acheni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhaya

    Watu wa Dar acheni kuwatelekeza ndugu zenu stendi

    Watu wengi wanaoishi Dar es salaam wakipigiwa simu na ndugu zao wa mikoani, hawataki kusema ugumu wa maisha ulioko Dar es salaam badala yake wanasifu uzuri wa jiji na raha zilizoko kwenye jiji hilo namba moja nchini Tanzania. Kupelekea kuwafanya na ndugu walioko mikoani kutaka kufunga safari...
  2. B

    Wachezaji wa Simba SC acheni uvivu muwapo uwanjani hasa na timu kama Yanga SC

    Nianze kwa kuweka wazi kwamba mimi ni mpenzi wa Simba Sport Club. Lakini mwenenendo wa wachezaji wa Simba hasa wanapokutana na Yanga huwa unakera sana hasa pale unapoona wachezaji wa Simba wakitembea tu bila wasiwasi wowote huku wenzao wa Yanga wakimiliki mpira kwa asilimia kubwa na pale...
  3. Mama Edina

    Watanzania wasomi na wasio wasomi lakini ni wajasiriamali acheni kukodi fremu ili kufungua biashara

    Jamani eeh, kukodi fremu ufungue duka unapoteza hela zako. Somo hili kichwa cha habari hii kinahusika. Hii tabia imekithiri sana hapa nchini. Utakuta mjasiriamali analipa pesa nyiiiingi kulipia chumba cha duka akitarajia kupata pesa nyingi, ni kosa kubwa sana. Njia zifuatazo zinaweza tumika...
  4. E

    Mkurugenzi Manispaa ya Ubungo komesha hii tabia

    Kipindi cha Magufuli watumishi wote walihakikiwa na walioonekana hawana vigezo walitimuliwa. Wakati wa kuhakikiwa kila mtumishi alileta vyeti halisi, barua ya kuajiriwa na ya kudhinitishwa. Vyeti vya ndoa, kuzaliwa/affidavit n.k. Pamoja na nakala za vyeti vyote na barua zote kuwa kwenye faili...
  5. Carlos The Jackal

    Mitihani ya darasa la nne nayo mnasimamia na polisi wenye bunduki?

    Bunduki hizi watoto wanazoona Kila siku kwenye TV? Zikiua watu? Vitoto vya darasa la Nne? Badala ya Kujibu mtihani kanabaki kuwaza mibunduki, pengine wanawaza watakufa? Acheni mazoea ya Kijinga, zama zimebadilika.
  6. sky soldier

    Kumnyima mtoto kazi za nyumbani ni kumbomoa! Atapata shida kujitegemea na kuishi kwenye jamii, Baadhi ya wazazi wenye Pesa acheni huu umbumbumbu

    kisingizio cha wazazi hawa huwa “Sitaki mtoto wangu apitie Maisha magumu niliyopitia”, ni kweli huenda mzazi ulikuwa unanyanyaswa utotoni kwa kufanyishwa shughuli zaidi ya uwezo wako lakini sio sababu ya kumnyima mtoto wake shughuli za kufanya. Mzazi unaweza kuweka elimu iwe kipaumbele kwa...
  7. Mwamuzi wa Tanzania

    CCM acheni siasa za kutengeneza matukio kuficha uovu wenu

    Mmeona leo Watanzania watawakalia kooni suala la Bandari mkaumua mutengeneze tukio la kumteua Makonda mtu mwenye kashfa za unyang'anyi na uuaji. Ashukuriwe Mungu mmemteua kwenye mambo yahusuyo CCM na si ya kiutumishi. Huko CCM dhambi zote mnazibeba na karibu viongozi wote mna dhambi kubwa kubwa...
  8. Magufuli 05

    CHADEMA anzisheni kituo cha television kabla ya uchaguzi wa 2025

    Kwa kuwa kumekuwa na kilio cha muda mrefu kwamba CHADEMA imekuwa ikihujumiwa na media nyakati zote hasa katika mikutano ya hadhara. Kwamba mikutano huwa haionyeshwi kwasababu ya maelekezo kutoka juu. Mimi nawakumbusha tu kwa vile najua hata nyinyi mwalijua hili kwamba kuwa na channel yenu ya...
  9. TUKANA UONE

    Vijana acheni kutupangia nyimbo za kusikiliza kwenye magari yetu

    Ukihitaji salamu nenda mbeya kwao Lucas mwashambwa ukamsaidie kulima Mtama mkimaliza atakusalimia,kwangu utaambulia chuya Ukawalishe bata! Sijajua siku hizi vijana wana matatizo gani! Kwa mujibu wa Cheti changu cha Kuzaliwa(Birth Certificate) ni kwamba,nimezaliwa Tarehe 10/11/1989,Hivyo hivi...
  10. Huihui2

