Hello!
Tangu kale na kale vijana, wazee, watoto na watu wa Rika zote wanakufa lakini sasa hii trending ya vifo vya vijana ina walakini.
Nimetafakari kwanini vijana wanakufa sana, kijana anakufa anawaacha wazazi wake wakiwa na nguvu, kijana anakufa anawaacha bibi na babu zake wangali hai...
Ndugu zangu kila mmoja kwa imani yake popote mlipo, amani ya Bwana ikawe juu yenu.
Rejea kichwa tajwa hopo juu. Why NMB Bank mnatenda hivi?
Ni kweli mmekuja na app yenu on line, nawapongeza kwa hili, ila kumbukeni mteja na app yenu atachukua pesa kwenda na pesa yake na atatoa kwa wakala...
Nimeandika kwa masikitiko makubwa sana nikiwa kama muumin kindakindaki mkatoliki
Miezi miwili iliyopita nilijumuika na waumini wenzangu kwenye misa ya asubuh ndani ya kanisa katoliki lililopo maeneo ya saint carol wilayani sengerema jijini Mwanza
Mamia ya waumini tulijumuika kwenye misa hiyo...
Wakati Mkuu wa Mkoa Dar es salaam akiendelea kupambana na makahaba na madanguro Dar aangalie na hili suala la ubakaji unaoendelea katika saloon ya Kesha's iliyopo Sinza.
Ni fedheha na aibu kubwa kwa kinachoendelea ndani ya saloon hiyo kikihusisha udhalilishaji wa wazi wa mwanamke.
Kwenu...
Habari.
Imekua mchezo wenu uliozoeleka siku hizi. Kila nikiweka airtime kabla sijaunga kifurushi lazima mukate kiasi, hali hii inafanya nishindwe kujiunga na package niliyokusudia hadi niongeze airtime nyingine.
Nikiwapigia mnasema mara nimejiunga na huduma gani sijui, wakati mimi sijawahi...
Mimi sio mtumiaji sana wa mtandao wa vodacom mnamo mwaka 2022 nilihamasika kusajili laini ya vodacom kutokana na masuala ya miamala hivyo ilinilazimu kusajili laini ya voda na baada ya kumaliza zoezi langu sikuitumia tena
Nikarudi tena kuitumia mwaka 2023 sababu ya visa card huwa natumia...
Sijui huu ni utaratibu wa wapi unaotumiwa na Simba kufanya vikao vya kila siku na wachezaji. Hauwezi kujua shida za mchezaji kwa utaratibu huu. Tukisema siasa imezidi pale Simba kuna watu hawatuelewi.
Kila mchezaji wa Simba ana manager wake anayejua kila issue ya mteja wake. Mimi nadhani klabu...
Habarini wanaJF, binafsi sio mwandishi mzuri ila kwa hili lililonikuta na huyu fundi selemala nimeona bora niandike niombe ushauri.
Iko hivi miezi miwili nyuma mwezi September nilikuwa na mpango wa kutengeneza kabati la nguo la mbao haya ya kisasa, nikatafuta fundi nikamuonesha design nilikuwa...
Guys, niliombwa kumfanyia mtu maombi ya chuo na alichagua NIT, Nilifanya application second round na nikalipia na ikabaki kusubiri chaguzi, cha achabu nina wiki sasa nikijaribu kuingia kuangakia STATUS wanasema INCORRECT LOGIN, mwenye nilimuombea anaona kama sikuomba nimekula 10000 yake.
Kama...
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Tanesco , kwamba hizo mvua mnazoona zinanyesha haziwezi kupunguza mgawo wa umeme kwa vile maji ya mvua hizo hayaingii kwenye mabwawa hayo , haijulikani kama mabwawa hayo yamepigwa Bati juu yake au La
Na mnaambiwa zaidi mvua hizo zinaharibu miundo mbinu na kuongeza...
acheni
ccm propaganda machine
januari makamba
kuhusu
kulaumu
mabwawa
maji
mgao
mgao wa umeme
mgawo
mvua
mvua za el nino
samia suluhu hassan
siasa na uongo
tanesco
umeme
umeme na maji
Magaidi wamekuwa walalamishi kwa visingizio kibao, eti IDF anapiga sana watoto na wake zao, kwa nini asiwapige wao tu?
Wanasema hivyo, huku wakijificha sehemu ya watoto na wake zao, sasa wanataka adui yao akitupa bomu, likachague gaidi liliojificha kwa watoto na wanawake? Hii sjawai kuiona...
Nimesoma makala moja ya bbc swahili ikimponda sana mchambuzi na Twitter maarufu ndugu Hinkle
Hinkle alisema mashambulio ya Hamas ya October 7 yalifanywa na Isreal alikwenda mbali zaidi na kukanusha ukatili wa Hamas wa Oktoba 7, akidai watu waliohudhuria tamasha la Supernova hawakuuawa na...
Kasi ya Mh Makonda ni Hypersonic , Huyu mtu ana Sayansi ya Siasa, endeleeni kumchafua na kumuona wa Kawaida !!.
Anachofanya Makonda ni kuisafisha CCM kupitia Majukwaa, Maelekezo anayotoa mbele ya Majukwaa ni vitu ambavyo Watanzania hususan Wanyonge wanavyotaka Kusikia .
Makonda Hasafishi mtu...
BADALA YA KUBARIKI WATOTO NA KIZAZI CHAKO UNABARIKI ISRAEL USIYOIJUA WALA ISIYOKUJUA; ACHENI UCHIZI.
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli
Yesu kama Watibeli wengine alishawahi kuwatolea maneno mbaya mbovu Wafuasi wake akiwaambia;
Lk 23:28
Yesu akawageukia, akasema, Enyi binti za Yerusalemu...
Katibu mwenezi wa CCM ndugu Paul Makonda hajafanya kosa lolote kumpa maagizo Waziri Mkuu kutatua changamoto za ardhi, Serikali ipo kwa niaba ya CCM na hao mawaziri wote ni wanachama wa CCM na boss wao ni hio secretariat ya CCM.
Mazombi mnapanic kama vibwengo acheni hizo. Tanzania mmezidi kuwa...
Mvua zinanyesha Dar. Huku kwetu Mikocheni hamkati umeme. Je hii si hatari? Kawaida huwa likitokea wingu tu mnakata umeme. Lakini nashangaa hadi inanyesha mkataji amezubaa tu.
Je mmeanza kuzoea kazi? Acheni mambo hayo please. Kateni umeme huku Mikocheni hizi mvua haziendani na umeme.
Kwanza Maji yenyewe mnayatoa kwa mgao (Hamjatangaza tu), huku Tabata hasa Kinyerezi maji mnabangaiza kuyatoa. Mkijiskia ndio mnayaachia hamfati ratiba inayoeleweka.
Nirudi sasa kwenye KERO.
Mnatuma sana SMS zenu kila muda mnatuma hayo madude yenu. Kuweni na weledi basi na mkiwa mnafanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.