayopendwa kwenye jamii. Tumeruhusu nchi imebaki na vyombo vya habari vya michezo, vipindi vya michezo vimekuwa kipaombele vya Taifa. Mambo ya...
  10. Mawaziri wote tunawajua hadi uwezo wenu, ebu acheni kujiaibisha

    Mawaziri wetu, wabunge na watu wa Serikali embu sasa acheni kulala usingizi wa kizembe, simameni kwenye nafasi zenu mumsaidie mama Samia jamani. Mmeshakoroga kubalini kurudi mezani, wale watu wote mliowaona wanapinga Mkataba kwa fact Waite I mezani mjadili msaidimane mawazo na mfanye jambo...
  11. Wanasimba Acheni Kulazimisha furaha!

    Imekua kawaida sasa kuona mashabiki wa simba wakifanyiwa mizaha na viongozi wao kwa kuendesha propaganda ambazo ni wazi nyuma yake kuna viongozi wao. Nasema hivi kwa sababu kwanini wanaozusha hizi propaganda ni vyomba vya habari especially online tvs na baadhi ya wachambuzi wa mpira? Niwaamshe...
  12. B

    DOKEZO TFF acheni ubabaishaji, wapeni watu hela zao

    Ikiwa imepita mwezi mmoja tangu kutolewa kwa Tuzo za TFF 2023, kuna malalamiko yameibuka juu ya zawadi za washindi. Kwa mujibu wa mmoja wa washindi wa tuzo hizo, mpaka leo hawajakabidhiwa fedha walizoambiwa watapewa washindi. Mbali na tuzo walizokabidhiwa siku ya sherehe, washindi waliahidiwa...
  13. Msizuge! mmeumia sana Ngoma kuja Simba SC na Mayele anataka Kuondoka acheni Kumpigia Magoti yenu

    Alipokuwa ana kila dalili za Kutua Kwenu huyu Fabrice Ngoma mlikuwa mkimsifia sana katika Kurasa zenu, Watangazaji na Wachambuzi wenu leo hii mmemkosa kwa Kunyang'anywa Tonge Mdomoni Kimafia na Wakali wa Umafia Tanzania Simba SC na atachezea Simba SC mmebadilika na mnaanza Kumkandia. Wanafiki...
  14. D

    Acheni kumuandama Rais Samia, angeweza kusaini bila kuwashirikisha na msingefanya chochote

    Hivi kwa Nini wanamuonea sana huyu mama jamani I wish ningekuwa msemaji wa serikali ili kuonesha utofauti wa mama na jpm. Hivi jpm ni mkataba Gani ambao ameshawahi kuwashirikisha au kulishirikisha bunge? 1. Ujenzi wa Bomba la mafuta hoima mpaka Tanga, je mlishirikshwa au bunge lilipewa nakala...
  15. Suala Bandari tunataka uzalendo wa kitaifa siyo Uislamu na Ukristo

    Kuna watu wanataka kugeuza issue ya Bandari zetu kuwa ya dini... Kusema kwamba watu hawataki DP world kisa ni waislamu ni upotoshaji mchana kweupe..and cheap politics ujinga na kukosa hoja. Sisi hatutaki mwekezaji tumkabidhi rasilimali zenu Kwa upendeleo wowote ule. Eti kisa Raisi ni muislamu...
  16. Wanawake acheni kuleta Wadogo / Ndugu zenu wa Kike Majumbani mwenu, kwani Wanawavunjieni mno Ndoa zenu

    Kuanzia miaka ya mwishoni mwa 80 hadi mwanzoni au katikati ya 2005 60% ya waliokuwa wakiharibu Ndoa za Wanawake ni Wadada wa Kazi. Ila kuanzia katikati hiyo ya mwaka 2005 hadi leo hii nathubutu kuandika na tena kwa Kujiamini kabisa kuwa 99% ya Wanaoharibu Ndoa za Wanawake ni Wadogo zao wa Kike...
  17. Malumbano ya Hoja ITV: Kama wanaochangia ndiyo wanavyuo wetu acheni tu DP World wainunue hata Tanzania yote!

    95% ya wasomi wa sasa hivi wa hasa kuanzia mwaka 2010 mpaka mwaka jana 2022 kichwani hamna kitu, hawajiamini na ujengaji wao wa hoja si tu ni mbovu bali ni wa kimasikini mno kifikra. Kwa huu uchangiaji wa hawa wasomi (wana vyuo wetu) na wengi wakitokea UDSM ninaouona sasa (mubashara) ITV daima...
  18. Wazazi acheni kuwatuma watoto pombe na sigara

    Nimekuwa nikishuhudia watoto wadogo wenye umri kati ya miaka 7 mpaka 15 wakitumwa hizi pombe viroba vilivyochangamka zinauzwa kwenye vichupa kama vile smart gin, kitoko, ambiance na robort watoto wanatumwa dukani kuwapelekea wazazi wao. Kwangu mimi naona huu ni ushenzi mtoto mdogo utamtuma...
  19. Fatma Karume: Bandari haijauzwa, hakuna tatizo kufanya biashara na Dubai, acheni ubaguzi ni ushamba

    Ameandika kupitia ukurasa wa mtandao wake wa Twitter mwanaharakati na mwanasheria maarufu nchini Fatma Karume "Hao WAARABU msiowapenda wameweza kufanya MAPINDUZI ya Kiuchumu nchii zao kwenye kipindi kifupi sana. Dubai haitegemei mafuta.Badala ya kubaguwa basi ndugu zangu tujifunze.Acheni...
  20. Simba acheni wivu kuona Yanga inapongezwa kila kona na kualikwa Ikulu

    Wana Simba a.k.a Lunyasi kila kitabu na zama zake. Huu ni mwaka wa Yanga, wamefanya vizuri mno. Sisi ni Watanzania, kiu yetu nikuona timu zetu zinafanikiwa kwenye uso wa ndani na kimataifa. Nimeshangaa kuona nyuzi za chuki wazi wazi zikitoka humu. Jamani kwanini roho mbaya hivyo? Simba imewahi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…