    Acheni wakulima wauze mahindi kwa wateja kwa bei ya soko

    Waziri Hussein Bashe alikuwa na msimamo mzuri kuanzia alipoteuliwa kuwa Waziri wa Kilimo kuhusu kufungua mipaka kwa wageni kuja kununua mazao ya kilimo nchini. Hii ilikuwa ni furaha kwa wakulima wetu, lakini miezi kama 6 tu iliyopita kwa kelele za Watanzania wavivu wakaiyumbisha Serikali mpaka...
  11. Boss la DP World

    Azam TV Acheni Unafiki: Chagueni moja

    Nilipeleka tangazo la pombe pale kwaajili ya kudhamini matangazo ya mechi za NBCPL na baadhi ya vipindi kwenye channel za Azam Sports 1 na UTV. Mhusika akanijibu kuwa hawapokei matangazo ya pombe kwakuwa yanakiuka misingi ya kiimani hivyo wamiliki hawataki. Sasa najiuliza je hao wamiliki kwao...
  12. Mama Edina

    LATRA acheni upuuzi huu

    Niende kwenye kero. Ndani ya siku mbil hizi nimetembelea Bagamoyo. Bunju sokoni yamejaa magari (yamepaki). Bagamoyo to Mbezi abiria wanateseka, wanapumuliana, wanabanana, wanabahashiana, wanasababishiana hasira na kuchafuana. Kiukweli nilitoa tusi zito sana liwafikie Sumatra. Wapeni TLB...
  13. I

    Vodacom acheni kubambikiwa wateja wetu huduma wasizozihitaji

    Nimegundua janja ya kampuni hii ya Vodacom kuwaungaisha kwenye huduma zenye makato ya fedha bila wateja wenyewe kuwa wamejiunga kwa ridhaa yao. Nimeshangaa sms imeingia kwenye simu yangu kutoka Vodacom kunijulisha nimefanikiwa kujiunga na huduma ya chekecha hesabu na nitakatwa sh200 Kwa siku...
  14. Magdalene_joseph

    Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

    Michango yenu humu wanawake ni watu wabayaa sana! Yaani ni wachepukaji, malaya, wapenda hela n.k. Hivi tukichepuka huwa tunachepuka na mbwa au nyie wanaume mso na maadili? Tukiuza chini huwa tunawauzia beberu au nyie nyie tamaa ya fisi? Kazi yenu kujisasibu jinsi mlivyotembea na wanawake...
  15. Idugunde

    CHADEMA acheni kuwaonea wivu Mwambukusi na Sauti ya Watanzania. Ninyi kama mmepoteza kuaminiwa mtulie.

    Leo huko Mbeya mmeenda kuwachoma Mwambukusi na wenzake polisi kuwa wamepiga wimbo wenu na mmesabisha mkutano wao kuvunjwa na polisi. Huu ni wivu wa kishamba. Ninyi mlishapuuzwa kwa kutokupigania na kulinda rasilimali za Watanzania. Acheni Mwambukusi na wenzake wakomae
  16. GENTAMYCINE

    Watangazaji wa Kitanzania waliokoa BBC hasa Kipindi cha Asubuhi cha 'Amka na BBC' acheni huu Unafiki wenu na hi Chuki yenu

    Yaani Klabu ya Yanga ikifanya vyema katika Mechi zake zozote zile huwa mnatangaza tena kwa Bashasha zote. Ila Yanga SC hiyo hiyo ikifungwa (kama ilivyofungwa jana na Ihefu FC huko Highland Estates Mbarali) hamtangazi na huwa mnajifanya hamjayapata Matokeo. Lakini Klabu ya Simba hata ikifungwa...
  17. S

    Yote tisa acheni tu!!! Jamani Harufu

    Kuna wasichana wananuka, mmoja aliniambia eti kwa kizungu inakuwa au inaitwa Musk, tuelimisheni please!
  18. Athuman Mintangah

    Baadhi ya Wanachama wa JF acheni tabia hii

    Kuna hii tabia ya baadhi ya watumiaji wa huu mtandao ukipost kitu wao wanakuja kudandia maraa ohh "Subiri waje" "Subiri muongozo" ili mradi tu waongeze scores na points kwenye akaunt zao. ACHENIII
  19. J

    BoT acheni majibu mepesi kwenye maswali magumu

    BoT ACHENI MAJIBU MEPESI KWENYE MASWALI MAGUMU BoT acheni majibu mepesi kwenye maswali magumu hasa hili la upungufu wa dola kwenye mzunguko wa uchumi, Ni kweli ukosefu wa dola ni janga la kidunia lakin kama wataalamu wa uchumi tuliowapa nafasi ya kutusaidia katika maswala yote ya fedha na...
  20. Bwana Bima

    Viongozi acheni tabia ya kila kukicha kusimanga vijana

    Huu utaratibu wa mawaziri,manaibu waziri na viongozi wengine kuwasimanga vijana kwamba ni watumia pombe unapaswa kukemewa sana. Naongea hivi nikiwa na sababu za msingi kadhaa; 1) Si kweli kwamba vijana wote ambao maisha yamewachapa na kuangukia kwenye pombe ni wavivu kufanya kazi. Wapo wachapa...
Back
Top Bottom